Sio kwamba alimunderestimate, wanajisahau wakizani zile power walizokuwa nazo bado zipo, hili kosa pia mkwere alilifanya kwa sizonje ila alipobipiwa faster akarudi kwenye mstali, sasa imebaki anatoa mipasho tu.M
Mtu akishika rungu anakuwa na nguvu sana huenda Mzee wa butiama ali muunderestimate chee nkap akijua n mzanzibar koko ,matokeo yake ndo hayo sasa,uzuri usanii huo aliwafundisha mwenyew
Nyinyi mnaongea upuuzi gani p..mba v zenu!!!!Kuna upangiliaji tofauti tofauti wa tarehe..
Acha ushamba..
DD/MM/YEAR
MM/DD/YEAR
YEAR/MM/DD
Ndio maana mkuu moja hapo alishasema boys2men kwahio ukisoma between the line utaelewa kuwa Dr Omary aliondolewa na boys 2 men kwa siri kubwa through poison ilioandaliwa kwenye dhifa ya kitaifa akina na mgeni wake Ikulu magogoni kinachotatanisha ni kwamba kwann yeye tu na si mgeni yule ? Na je angekufa ugenini wale jamaa wangekubali kupokea maiti au nchi ingeingia vitani maswali ni mengiLakini hapa hapakuwa pia na nguvu nyingine kutoka uaduini tulimofikiri?kwa maana maadui wengine mmoja wao alikuwa anakataliwa na mwalimu kusimika bendera mlima kilimanjaro kwa sababu ya kuwa na maziwa na asali nyingi.
Mwingine aliambiwa umri hautampa busara kuachiwa boma.
Hawa hawakuwa na mkono wao?
Mrema kuwa upinzani kipindi kile japo hadi sasa ni TLP zile ni mbinu tu undercover was ccm coz by professional huyu ni mtu wa TISS the first appointment ya kazi yke ya ushushushu ilikuwa kahama shinyngaInasemekana Imran Kombe alimalizwa kwa mkono wa serikali iliyokuwepo madarakani kwa sabab alikuwa anavujisha siri kwa mpinzani wa wakati ule Mrema. Kuna utata mkubwa wa mauaji yake unabainika kwa maswali yafuatayo:
1. Kama askari walidhani ni mhalifu kwann walimpiga risasi kifuani ilhali hakuwa na silaha na alijisalimisha kwa kunyoosha mikono
2. Walipohukumiwa kunyongwa rais mkapa akabadilisha ikawa kifungo cha maisha na mwaka 2011 wakapata msamaha wakaachiwa. Baada ya gazeti la mwananchi kuandika juu ya msamaha wa Rais kikwete, Rais alikanusha na kusema yeye wakati anaingia alikuta huo msamaha ukiwepo..
Inasemekana kulkuwa na mkono wa Kagame kwny haya mauaji
Yawezekana ikawa nikuweka watu flani salama. Ila inaonekana kunamengi tusio yafamu. Pangine tangu mwanzo hatukua navyama vingiSio kuweka nchi salama ni kuweka watu flani salama.
Mungu anakuonaHakuwa Museveni, ilikuwa Joseph Kabila ilikuwa kwny Maonesho ya Sabasaba I it was 2001
Alifariki saa 6 usiku Nyumbani kwake Ostybay baada ya kutoka kwny Maonesho ya Sabasaba !
Hii Nchi ni kisiwa cha Amani
1) 1972 tulipoteza Rais Kwa Risasi
2) 1984 tukapoteza Waziri Mkuu kwa ajali
3)1996 Tukapoteza Mkuu wa Usalama wa Taifa kwa Risasi
4) 2001 tukapoteza Makamu wa Rais kwa sababu isiyojulikana
Hahahaaaaaaaaaaaaaaa. Nyimbo za jiraniyangu nimeipenda...Yule mpemba R.I.P baada ya mapambio kule kilwa road alirudi magogoni na mgeni huyo ila kilichofuatia huko Haile Selassie Na shaban robert au cocobeach ni bendera nusu mlingoti na nyimbo za komba.
Ni wewe kweli ?Hakuwa Museveni, ilikuwa Joseph Kabila ilikuwa kwny Maonesho ya Sabasaba I it was 2001
Alifariki saa 6 usiku Nyumbani kwake Ostybay baada ya kutoka kwny Maonesho ya Sabasaba !
Hii Nchi ni kisiwa cha Amani
1) 1972 tulipoteza Rais Kwa Risasi
2) 1984 tukapoteza Waziri Mkuu kwa ajali
3)1996 Tukapoteza Mkuu wa Usalama wa Taifa kwa Risasi
4) 2001 tukapoteza Makamu wa Rais kwa sababu isiyojulikana
Yawezekana ikawa nikuweka watu flani salama. Ila inaonekana kunamengi tusio yafamu. Pangine tangu mwanzo hatukua navyama vingi
Duh mkuu tema nondoHilo ni Somo refu sana Ndugu yangu hapa tutatoka nje ya mada!
Pengine Leo Hii tuna Amani Tanzania kwa kuwa Congo Hakuna Amani n.k
Kinanukishwa muda sio mrefu. Yaonekana wenge la sikukuu linarindimaMi mwenyewe sibanduki, sema kuna mbegu zinataka kuharibu hali ya hewa.
Akili mbovu tu,ukishaambiwa SABASABA ni mwzi wa saba na imepewa jina kutokana na kupangana kwa saba zinazofuatana.
Watanzania tunajua mwezi wa nne ni sikukuu yenu(WAJINGA) tarehe 1/4_,, PASAKA na MUUNGANO.
Ndiyo maana nikapata mashaka na utaifa wako.
Huyo mzee alikua na ka'uzibe gani? Mbona walimuondoa faster hivyo?!!Ndio maana mkuu moja hapo alishasema boys2men kwahio ukisoma between the line utaelewa kuwa Dr Omary aliondolewa na boys 2 men kwa siri kubwa through poison ilioandaliwa kwenye dhifa ya kitaifa akina na mgeni wake Ikulu magogoni kinachotatanisha ni kwamba kwann yeye tu na si mgeni yule ? Na je angekufa ugenini wale jamaa wangekubali kupokea maiti au nchi ingeingia vitani maswali ni mengi
Dah,aisee kumbe wino aghalabu unaweza kununua kiwanja na kauli aghalabu zikakujengea nyumba bila ubongo na msuli.Ndio maana mkuu moja hapo alishasema boys2men kwahio ukisoma between the line utaelewa kuwa Dr Omary aliondolewa na boys 2 men kwa siri kubwa through poison ilioandaliwa kwenye dhifa ya kitaifa akina na mgeni wake Ikulu magogoni kinachotatanisha ni kwamba kwann yeye tu na si mgeni yule ? Na je angekufa ugenini wale jamaa wangekubali kupokea maiti au nchi ingeingia vitani maswali ni mengi
Serikali yeyote ile duniani hivyo usicheze na sirikaliHapo ndipo ninapoamini kuwa ccm na serikali yake wakiamua kitu hawashindwi!
Siasa za Bongo zilikuwa za kubadilisha kijiti kati ya Bara na visiwani baada ya Nkapa kumaliza wazenji walitakiwa wamtoe Rais ila baada ya mission accomplished in 1999 jamaa walihakikisha anyone seems as an obstacle must removed by any means so connect dotsHuyo mzee alikua na ka'uzibe gani? Mbona walimuondoa faster hivyo?!!