Utata wa siku 3 za Yesu na hesabu zetu

Utata wa siku 3 za Yesu na hesabu zetu

Mkuu hizo hesabu zako za ijumaa na jumapili zinapingana na hesabu alizotoa Yesu , hilo ndio la msingi

Bro kwa kukusaidia chukua biblia yako uache uvivu soma sura yote ya 19 ya injili ya Yohane basi walau upate kujua usichokijua
 
Bro kwa kukusaidia chukua biblia yako uache uvivu soma sura yote ya 19 ya injili ya Yohane basi walau upate kujua usichokijua
Mkuu unashindwa kuelewa jambo moja kuwa Yohana wala hajataja ijumaa wala jumapili,,nyie mnaoleta hesabu za ijumaa na jumapili ndio hamko sahihi maana mnapingana na Yesu , zile USIKU 3 na MCHANA 3 hazifiki , hivyo ni uzushi
 
Umesoma tokea nilipoanza au umerukia tu hii comment mkuu?
Nimekupata vizuri ,hoja yako kuwa jambo likifanyika ata kwa sehemu ndogo katika siku husika inahesabika siku nzima ,nasema hii ni batili , kwa sababu , Yesu alikusudia kuwa atakaa USIKU 3 na MCHANA 3, kama idadi hiyo haijafikiwa hicho unachoamini ni uongo
 
Biblia na vitabu vya ki history vya kiyahudi vinasema Hivyo
kuwa Yesu alizaliwa kwenye zizi la Ng'ombe ushahidi wa ki Maandiko upo wazi MBONA?
Mr. Lies Teller (sorry to call you Lies teller - unless you prove fact) .
Tuletee ushahidi kuwa alizaliwa kwenye zizi la Ng'ombe Ikiwa wewe ni msema kweli.
 
Lete huo ushahidi tuuone Ikiwa wewe ni msema kweli Mr. Truth finder!
Luka 2:7
MBONA unaelezea wazi?
Au Wewe unasemea mtende gani?
IMG_20190419_140819.jpeg
 
Luka 2:7
MBONA unaelezea wazi?
Au Wewe unasemea mtende gani?View attachment 1075626
Bado Nakutaka ulete ushahidi:
Ni wapi katika ushahidi uliouleta panasema Yesu alizaliwa kwenye Holy la Ng'ombe??.

soma tena:
[6 Walipokuwa Bethlehemu, wakati wa Mariamu kujifungua uli fika, 7 naye akamzaa mtoto wa kiume, kifungua mimba. Akamfunika kwa vinguo na kumlaza horini, kwa sababu hapakuwa na nafasi katika nyumba ya wageni]

Hebu rudia hizo Bold halafu uje unambie kuwa Yesu alizaliwa kwenye zizi la Ng'ombe.
Hivi nafasi za kulala wageni zingekuwepo, angelazwa kwenye Holi la Ng'ombe??. Na kama angelazwa kwenye guest House tungesema kazaliwa guest house?? Ndio ufahamu wako kaka??? Au tunabeba mafundisho kama yalivyo kwa kuwa haturuhusiwi kuhoji?. Tunatofauti gani na Punda anayebeba mizigo bila kujua kilichpmo ndani ya mizigo hiyo??
 
Utaratibu wa Wayahudi ktk kuhesabu siku enzi zile, haukuwa sawa na huu wa kwetu - mfumo wa saa 24.
Siku ya Ijumaa ilianza siku ya Alhamis jioni baada ya jua kushuka - siku ya kwanza
Siku ya Jumamosi ilianza siku ya Ijumaa jioni baada ya jua kushuka - siku ya pili
Siku ya Jumapili ilianza siku ya Jumamosi jioni baada ya jua kushuka - siku ya tatu.
Mkuu ulieelewa maana ya mchana tatu na usiku tatu, yaani 3 nights and 3 days???
 
Utaratibu wa Wayahudi ktk kuhesabu siku enzi zile, haukuwa sawa na huu wa kwetu - mfumo wa saa 24.
Siku ya Ijumaa ilianza siku ya Alhamis jioni baada ya jua kushuka - siku ya kwanza
Siku ya Jumamosi ilianza siku ya Ijumaa jioni baada ya jua kushuka - siku ya pili
Siku ya Jumapili ilianza siku ya Jumamosi jioni baada ya jua kushuka - siku ya tatu.
Haya anza kuhesabua sabato katika hesabu yako,halafu ukimalixa kokotoa siku tatu za kuwa Yesu.
 
Mkuu mimi sielewi kwa nini watu wanalazimisha kuwa Yesu alikufa na kuzikwa Ijumaa ,kisha kufufuka Jumapili japo maandiko hayaungi mkono hicho kitu
Mleta mad amenifungua macho, sikuwa kuwaza juu ya siku tatu za ufufuo wa yesu, hata ikihesabu kwa kalenda ya wayahudi bado hesabu zingoma.
 
Mkuu mimi wasiwasi wangu ni kuwa yaweza ikawa Yesu alisulubiwa kabla ya ijumaa ndio yanaweza fika masaa 72. wewe unaonaje. najua una utaalam
Ila Mkuu usisahau kuwa dini ni biashara kama biashara nyngine...! Hv vtu havpo kwenye biblia n mambo ya kujitungia tu kama ilivyo salamu maria
 
Kwa kawaida siku kwa wa yahudi ilikuwa na masaa 12 sio 24 hivyo alikufa ijumaa saa tisa mpaka saa 12 ijumaa ilikuwa siku ya kwanza jumamosi saa 12 iliisha siku ya pili na tayari ilianza jumapili yaani siku ya 3 kwa hesabu hizo Yesu alifufuka siku ya Tatu jumapili


Sent from my iPhone using JamiiForums
Thibitisha
 
Back
Top Bottom