Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Dkt Omar kafariki Mkapa akiwa hapa Nchini na ndie aliutangazia Umma kupitia Radio Tanzania Alfajir ya Siku hiyo hiyo!

Kumbuka kuagiza gari tu mpaka kulitoa Bandarini ni Mchakato wa zaid ya Mwezi Mmoja Sasa huo Mchakato wa Kupitisha Silaha ulikuwa na haraka kiasi gani kiasi cha mambo yote kufanyika Amiri Jeshi akiwa nje ya Nchi na bila ya kufahamishwa?

Mwisho kwa kukusaidia Rais akiwa hayupo Nchini huwa kisheria anakaimisha Madaraka yake yote kwa Makamu wa Rais lakin Yale majukumu yake yake yenye nature ya Uamiri Jeshi huwa hayakaimishwi Mf. Kutangaza Vita, kutangaza hali ya hatare na mfano wa hayo!
 
Pamoja sana mkuu.
 
Dr Omar Alli juma mtandao wake ukibebwa na Mkapa ulikua ni hatari!! The only way ilikua ni hiyo. Tishio kuu la boys2men ktk safari yao ya 2005 na 1. Alikua nyerere na.2 alikuwa Dr omar
 
Mkuu,Mashetani yana nguvu sana...,yakiamua kukuua yatakupata tu hata kama cyo kwenye chakula!
 
Kumbe kuna mengi ya siri Tz!
 
Kumbe kuna mengi ya siri Tz!
 
Watu wanakufa kwa staile tofauti, wengine wanakufa wakicheza mpira uwanjani mbele ya TV kila mtu anaona.
N
Usemalo Ni kweli lakin pia tambua kuna Watu pia wameuawa hadharani na TV zinaonesha lakin ikaja kugundulika baadae kuwa sio igizo ni Mtu Kafa kweli!

Nadhan ni Mwaka Jana Kaka yake Yule Rais wa Korea Kaskazini kauawa kwa kupakwa sumu kali hadharani Uwanja wa Ndege wa Malysia Tena waliompaka hiyo sumu sio Body builders Mabaunsa Bali wadada warembo walikuja kwa Nyuma wakafanya kama utani wa kumziba Macho walinzi wa Airport wanasema walidhan ni utani au ni igizo Kumbe Mtu anapakwa sumu ya kuua ndani ya Muda mfupi na kweli akafa!

Kuna Njia nyingi sana za Kuua na kudhuru kiasi ambacho Raia wa kawaida mnaweza kubishana kuamini habari hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…