Utata wa maelezo juu ya kifo cha Katibu na motive ya Mkandamizaji

Utata wa maelezo juu ya kifo cha Katibu na motive ya Mkandamizaji

Kwenye hili tumuweke Masanja pembeni, kama wewe binafsi una familia na Watoto Tena unawapenda sana, leo uje uambiwe siyo Watoto wako ina make sense? Yani uwithdraw love kwa Watoto uliowapenda na always upo kwa akili yao?

Waliosema kitanda hakizai haram walikuwa sahihi.
Kisha ni rahisi kunyooshea watu vidole, Huyo anayeuliza watoto wa Masanja Kama ni wake yeye wa kwake kawapima?!
 
Kitendo Cha mke wa masanja kwenda nyumbani kwa marehem kinaleta maswali mengi...
Hivi unaendaje nyumbani kwa mwanaume ambae anakutongoza umemkatalia? Hawa wanatuchezea mchezo ila picha lote wanalijua
 
inawezekana ww ndio hujawaelewa police kwanza kabisa kamanda amekubali kulikua na mahusiano ya mawasiliano baina ya victim (marehemu) na mke wa mwanawane
2 kamanda hajatoa direct code kama kondoo ili liwa kwa mkate na divai madhabahuni (mbususu)
3 kitendo cha kondoo kwenda na mama mtu mzima kuvunja penzi haiitaji degree ya Harvard kujua apo kulia na strong relationship behind the mwanawane back
4 kitu kinacho fanya hii nshu kua suicide and not murder ni testimony ya victim hakuna cover up operation yoyote kweny murder ukaacha ushaid directly unaokurudia ww mwenyew (Jina la MONICA) hii unaonesha jamaa ka commit suicide kwa free will yake
big question is kwa nn jaman ajiue kwa penz la kuiba na mke anae all in all
mayday mayday one idiot down I repeat one idiot down no need for back up
over

Yaani mchepuko uende kwenye nyumba ya wenyewe kuvunja mahusiano?
 
Tena akisindikizwa na mtu mwingine[emoji28][emoji28]
 
Ukifikiri kwa kina, haina maana ya mtu kujinyonga kisa kukataliwa, tena na mke wa mtu. Na ni mke wa mtu gani eti anakwenda nyumbani kwa anayemtongoza ili kumkataa? Kama amekuwa anamkataa siku zote, alishindwaje kumtaarifu mumewe kuwa katibu amevuka mstari? Badala yake akaenda na mama mtu mzima nyumbani kwa marehemu ili kumtaarifu juu ya kumkataa?[emoji1752][emoji1545]
Fact
 
inawezekana ww ndio hujawaelewa police kwanza kabisa kamanda amekubali kulikua na mahusiano ya mawasiliano baina ya victim (marehemu) na mke wa mwanawane
2 kamanda hajatoa direct code kama kondoo ili liwa kwa mkate na divai madhabahuni (mbususu)
3 kitendo cha kondoo kwenda na mama mtu mzima kuvunja penzi haiitaji degree ya Harvard kujua apo kulia na strong relationship behind the mwanawane back
4 kitu kinacho fanya hii nshu kua suicide and not murder ni testimony ya victim hakuna cover up operation yoyote kweny murder ukaacha ushaid directly unaokurudia ww mwenyew (Jina la MONICA) hii unaonesha jamaa ka commit suicide kwa free will yake
big question is kwa nn jaman ajiue kwa penz la kuiba na mke anae all in all
mayday mayday one idiot down I repeat one idiot down no need for back up
over
Investigation
 
Polisi ifikie mahala, wawe na akili wanapo toa taarifa za uchunguzi karne ya 21. Yaani kumkataa mtu hadi ukodi rafiki wa kukusindikiza? Unaenda kwake ili iweje?

Hapa Masanja achunguzwe-Kuna Movie ka icheza.
Mtazamo wa mleta mada wote wenye kufikiri kwa kweli ndio mtazamo tulionao mpaka sasa, ila polisi na wanasiasa wa Tz wanadharau sana akili za waTanzania maana mara nyingi hutudanganya danganya kama vile watoto.
 
Mimi hizi mambo zinanichanganya, lakini hebu ngojeni kwanza. Ina maana mke wa mchungaji alikuwa analiwa nyuma?
 
