Utata wa maelezo juu ya kifo cha Katibu na motive ya Mkandamizaji

Ninyi wanaume mnaomtetea huyo kijana aliyekuwa anatongoza mke wa mwenzie nasema hivi mtaendelea kugongewa wake zenu mpaka kiama maana mmechagua kumtetea mzinzi.
 
Ukisema hawakuwa na mapenzi masanja ataulizwa kwann alipost kuwa kamsamehe mkewe bora usema walikuwa nayo angalau kuna kausalama.
Katika hali ya taharuki na pia kila mtu katika jamii anamshtumu mkewe… confused, hiii Sio enough kumfanya awe suspect…
 
Kuna watu wanamajibu yao ambayo walitaka wayasikie iliwafurahie, kwa kifupi marehemu anapata watetezi kama wote ilihali alitongoza mke wa mwenzie wakati na yeye anamke wake.
Mwendazake anayo kesi ya ugoni,bora alale tu pabaya kuzimu
 
Katika hali ya taharuki na pia kila mtu katika jamii anamshtumu mkewe… confused, hiii Sio enough kumfanya awe suspect…
Mkewe lazima ashambuliwe, kuna mtu kapoteza maisha na kaacha ujumbe kuwa sababu ni penzi lake, unategemea nn? Watu waone kuwa ni kawaida mtu kujiua sababu kakataliwa tu?

Masanja Kuwa suspect ni jambo sahihi sana. Hata wewe rafiki yako wa kiume akijiua akaacha maandishi "Anita nitakumiss" halafu mda mchache mumeo akakuandikia ujumbe kuwa amekusamehe kwa yaliyotokea, tayari mumeo ni suspect. Kama hausiki itajulikana baada ya kujieleza.
 
Polisi ifikie mahala, wawe na akili wanapo toa taarifa za uchunguzi karne ya 21. Yaani kumkataa mtu hadi ukodi rafiki wa kukusindikiza? Unaenda kwake ili iweje?

Hapa Masanja achunguzwe-Kuna Movie ka icheza.
Walienda kumsuta..
 
Maswali ni mengi sana
 
Kamanda wa Police ndio kazidi kutuongezea maswali
 
Huyo Katibu inawezekana alikua mgonjwa wa akili …kujiua sababu ya kukataliwa is possible….

Pili, kusema kamsamehe ni baada ya kuona walimwengu tayari mshamuhukumu mkewe na yeye kuonyesha yupo na mkewe ht kny matatizo ndio akasema hivyo…. My friend baki na msimamo wako ila hauko enough kumfanya mtu awe suspect
 
jambo lipo clearly watu mnaweka complications nyiiiingi myth kibao kila mtu amekua FBI
 
Masanja na mkewe ni binadamu wanaweza kufanya dhambi ya uzinzi na mauaji hivyo kuwa suspect ni sahihi sababu marehemu katoa sababu ya wao kuwa suspect.

Kuhusu matatizo ya akili ya marehemu, Hata wenye matatizo ya akili hufa wakiuwawa hivyo kufanya uchunguzi ni sawa, na uchunguzi unaanza kwa suspect kama hausiki na mauaji itajulikana na amani yake itarejea.

Kama anahusika basi sheria ifuate mkondo angalau marehemu atendewe haki.
 
Umesema uchunguzi, na uendelee mimi na wewe tutabaki ku speculate tu, kila mtu abaki upande wake, to me Monica na mumewe wako innocent
 
Niaje boss wangu

Hebu kazia hii ,unaionaje issue hii

[emoji1]

Ova
Mimi naona marehemu kapata alichostahili. Iwe kwa kujiua au kuuwawa ni sahihi kabisa hiyo adhabu. Mke ni kitu kingine kabisa. Si unakumbuka Chameleone alivunjikaga miguu kwa kuruka toka ghorofani Impala hotel kisa mke wa mtu? Pia polisi ndo wameharibu zaidi kwa kusema kwamba manzi alienda kumkanya marehemu. Cha muhimu wanandoa wabadilike waache upumbavu wa show off zisizo na faida. Masanja ajikaze kwa kuchapiwa. Kama kuna tatizo labda la nguvu za kiume basi mke amsaidie mumewe kulitatua na sio kuanza kufanya umalaya.
 
Umesema uchunguzi, na uendelee mimi na wewe tutabaki ku speculate tu, kila mtu abaki upande wake, to me Monica na mumewe wako innocent
Anita, Sio suala la upande. Wewe unawapenda Monica na mumewe ila wengine wanatoa angalizo kuwa hao unaowapenda isije ikawa kuna aliyetenda dhambi ya mauaji halafu akaachwa.
 
Nilishasema haya makanisa ya kuzuka haya yana Mambo Yake na baada ya tukio kanisa litajaa Sana au atapewa cheo utaskia udoktor wa heshima hauna kichwa wala miguu
 
Watoto wa Masanja wapimwe DNA na chombo huru. Kama katibu hana chake pale mniite mbwa.
Kwenye hili tumuweke Masanja pembeni, kama wewe binafsi una familia na Watoto Tena unawapenda sana, leo uje uambiwe siyo Watoto wako ina make sense? Yani uwithdraw love kwa Watoto uliowapenda na always upo kwa akili yao?

Waliosema kitanda hakizai haram walikuwa sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…