Kumbukumbu zangu zinaniambia alikuwa tayari taabani wakati anaondoka, hata vyombo vya habari vilisema. Kumbuka wanafamilia wengi walikuwepo uwanja wa ndege wakati anaondoka kumuaga. Ila kwa uhakika hakuingizwa kwa kutumia machela. Kuna aina za kansa ikishafikia stage 3 progressive yake ni ya haraka sana. Kuna mwana muziki wa UK nimemsahau jina alifariki mwezi mmoja baada ya kutoka hosp na walimwambia hana miezi 3. Steve Jobs na wengine. Ni hayo tu katika kuelimishana Watanzania.Kweli hii ndo bongo. Tumekuwa tukiambiwa hapa kuwa mwalimu alienda Uingereza akiwa mzima wa afya na kurudi marehemu. Leo tunaambiwa alikuwa taabani kabla hata hajaondoka. Aisee!
tumechoka na habari hizi, sasa walikuwa wapi kusema hayo enzi hizo wanasema leo wakati Nyerere amefariki, inasaidia nini sasa??? Nyerere ndo atafufuka??/
bongo bana watu wanajitafutia umaarufu kwa vitu vya ajabu ajabu sana?? wangetoa taarifa hizo mapema not now?
Bambo,
Kuna wengi hawautaki ukweli kuwa chanzo ya matatizo yote Tanzania ni Nyerere. Alikuwa hajui alifanyalo na haambiliki.
Safi saana kama kweli bmw alimfanyizia huyo mzee maana alikuwa haishi kumtusi mwinyi na alimkataa jmk kwa makusudi ili bmw awe rais yakamkuta mdini saana huyo marehemu jkn
1. Mkapa alidhani atatawala milele.
2. Alistuka ukiwa umebaki mwezi mmoja kibarua kiishe kwa MPWA wake ERIO William Mkapa hajamweka pazuri, akaamua kumwondoa mkurugenzi Mkuu wa PPF alikuwa mchapa kazi na mwadilifu, akamweka mpwa wake asiye na sifa za uongozi hata kidogo.
3. Huyu mpwa wake akaingia PPF na Roho ya Mkapa, ya kuwaondoa wakurugenzi na mameneja waadilifu ili aibe pesa za michango ya PPF, kama mjomba wake alivyoliibia taifa Kiwira Coal mines. Kila baada ya miaka mitatu anajichotea Tshs 540 milioni, na TISS, CAG, Wizara ya Fedha, SSRA, Ikulu wamekaa kama MAZUZU wanamwangalia avune atakavyo
4. Hofu ni usalama wa wale mameneja aliowafukuza kazi kwa kisingizio cha uana JF asije akawa-Nyerere, kuficha uovu wake.
5. Hivi Mkapa anapomshutumu Vicenti kuwa si wa ukoo wa Nyerere, mbona huyu Erio(DG wa PPF) ni mtoto wa dada yake tumbo moja na anamhesabu kama ni sehemu ya familia ya Mkapa? Kweli damu nzito kuliko maji
Lakini kama mlichokuwa mkimwambia ni kuuza nchi nani angekubali?Bambo,
Kuna wengi hawautaki ukweli kuwa chanzo ya matatizo yote Tanzania ni Nyerere. Alikuwa hajui alifanyalo na haambiliki.
tumechoka na habari hizi, sasa walikuwa wapi kusema hayo enzi hizo wanasema leo wakati Nyerere amefariki, inasaidia nini sasa??? Nyerere ndo atafufuka??/
bongo bana watu wanajitafutia umaarufu kwa vitu vya ajabu ajabu sana?? wangetoa taarifa hizo mapema not now?
nani anatafuta umbrufu? Vincent au mkapa alielianzisha?
tumechoka na habari hizi, sasa walikuwa wapi kusema hayo enzi hizo wanasema leo wakati Nyerere amefariki, inasaidia nini sasa??? Nyerere ndo atafufuka??/bongo bana watu wanajitafutia umaarufu kwa vitu vya ajabu ajabu sana?? wangetoa taarifa hizo mapema not now?
Kweli hii ndo bongo. Tumekuwa tukiambiwa hapa kuwa mwalimu alienda Uingereza akiwa mzima wa afya na kurudi marehemu. Leo tunaambiwa alikuwa taabani kabla hata hajaondoka. Aisee!
haya masuala yanachanganya sana ...ngoja nitafute kakonyagi kadogo nizimue ili niweze kufikiri,,,nitarudi baadae