Utata wa maelezo juu ya kifo cha Katibu na motive ya Mkandamizaji

Hii ishu ingepita bila maswali kama polisi wangeondoa hiko kitendo cha mama mchungaji kwenda nyumbani kwa katibu ili kumkataa. Ukifikiria hapo, ni kuwa mama mchungaji huenda alikuwa amechoka na haya mahusiano yake na katibu kwa hiyo akamchukua huyo mmama (ili amsaidie kumalizana na katibu huku mambo yakibakia kuwa siri) na baada ya hili katibu akajinyonga. Kinyume na hilo mumewe anahusika. The rest of the story doesn’t make sense. Watu wanaoachwa ndo wanajiua sio wanaokataliwa
 
Na huenda kifo chake hakihusiani kabisa na mapenzi,pengine siku yake ndiyo ilikuwa imefika

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
labda inawezekana pia. Hii ikawa ni cover na mambo yanaweza kuwa yakawa yanahusiana na siri za kanisa. Uchunguzi wa ziada unahitajika na sio kumsafishia njia masanja😂 mambo yanaonekana katibu na mama mchungaji walikuwa wanafikishana kileleni mwa mlima Sayuni
 
Sas hyu kijan kafanywaje jmn mnk hkn taarifa kamili kamili kila kitu Ni utata utata ,kweli hata mm siamini kuwa aliamua kumtumia mam mtu mzima kwenda kumkanya want angetaarifu tu masaanj kisha masanja kufuta kazi na kuto onekana maene ya kaz
It was a kind of negotiations! Win win situation.. Angefutwa kazi bila sababu ya maana angemwaga ugali
 
This saga is non of my business. Waendelee na wapambane na maisha yao
 
Kweli RPC unatoa maelezo hayo!!!
Kaongeza utata sana ....dah
Mwanamke yeyote serious mwanaume anakutongoza Mara moja tu unampa jibu na hatorudia tena...
Si ndiyo hawa hawa wanao tuambia eti "mahabusu amejinyonga mikononi mwao kwa kutumia dekio"!! Unajiuliza dekio na kujinyonga mtuhumiwa kituoni hapo hapo, wapi na wapi! Na siyo tukio moja!! Ni zaidi ya matukio mawili! Na sababu za kifo tunaambiwa ni dekio!

Hawa jamaa huwa wanatuchukulia kama mang'ombe vile.
 
Kwa hiyo we una unamtetea mzinifu!!!
 
inawezekana ww ndio hujawaelewa police kwanza kabisa kamanda amekubali kulikua na mahusiano ya mawasiliano baina ya victim (marehemu) na mke wa mwanawane
2 kamanda hajatoa direct code kama kondoo ili liwa kwa mkate na divai madhabahuni (mbususu)
3 kitendo cha kondoo kwenda na mama mtu mzima kuvunja penzi haiitaji degree ya Harvard kujua apo kulia na strong relationship behind the mwanawane back
4 kitu kinacho fanya hii nshu kua suicide and not murder ni testimony ya victim hakuna cover up operation yoyote kweny murder ukaacha ushaid directly unaokurudia ww mwenyew (Jina la MONICA) hii unaonesha jamaa ka commit suicide kwa free will yake
big question is kwa nn jaman ajiue kwa penz la kuiba na mke anae all in all
mayday mayday one idiot down I repeat one idiot down no need for back up
over
 
Tena mke mwenyewe ana sura kama Kibu Dennis kakosa goli la wazi dakika ya tisini na mbili simba wakiwa nyuma kwa goli moja
 
Hakika hii taarifa imeibua maswali mengine makubwa zaidi
 

Kitendo Cha mke wa masanja kwenda kwa katibu na mwanamke mwingine ni ushahidi mzuri Sana. Walienda kufanya Nini kwa my anayemsumbua kwanini wasikutane kanisani au neutral place?. Kama ni mauaji mtuhumiwa wa Kwanza ni masanja na huyo mke wake.
 
uko sahihi.
 
Tena mke mwenyewe ana sura kama Kibu Dennis kakosa goli la wazi dakika ya tisini na mbili simba wakiwa nyuma kea
Acha bana chuki zako.. Kwako mbaya ila kwa masanja mzuri.. Au unataka definition yako ya uzuri ifiti kwa kila mtu... 😳😳
 
Vyovyote
Hakuna siku hapa
Duniani majibu yakaridhisha kila mmoja
Masanja kagomgewa mjue hivyo
 
Msiwaonee polisi. Wenzenu ni form IV failures.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…