Hili nalo linaleta maswali mengi sana. Kuna jinsi mtu aliye guilty anaact kwa jinsi baada ya tukio kutokea. Huenda hii kusamehe labda alishasemehe siku nyingi baada ya kushtukia mchezo na kuamua ni nini atamfanya katibu.
Tukio limetokea, ghafla ushasamehe, na unakimbilia kupost mitandaoni. Sio jinsi ambavyo ungetegemea mtu aact baada ya kufiwa na katibu wake na hapo agundue katibu huyu alijiua kisa mahusiano na mkewe. Sio rahisi kibinadamu
Eti ! Hiyo ingemchukua muda wa siku kadhaa kulichekecha mpaka aje na resolution; maana ni impact double ya kufiwa na hapo hapo kusalitiwa na watu wawili aliokuwa anajua ni watu muhimu kwake . Hilo lingemshock sana , hapo ipo siri nzito!
 
Je, inawezekana Masanja aligundua haya mahusiano na kutumia njia za kimafia kumueliminate marehemu huku yeye akiwa nje ya nchi ili kukwepa kushukiwa?( Mambo ya kawaida haya kwenye Investigation Discovery)
Ile channel bwn kweli inatufanya tuwe natural investigators

Kuna kitu hakiko sawa kwny hii story ya Masanja...

Hasa suala la Motive/who benefits the most from the death of this guy ndio key issue hapa km anavyosema mtoa mada

Ila ndoa hizi sikuhz daah
 
faten maisha yenu, ya masanja hayawahusu, huo muda wa kujadiri maisha ya mwanaume mwenzenu, tumien kulisha familia zenu
Wao si kioo cha jamii,kama wanacyojitaga,lazima wajadiliwe sana tu...
Wamejadiliwa wakina ojay Simpson etc

Ova
 
How convenient kwamba eti wakati yote hayo yakitokea Masanja yuko zake nje ya nchi

Watu wa Investigation Discovery mnanielewa. Hizi mambo watu wanazifanya sana sema tu polisi wetu ni utopolo hili suala halitaenda popote
 
Kwa akili za kawaida kabisa,mleta hoja uko sahihi kabisaa!

Haiwezekani mke wa mtu,tena mama mchungaji wa kanisa.
atumiwe sms za kutongozwa na mtu ambae kimamlaka ni mtumishi wa mume wake.

Badala ya kukasirika kwa kudhalilishwa na mfanyakazi wake.

Badala ya kumwambia mume wake ili amuadabishe au kumuonya mfanyakazi wake.

Eti badala yake,Yeye anamtafute Mama mwingine na wafunge safari kwenda kwa mtongozaji,eti kumuonya aache kumtongoza!
Huyo mama mtu mzima huyo ndie mshenga halisi wa hao wazinifu wawili.( marehemu na mke wa mkandamizaji).

Hii haiingii akilini hata kwa mtu ambaye hana taaluma ya "Criminal investigation" ya "Homicide"

Hawa wanandoa walipaswa kuwa chini ya uangalizi maalumu kwa muda wa kutosha bila wao kujua.

Wafuatiliwe mawasiliano yao kwa muda kupitia kitengo cha "cyber crime" na hatimae wangeiongoza Polisi wenyewe kumuonyesha the "Hitman"

Pia huyo mama mtu mzima,aliyemsindikiza kwenda nyumbani kwa mtongozaji pia angehojiwa kwa nini alimsindikiza kwenda kwa marehemu.

Wakati kwa Busara za kiutu uzima,yeye alipaswa kuwakutanisha tena sio majumbani kwao,bali kanisani wanakosali kila siku.
Na kutolewa onyo hilo au katazo hilo.

Na kama ni tukio halisi kama lilivyo kwamba ni
"Comited Suicide" pia ingejulikana kwa uhalisia zaidi.

Kwa uhalisia ni kwamba hawa wamekuwa na mahusiano ya muda mrefu,kiasi kwamba yule marehemu alikwishajiaminisha kwamba nae ni mbia wa hiyo ndoa yenye utata.
Pia kusitishiwa mahusiano ghafla,huenda pia na kibarua kilikua kinaelekea kuota nyasi kanisani,kwa mamlaka aliyonayo mama mchungaji ambae ni mke wa mkandamizaji.

Hivyo kwa kutokuwa na sehemu yoyote aliyokuwa amejiandalia ili kujipatia kipato cha mkate wa siku.

Ukizingatia alikwishazowea kulelewa kama ki-ben ten,aliona Dunia imemuelemea zaidi na hivyo bora ajifiche kabirini mapema.

Pia Masanja nae anapaswa kutiliwa shaka,kwa kitendo chake cha kutoonyesha kuguswa kabisa na hisia za mkewe kumsaliti na hadi kupekea umauti wa mmoja wa watumishi wa kanisa lake.

Badala yake ni kama kifo kile ndio kimetia kachimbari kwenye ndoa hiyo tata.

