Utata wa maelezo juu ya kifo cha Katibu na motive ya Mkandamizaji

Asante PI. KAma unaangalia IDX discovery hii homicide mhusika namba Moja ni Masanja! Cover up imefanyika kijinga na hili alikua anajua sio juzi Wala sio Jana long time planned Homicide!
 
Huyu karibu kapita na hela ya sembe,au alitishia kutoa siri ya kambi ndo mana akadhurumiwa uhai wake police tz please fanyeni uchunguzi
 
Achana nao watoto wajinga hao mkuu😅kitu kinatolewa maelezo na RPC kwenye radio si maana yake kiko open for public discussion afu anakuja kuuliza maswali ya kijinga jinga
Mbaya zaidi Kuna mtu amepoteza uhai, ana wazazi ana mke ana labda watoto na ndugu na marafiki wanamtazama halafu mtu anatoa majibu rahisi TU wakati wahusika Ni public figures
 
Pamoja na kujisifu kuwa mtazamaji wa crime documentary lakini uchambuzi wako hauonyeshi hivyo
 
Hivi mnaposema amepost kamsamehe mke wake, mbona mm sijaona ?amepost Instagram, Twitter au status naomba kueleweshwa please
 
Usisahau pia kuwa Masanja ni CHAWA maarufu wa huu utawala, kwa hiyo ni lazima yeye ndiye awe mbebwaji na hawa wana_ccm wanaovaa sare za polisi.
 
Kama kauawa kwa mpango wa Masanja, mkewe akiendelea na pigo hizo ataua wangapi!? Tatizo liko kwa mwanamke, yeye kaolewa anakubali vipi kugongwa nje!? Kwani wanawake wengine walioolewa hawatongozwi!? Au atasingizia alibakwa!?
 
Kama kauawa kwa mpango wa Masanja, mkewe akiendelea na pigo hizo ataua wangapi!? Tatizo liko kwa mwanamke, yeye kaolewa anakubali vipi kugongwa nje!? Kwani wanawake wengine walioolewa hawatongozwi!? Au atasingizia alibakwa!?
 
faten maisha yenu, ya masanja hayawahusu, huo muda wa kujadiri maisha ya mwanaume mwenzenu, tumien kulisha familia zenu
Kwa hiyo siku zote familia zetu unazilisha wewe!? Acha ujinga wa kupangia watu cha kufanya.
 
Unawapangia watu jinsi ya kuishi!? Siku zote maisha yao unayaendesha wewe!? Kupanga ni kuchagua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…