Utata wa siku 3 za Yesu na hesabu zetu

Utata wa siku 3 za Yesu na hesabu zetu

Hata kama angekaa week kama mtu hataki kuamini asingeamini tu,ni ngumu hata leo mimi na wewe tuambiwe kuna mtu amefufuka mahali hatutaamini kwa sababu hatujashuhudia ndivyo ilivyokuwa wakati wa Kristo.

Binadam kama tusivyojua exactly mwanzo wetu na mwisho wetu vingi tunaviishi kwa imani tulizokuzwa nazo so hoja za sijui siku moja au mbili even siku tatu inakuwa hoja mfu bora imani ya mtu aliyo nayo tunazoamini zitatupa mwisho mwema.
 
Yohana 10:14
Mimi ndimi mchungaji mwema; nao walio wangu nawajua; nao walio wangu wanijua mimi;

Yohana 10:15
kama vile Baba anijuavyo, nami nimjuavyo Baba. Nami nautoa uhai wangu kwa ajili ya kondoo.

Yohana 10:16
Na kondoo wengine ninao, ambao si wa zizi hili; na hao nao imenipasa kuwaleta; na sauti yangu wataisikia; kisha kutakuwako kundi moja na mchungaji mmoja.

Yohana 10:17
Ndiposa Baba anipenda, kwa sababu nautoa uhai wangu ili niutwae tena.

Yohana 10:18
Hakuna mtu aniondoleaye, bali mimi nautoa mwenyewe. Nami ninao uweza wa kuutoa, ninao na uweza wa kuutwaa tena. Agizo hilo nalilipokea kwa Baba yangu.
 
Hata kama angekaa week kama mtu hataki kuamini asingeamini tu,ni ngumu hata leo mimi na wewe tuambiwe kuna mtu amefufuka mahali hatutaamini kwa sababu hatujashuhudia ndivyo ilivyokuwa wakati wa Kristo.

Binadam kama tusivyojua exactly mwanzo wetu na mwisho wetu vingi tunaviishi kwa imani tulizokuzwa nazo so hoja za sijui siku moja au mbili even siku tatu inakuwa hoja mfu bora imani ya mtu aliyo nayo tunazoamini zitatupa mwisho mwema.
Utaamini vitu ambavyo havipo na viwepo. Acha kukata tamaa mkuu. Eti ili mradi Imani? upo serious kabisa mkuu
Fikiria upya jibu lako halafu urudi tena na hoja nzito
 
Inaweza kuwa Jumatano
Kumbe hata wewe huna uhakika Mkuu

Basi turudi kwenye maelekezo ya biblia juu ya siku hiyo aliyosulubiwa katika kitabu cha Luka

LK. :23:54
Na siku ile ilikuwa siku ya Maandalio, na sabato ikaanza kuingia.

Siku aliyosulubiwa Yesu ilikuwa siku ya maandalio ya sabato

Tuanzie hapo kwa unavyofahamu siku ya sabato ni ipi?
 
Kumbuka katika wiki ya Pasaka kulikuwa na Sabato nyingine pia ukiachilia mbali ile ya kila wiki ambayo ni jumamosi. Kulikuwa na siku za mapumziko pia

The Sabbath -Hi ndio sabato ya kila wiki
Leviticus 23:3 “‘There are six days when you may work, but the seventh day is a day of sabbath rest, a day of sacred assembly. You are not to do any work;wherever you live, it is a sabbath to the Lord.

The Passover and the Festival of Unleavened Bread - hapa pia kuna siku ya mapumziko.
4 “‘These are the Lord’s appointed festivals, the sacred assemblies you are to proclaim at their appointed times: 5 The Lord’s Passover begins at twilight on the fourteenth day of the first month. 6 On the fifteenth day of that month the Lord’s Festival of Unleavened Bread begins; for seven days you must eat bread made without yeast. 7 On the first day hold a sacred assembly and do no regular work. 8 For seven days present a food offering to the Lord. And on the seventh day hold a sacred assembly and do no regular work.’”

Kwahiyo inaposema siku ya maandalio inaweza ikawa hiyo ya pili ambayo hufanyika katika sherehe za pasaka
 
LK. :24:1
Hata siku ya kwanza ya juma, ilipoanza kupambazuka, walikwenda kaburini, wakiyaleta manukato waliyoweka tayari.