Hii siielewi unless otherwise kwamba Masanja nae awe ni member wa Wanaume wa Dar es salaam,kwamba "Bila vumbi la Congo no Power"

Badala ya Polisi Commander wa mkoa kuja na taarifa hizi zenye utata mtupu.

Wangefanya upelezi yakinifu na hatimae kuja na taarifa yenye mashiko.

Kwani kungekuwa na ubaya gani angeishia tu kusema....

"kesi hii jeshi la Polisi, tumeifungulia jalada la uchunguzi na tutatoa taarifa kamili kwa umma,mapema pindi tutakapokamilisha upelelezi. wetu"

Mbona kesi ya Lissu mpaka leo hawajaitolea taarifa rasmi?

Khe!!!!
 
Wadau, leo kumesambaa taarifa kwenye vyombo vya habari kutoka kwa kamanda wa polisi Muliro akielezea sababu za kujiua katibu wa Feel Free Church kutokana na uchunguzi wa awali.

Maelezo ya kamanda yanapeleka kwenye hitimisho moja kuwa, Mama Mchungaji (Monica) na marehemu hawakuwa na mahusiano na kwamba katibu amejiua kwa kukataliwa baada ya kuwa akimtongoza Monica. Inasemekana marehemu, alikuwa akimtumia jumbe za kimapenzi, jambo ambalo lilimfanya Monica akiwa na mama mtu mzima(hakutajwa jina) kufika nyumbani kwa marehemu siku moja kabla ya kifo chake kwa leo kumuhabarisha kuwa hataki kutumiwa jumbe hizo na wala hawezi kuwa nae kwa vile yeye ni mke wa mtu.

UTATA MTUPU…!

Kwa sisi wapenda documentaries za crime, hizi sababu zinaleta utata kuliko majibu. Katika matukio ya vifo kama hivi vinavyohusika mapenzi au fedha, lazima kitu kiitwacho MOTIVE kiwe established.
Katika wahusika wote watatu katika tukio hili, mtu mwenye motive kubwa ni Masanja. Haijalishi alikuwepo nchini au hakuwepo wakati tukio linatokea.

Ukifikiri kwa kina, haina maana ya mtu kujinyonga kisa kukataliwa, tena na mke wa mtu. Na ni mke wa mtu gani eti anakwenda nyumbani kwa anayemtongoza ili kumkataa? Kama amekuwa anamkataa siku zote, alishindwaje kumtaarifu mumewe kuwa katibu amevuka mstari? Badala yake akaenda na mama mtu mzima nyumbani kwa marehemu ili kumtaarifu juu ya kumkataa?

Je, ni kweli marehemu alijinyonga? Au amenyongwa halafu cover up imefanyika?

Je, inawezekana Masanja aligundua haya mahusiano na kutumia njia za kimafia kumueliminate marehemu huku yeye akiwa nje ya nchi ili kukwepa kushukiwa?( Mambo ya kawaida haya kwenye Investigation Discovery)

Uzuri kamanda amesema maelezo yake ya leo ni uchunguzi wa awali na bado wanaendelea. Naamini majibu yatapatikana tu, ila Masanja Mkandamizaji aangaliwe kwa ukaribu sana. Ndiye mtu pekee mwenye MOTIVE ya kuchezesha mambo. Simu za wahusika wote zikaguliwe kwa kina, na majibu yatakuwemo humo.
It's none of ur bussiness,tafuta pesa jombaa,umbea haukusaidii chochote,
Wabongo bana,Kuna Binti alivuliwa nguo mbele ya baba yake mara,baba akachukuliwa,akauliwa,hii kesi wabongo hakuna anayeitolea povu!!ila ya mke wa Sanja boy na toy boy wake,inawatoa povu balaa,na wengi wenu sio kwamba mna uchungu saaana na huyo mpuuzi katibu,wengi wenu mnataka na mtafurahi hili jumba bovu limuangukie Sanja boy,ashitskiwe,akutwe na hatia afungwe maxima,Ili awe fukara kama nyinyi,watu weusi maskini siku zote hawapendi kuona mweusi mwenzao yupo juu,wanatamani wamshushe awe kama wao.
 
Huu uandishi unareflect kiwango kidogo sana cha kufikiria. Pole sana.
 
Hiyo ni taarifa ya awali ngoja tusubiri wahusika ,Ni kweli sababu inayotolewa haiingii akilini maana mtu anaweza ku stage tukio kwenye kupoteza ushahidi na asiwepo wakati wa utekelezaji
Labda hela ya kanisa imetafunwa, kwa hiyo wanamuondoa katibu kabla mambo hayajasambaa
 
Back
Top Bottom