Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

prof Dia Wamba aliendesha mapambano akiwa dar au congo?


Laurent Kabila aliendesha Mapambano ya kumtoa Mobutu akitokea Mikocheni

Rajab Hussein na Pierre Nkurunzinza walikuwa wakiendesha Mapambano ya kuwatoa kina Pierre Buyoya kutokea Buguruni kwa Mzee wa Kibwali Mzee Mnenge

Yoweri Kaguta Museven kaongoza Vurugu Uganda akiwa Dar
Edward Mondlane kaongoza Vurugu za Msumbiji akitokea Dar

Paul Kagame kaongoza Vurugu Rwanda akitokea Uganda

Hata Prof Wamba alikuwa akiongoza Vita akiwa Dar!
 
Hivi Kagame ni jasusi sana?!! 'inasemekana' zimekuwa nyingi!!!
 
ahaha nishaelewa. Sabasaba ni kilele ila maonyesho ni kuanzia April?
Wewe una kichwa kizito sana,au siyo mtanzania?
unaona kabisa kuwa sabasaba inaanzia tarehe 1/7/..-viongozi wanaenda uwanjani tarehe 4/7/ ... ila kilele ni tarehe 7/7 unatuchosha bana.
Bora uwe unasoma tu,siyo lazima kuchangia,mtanzania hujui hata sabasaba?
 
Omariii alii jumaaa(RIP) umemwacha mkapa na naniii Jana tulikuwa nawe baba!!!

Mashairi ya marehemu Captain John Komba

Yule makamu nilikuwa nampenda sana

Kwanza alikuwa anawananga wanaimani wenzake wapeleke watoto shule wapate ilimu dunia waache kulialia. Enzi zile ngangari na ngunguli heheheheh.


Daaah R.I.P baba
 


hashim mwamba upo???
 
Omariii alii jumaaa(RIP) umemwacha mkapa na naniii Jana tulikuwa nawe baba!!!

Mashairi ya marehemu Captain John Komba

Yule makamu nilikuwa nampenda sana

Kwanza alikuwa anawananga wanaimani wenzake wapeleke watoto shule wapate ilimu dunia waache kulialia. Enzi zile ngangari na ngunguli heheheheh.


Daaah R.I.P baba
 
kwenye muendelezo huo huo...

1. kwa nini jamaa wa boyz 2 men alienda london kumuua kwa sumu kwenye viatu prof kighoma malima?

swali lingine nitalileta nikishasali witr
Hao jamaa basi wabongo mnasahau ila kamwe historia haitupi kila kitu bali inatunza.
Huu mjadala umekua namafundisho makubwa mno, umenifanya nitafakar kuhusu ushabaki wangu wasiasa inaonekana kunamengi sana yamefanyika nayanafanyika ilikuieka hii nchi salama
Mkapa alipotaka kuuza NBC Mwl alipinga akatafuta na washauri wa kiuchumi wakamuambia hasara za kuuza hiyo benki basi Nyerere akamuita Nkapa kwake Msasani ila kwa kua Nkapa alishajua dhumuni la wito huo basi akanywa whiski za kutosha alipofika msasani kwa mwl ilikua ni aibu Nyerere alikasirika akarudi chumbani.

Nyerere akamuambia Pengo uchafu wa Ben ikabidi Pengo amfuate Mkapa na kumueleza lkn wapi mtu wa ntwara alikuwa keshalewa madaraka akumsikia Nyerere ikabidi aende ikulu kimyakimya na kumuambia Nkapa kuwa Ben umenidhalilisha sana malizia kiporo chako upumzike umuachie mtu mwingine . Kilichofuata ndo hayo tukaambiwa leukemia Mara Komba na nyimbo zake
 
Wewe una kichwa kizito sana,au siyo mtanzania?
unaona kabisa kuwa sabasaba inaanzia tarehe 1/7/..-viongozi wabaenda tarehe 4/7/ ... ila kilele ni tarehe 7/7 unatuchosaha bana.
Bora uwe unasoma tu,siyo lazima kuchangia,mtanzania hujui hata sabasaba?


Hakuna haja ya povu mkuu


Wewe ndiye kilaza

Maana katika kuandika tarehe ipo aina tatu;

Kuna 1. mwaka/mwez/siku

2. siku/mwezi/mwaka

3. mwezi/siku/mwaka


Kwa hiyo 4/7, nilitafsiri kama mwezi/siku/mwaka. Yaani mwezi wa nne/tarehe 7


Una lingine!???
 
prof Dia Wamba aliendesha mapambano akiwa dar au congo?

Wamba Dia Wamba aliongoza waasi akiwa actively vitani akiwa Congo. Hata hivyo kipindi akiwa Prof. UDSM alikuwa na connections na waasi wa Congo waliokuwa wanaongozwa na majeshi ya Uganda na Rwanda kwa lengo la kumuondoa Kabila.

Unaweza kumsoma Prof Wamba mtandaoni (historia yake imeandikwa sana sio siri)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…