Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Teacher alikuwa kwenye hali mbaya kuna among his personal guards kutoka secret agents known as Mkanzabi pamoja yule Tendewa Aloyce wana Mengi ya kusimulia bt as far as in spy professionals you have to keep secret kamwe hawawezi kuongea chochote since they swore to keep secrets otherwise it's death ahead.
 
WAJAMENI MAKABURI MENGINE SIO YA KUFUKUA KABISA, YATUPASA KUYAFUNIKA KWA ZEGE ILI MWANAHARAMU ASEPE ZAKE. KUFUKUA MAKABURI TUNAAMSHA KISASI MIOYONI MWA WAHANGA, NA KUHATARISHA MAISHA YA ALIYETII AMRI KAMA ILIVYO ADA YA KAZI YAKE.
Ukiingia kwenye Library kubwa mfano huku utakuta historia imeweka kila kitu open lakini huko kwetu hali ipo kinyume kabisa sasa tukitaka watoto wajifunze kidogo tumshukuru na kaka Maxence Melo jf tycoon kwa busara zake on condition of anonymity tunaharisha humu vyakutosha .
 
Shikamoooo mkuuu
 
Nimekuelewa mkuu. ILA library za wenzetu huweka taarifa kama hizo baada ya miongo kadhaa. Kiuhalisia baadhi washukiwa wanaotajwa bado wako madarakani, mfano tunaposema M7 au Kabila alilengwa tunatafuta nini? Tukumbuke kuwa "so far the kingdom has expanded".
 
Dahhh hataree aisee
 
Hehehehe mkuu r u saying hata mzee wetu mzanaki ni kazi ya mikono ya boys 2 men?
 
HNIC teacher hakuuliwa na mmakua.... lile kundi hatari lililowania mamlaka walijitahidi sana kutumia akili kutengeneza mazingira ili ionekane mmakua ndo alihusika ila si kweli.

Habari ya mwalimu Butiama ilianza na prof David mwakyusa aliyekua mganga wake na kuhitimishwa na muuguzi au mwangalizi wake pale St Thomas London ambae ni Kingunge Ngombale mwiru!!

Connect dots kwa Mwakyusa na Kingunge kuzawadiwa mamlaka mara tuuu baada ya Boys2Men kumwangusha mmakua pale Chimwaga....

Habari ni ndefu ila tunamezea tu.
 
Sio alionekana bali ndiye mtu aliyekuwa akisubiriwa!! Dhambi za Boys2men kuelekea 2005 hazipimiki!!
 
Wakuuu huu Uzi umefukua vitu adimu sana ila tatizo mnatuchanganya kidogo
Ukianza na pishu ya kifo cha Ali Juma target alikua nani hasa DDR au kabila?
Kama ni kabila alikua targeted na nani?
[HASHTAG]#billy[/HASHTAG],[HASHTAG]#pohamba[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…