Utata wa maelezo juu ya kifo cha Katibu na motive ya Mkandamizaji

Masanja ameshatua nchini kutoka USA kama dakika 25 zilizopita ,amepokelewa na Mkewe Monica pamoja na Mc Luvanda na Mkewe Lilian masha.

 
How convenient kwamba eti wakati yote hayo yakitokea Masanja yuko zake nje ya nchi

Watu wa Investigation Discovery mnanielewa. Hizi mambo watu wanazifanya sana sema tu polisi wetu ni utopolo hili suala halitaenda popote
Nchi mauwaji mengi yanatokea na wauwaji wapo nje tu huko uraiani wanadunda....
Polisi wetu kwenye matukio ya kuumiza kichwa kutafuta ushahidi wnakataga tamaa mapema kuendelea na uchunguzi

Heby tujikumbushe kidogo,yule mtoto
Aliyekutwa kafa huko kimara temboni
Hivi beki tatu ndiyo alionekana ameua au?polisi walikuja na majibu gani
MamaSamia2025

Ova
 

Hahaa Dekio lenyewe hata kama lipo kweli litakuwa limeoza kabisa yaani ukilishika tu linamong'onyoka.
 

Polisi wetu wangekuwa wanaangali ID channel wangekuwa wanaenda mbele zaidi kwenye uchunguzi ,sema ndio hivyo wao wanaangalia fedha tu pande zote za either kwa mshitaki au mtuhumiwa.
 
Huu uandishi unareflect kiwango kidogo sana cha kufikiria. Pole sana.
Wewe ulishuhudia kwamba yule binti kule Ngoreme/Serengeti kwamba alivuliwa nguo?

Ebu tafuta ile clip na uisikilize vizuri bila kutumia maneno ya Catherine Ruge na mwandishi habari yule wa Mchongo!

Hii ya Masanja inavuta husia za wengi sio kwa sababu ya wivu kwa Masanja mkandamizaji (Ingawa kweli uko sahihi,maana hiyo imekuwa kaduma ya watanzania)

Kutakiana mabaya all time tufanane kama wachawi.

Mimi kama mimi ninaliona hili jambo ki hivyo kwa sababu ...

Masanja ni mtu maarufu nchini.
Masanja ni kijana role model kwa vijana wengi wa kisasa.
Masanja ni mchungaji wa kanisa na mmiliki pia.

Mke wa Masanja ndiye mwenye siri kubwa na ni mafia fulani ambaye kamtia upofu Masanja na anampeleka vile atakavyo.

Kale kakijana nako ni mfano wa vijana wengi wanaotaka short cuts za maisha bila jasho.
Na inaonekana kalikwisha jimilikisha kwa muda mrefu.

Na kalikuwa kakihudumiwa kwa kila kitu.

Inawezekana kalifumaniwa na kisichana kingine na hivyo kutemwa ghafla huku kakiambiwa na bado.

"Nitahakikisha na kazi unafukuzwa hapa pindi mume wangu akirudi."

Au kalimtishia kwamba katatoa siri zote pindi mume atakapirejea.

Na safari ya mama mtu mzima na mke mhusika huenda ilikuwa ni kusudio la kwenda kumuonya na akawa mkaidi kuwa habadilishi maamuzi ya kutoboa ukweli.

Hivyo labda ndio ikawa plan "B" ikawa kumsilence kitaaluma zaidi.

Hapo ndio ninapopafikiria mimi.

Mke wa mkandamizaji has a lot to tell.....
 
VIPI KAMA HII HOJA YAMAHUSANO IMELETWA KULETAMKANGANYIKO WA SABABU HALISI ILI AONEKANE PIA ALIKUA NAMAkOSA. Investigation itafute kiini
mfano ukitaka kumuua paka mpe jina baya (shume) hakuna mtu atatetea
 
Na mm nikuobgezee swali hapo.


Je na ww unajuaje kama Mke wa mchungaji hakumfahamisha mume wake ?

Na Je kwann una husisha safari ya mchungaji nje ya nchi na tukio ili hali umehoji kwann mke wa mchungqji alienda nyumbani kwa marehwmu na mama mtu mzima ?
 
Suspicious no 2
Kwa nini masanja akatuma mtandaoni post ya kumsamehe mkewe siku moja baada ya tukio? Alikuwa na haraka gani? Alikuwa anajua kinachoendelea na kitakachotokea!?
Msamaha imategemeana na moyo wa mtu, considering yy ni kiongozi wa ki roho ivyo lzm atakuwa aliongozwa na matendo ya huruma na kuamua kusamehe ..maana hata Bwana yetu Yesu Kristo aliwasamehw wale wateai wake walio msulubisha pamona na peteo aliyemkana
 
Tena akisindikizwa na mtu mwingine[emoji28][emoji28]
yes it's possible ukiangalia kweny hii angle mke wa jamaa ka decide this time it's over for good mwamba akawa bado Ana hangover ya penz la kuiba mke akatumia busara kushirikisha mtu mzima mwenye kutunza siri kum convince kijana a move on na maisha yake lakn kijana medulla ikagoma aka test mitambo kutishia ku commit suicide ili msukuma aback down lakn cha ajabu akapewa green light take ur miserable life mwamba akaandika testimony akafanya yake kwa nn hii ni suicide not murder
1 kungekua hakuna testimony Inayo muongelea directly suspect (MONIKA) hakuna mbumbumbu ange commit murder harafu ajitaje kwa namna yoyote kitu ambacho tunajua tu lazima kita compromise the entire mission iyo inatoa majibu kua mwanawane na mke wake wapo clean na Kuna possibility kubwa masanja kajua hii siri baada ya blow up nae kapigwa na tofali kichwan jamaa hakuna namna anaweza kua involved afu akaacha ushaid ukaenda public Tena wenye kumfedhehesha mkewe wa ndoa

Nb kwa kila angle kutokana na Ile testimony ya Katibu mke wa jamaa kaliwa sanaaaa

but why that nigga took his own fvck life???
 
Hivi huyu Katibu hana Jina?
Habari ni Monica , Masanja na Katibu
Kwanini wasiandike Jina lake kamili je kuna watu wameshikishwa hela tayari?

Mbona wanatetea haraka na majibu mepesi kuwa kajinyonga bila upelelezi kumalizika
Kama wanataka tujue yote waseme fulani tumemuita anahojiwa na prime suspect ni huyo
 
Imeisha hiyo

Ova
 
Joas Steven.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…