Haiwezi kuwa sabato hiyo uliyoitaja maana kwenye fungu hili inataja kuwa siku iliyofuata baada ya sabato ilikuwa siku ya kwanza ya juma kwa hiyo sabato iliyokuwa ikizungumzwa hapo ni ile ya juma

Sasa turudi kwenye swali la awali ili kuondoa utata wako wa jumatano
 
Ndi hivyo mkuu . Kuna watu wanalazimisha kwamba ijumaa jioni mpaka jumapili kabla ya alfajiri ni siku tatu. Hoja yangu ni kuwa hakuna ushahidi kuwa Yesu alisulubiwa Ijumaa. Mwenye huo ushahidi atupatie. Tunajifunza

Ushahidi upo kwamba alisulubiwa ijumaa ndo maana hawakutaka miili yao ikae mpaka siku ya sabato maana ingekuwa na kuinajisi siku takatifu kwao na sabato ni jumamosi sasa nyuma ya jumamosi kuna siku gan kama sio ijumaa
 
Alizikwa jioni na siyo saa tisa .
Mathayo27:57 Ilipokuwa jioni, akaja mtu mmoja tajiri mwenyeji wa Armathaya, jina lake Yosefu. Yeye pia alikuwa mwanafunzi wa Yesu. 58 Akamwendea Pilato, akaomba apewe mwili wa Yesu. Basi, Pilato akaamuru apewe. 59 Yosefu akauchukua ule mwili akauzungushia sanda safi ya kitani, 60 akauweka ndani ya kaburi lake jipya alilokuwa amelichonga katika mwamba. Kisha akavingirisha jiwe kubwa mbele ya mlango wa kaburi, akaenda zake
Ahahhahahaahhaah jamaa anataka kudanganya tena jioni ndio usiku , hapa tunapata picha nyingine Yesu kazikwa siku inayofata baada ya kufa
 
Ushahidi upo kwamba alisulubiwa ijumaa ndo maana hawakutaka miili yao ikae mpaka siku ya sabato maana ingekuwa na kuinajisi siku takatifu kwao na sabato ni jumamosi sasa nyuma ya jumamosi kuna siku gan kama sio ijumaa
Sabato ni siku ya saba ya juma sio jumamosi , ndio maana mnalazimisha iangukie jumapili , ata kwenye sabato mjitafakari sana
 
Hata kama angekaa week kama mtu hataki kuamini asingeamini tu,ni ngumu hata leo mimi na wewe tuambiwe kuna mtu amefufuka mahali hatutaamini kwa sababu hatujashuhudia ndivyo ilivyokuwa wakati wa Kristo.

Binadam kama tusivyojua exactly mwanzo wetu na mwisho wetu vingi tunaviishi kwa imani tulizokuzwa nazo so hoja za sijui siku moja au mbili even siku tatu inakuwa hoja mfu bora imani ya mtu aliyo nayo tunazoamini zitatupa mwisho mwema.
Hizi siku zinazosemwa ni za kubuni
 
Kumbe hata wewe huna uhakika Mkuu

Basi turudi kwenye maelekezo ya biblia juu ya siku hiyo aliyosulubiwa katika kitabu cha Luka

LK. :23:54
Na siku ile ilikuwa siku ya Maandalio, na sabato ikaanza kuingia.

Siku aliyosulubiwa Yesu ilikuwa siku ya maandalio ya sabato

Tuanzie hapo kwa unavyofahamu siku ya sabato ni ipi?
Suala hapa sio uhakika , hoja hapa ni kuwaaminisha watu uongo kuwa Yesu alikufa Ijumaa na kufufuka jumapili wakati sio kweli
 
Siamini kama una-uthibitisho wa hicho unachokisema: Nikukumbushe tu kuwa hata Biblia iliandikwa miaka kadhaa baada ya kuondoka Yesu. Mfano: Yohana aliandika injili miaka yake ya 90 akiwa mzee sana na baada ya kuondoka yesu kitambo. Hao watatu wengineo walikopiana. Ndiyo maana unakuta Biblia imejaa Descrepancy nyingi. Christmas utata mtupu, pasaka utata mtupu.
Ilikuwa ni wajibu Mwenyezi Mungu kupitia Qur'an asahihishe mkanganyiko uliojitokeza Kwani Quran ni ufunuo wa Mungu kwa kinywa Cha Muhammad.
Ndiyo Pia utaona Kuna mengi Biblia imekalia kimya lakini Qur'an imeyazungumza.
Mfano: 1. Kuongea kwa Yesu utotoni. 2. Uchaguzi wa Mariam juu ya Nani amlee 3. Kuletewa chakula kutoka mbingu Mariamu. 4. Kuzaa chini ya Shina la mtende. nk.

Labda pia nikushangae kwa wewe kuwapenda wayahudi waliomuua Mungu wako! Tukio lenye utata ambao ndiyo shina na mjadala huu.
mmmhhhhh ko Mariam hakuzaa kwenye zizi la ng'ombe???
 
Ok kwani mwanzo wa juma ni lini....ukianzia hapo nadhani utapata jibu Yesu alikufa lini biblia msizisome juu juu tu
Mkuu hizo hesabu zako za ijumaa na jumapili zinapingana na hesabu alizotoa Yesu , hilo ndio la msingi
 
Back
Top Bottom