Mohamedy cadinaly
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,449
- 2,245
We jamaa hisibati ulipata ngap? MBNA muongo hvKuna baadhi ya vitu havifanyiwi hesabu kwa kutumia namba kamili, ndio maana kukawa na somo la MAKADIRIO!..
Mojawapo ni hilo, toka Ijumaa mpaka Jumapili ni siku tatu kikawaida. Sawa na birthday yako (ukizaliwa leo tarehe 16 saa 4 Usiku ina maana utakuwa unaiadhimisha ikifika tarehe 16 saa 4 usiku?)
Ushahid wa kibibilia kuhusu hichi ulichokiandika kiko wap?Siku zinazozungumzwa ni za matukio, na co cku kamili za kibinadamu yaani masaa 72,,
-siku ya kwanza kafara ya ukombozi ilitolewa kwa kifo cha Yesu Kristo (Ijumaa)
-siku ya pili, Yesu alipumzika kaburini(Jumamosi )
-siku ya tatu alifufukA(Jumapili )
Sent using Jamii Forums mobile app
hisabati ya level gani?.. hebu nionyeshe uongo calculus!..🙂We jamaa hisibati ulipata ngap? MBNA muongo hv
Hata bibilia iliandikwa baada ya yesu kufa...Mkuu Koran ni kitabu kiliandikwa miaka mamia baada ya Yesu, hakiwezi kuwa na taarifa za kweli kuhusu Yesu. Yaani hicho kimejaa mawazo ya Mtume tu na chuki zake dhidi ya wayahudi-ni kopy ya Biblia +mawazo ya kubuni mtume
Ww jamaa bwana yani ijumaa iwe alhamis tena? [emoji1] [emoji1] [emoji1]HIyo unayoambiwa ni Ijumaa yaweza kuwa ilikuwa alhamis jioni mara baada ya jua kuzama.Kwa hesabu za wayahudi na hata wasabato hiyo tayari ni ijumaa. Rejea mjumbe mmoja hapo juu alivyokufafanulia jinsi wayahudi walivyohesabu siku.
Umenena vyemaSiyo kweli mkuu. Walikuwa wanahesabu kwa utaratibu huu , jua likizama ,siku inaanza na nyingine inaisha. Kwa mfano sabato inaanza ijumaa jua likizama na inaisha jumamosi jua likizama. Na hayo ni masaa 24 na siyo 12
Kwahyo Mkuu unatumia akili za wazee wa kanisa kufikiria? Kaz ipoMi Wazee wa Kanisa washaniambia hivyo kwamba ni siku tatu na huo ndio msimamo wangu hadi pale wazee wa kanisa watakaponiambia vinginevyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini ulazimishe kuanza kuhesabia Sabato wakati Scripture iko wazi kuhusu hili?Haya anza kuhesabua sabato katika hesabu yako,halafu ukimalixa kokotoa siku tatu za kuwa Yesu.
Ndio NdioKwahyo Mkuu unatumia akili za wazee wa kanisa kufikiria? Kaz ipo
hahahahahahaSiku zinazozungumzwa ni za matukio, na co cku kamili za kibinadamu yaani masaa 72,,
-siku ya kwanza kafara ya ukombozi ilitolewa kwa kifo cha Yesu Kristo (Ijumaa)
-siku ya pili, Yesu alipumzika kaburini(Jumamosi )
-siku ya tatu alifufukA(Jumapili )
Sent using Jamii Forums mobile app
Je Yesu alikufa siku tatu kama alivyojitabiria au siku tatu (masaa 72) hazikufika au hakumaanisha siku tatu kamili? ( siku tatu za Yesu zilikuwa za masaa 72?)
Mathayo 12: 40 '' Kwa maana kama vile Yona+ alivyokuwa katika tumbo la yule samaki mkubwa siku tatu mchana na usiku, ndivyo Mwana wa binadamu+ atakavyokuwa katika moyo wa dunia+ siku tatu mchana na usiku'' (Mathew 12:40For as Jonah was three days and three nights in the belly of a huge fish, so the Son of Man will be three days and three nights in the heart of the earth.)
Kumbuka hili ni jibu la Yesu wakati akitaka kuwathibitishia mafarisayo na walimu waliotaka ishara kutoka kwake Mathayo12.38 Ndipo baadhi ya waandishi na Mafarisayo wakamjibu, wakasema: “Mwalimu, tunataka kuona ishara kutoka kwako.” . Hivyo akatumia mfano wa Yohana kwa kuwaambia atakaa chini ya moyo wa ardhi kama alivyokaa Yona kwa siku tatu. Kwa hiyo hii ilibaki mioyoni mwao kama kipimo cha ukweli wake. Angefufuka kabla siku hizo tatu hazijafika mafarisayo wasingemuelewa. Wangemuita muongo na hakutoka kwa Mungu.
Kuna waalimu hufundisha kuwa Yesu alisulubiwa Ijumaa na wanaiita Ijumaa kuu ( Good Friday) na akafufuka Jumapili asubuhi na mapema.Je kuna ukweli hapo? Tukiamini kwamba Yesu alikufa Ijumaa mchana na akazikwa jioni kabla ya Sabato na kufufuka Jumapili asubuhi sana, Je siku Tatu zilitimia?
Kwa hesabu hizi alilala ijumaa usiku, akashinda jumamosi mchana na jumamosi usiku.
Je hizo ni siku tatu mchana na usiku kwa maana ya three days and three nights.
Wajuzi wa mambo tuelimishane hii ipoje
Mkuu nimegundua vitu kadhaa kwenye bandiko lako.
Kwanza -kwamba Yesu hakusulubiwa Ijumaa ,ni nyuma ya hapo, hivyo hata ijumaa kuu au Good friday ni siyo halali au haina ukweli kwa kuwa Yesu hakufufuka siku hiyo. Je kuna haja ya kuwa na Ijumaa? kwa nini inalazimishwa uwepo wake. Wakristo tujadili hili.
Pili -kwamba wale waioenda kaburini ,ilikuwa ni jumapili kukiwa bado na giza ,na walikuta kaburi likiwa wazi, Yesu akiwa ameishafufuka, hivyo hakuna anayejua alifufuka muda gani. Unamaanisha hii jumapili nayo ni ya mashaka. Wakristo wenzangu, Kwa yeyote anayejua uhakika wa hii jumapili kuwa ndio Yesu alifufuka atusaidie. Biblia inasema wale wanawake walienda Jumapili wakakuta Yesu hayupo kaburini. Je uhakika kuwa Yesu alifufuka siku hiyo tunautoa wapi? Tujadiliane
Kulingana na maandiko Yesu aliuawa siku ya maandalio ya Sabato ambayo kwa yakini ni Ijumaa. Majira ya saa Tisa alipoteza sifa ya kiumbe hai pale Msalabani. Alfajiri na mapema Siku ya kwanza ya juma(Jumapili alifufuka). Ndivyo tusomavyo.
Yesu alikaa Kaburini Usiku wa ijumaa na Jumamosi. Alikaa Kaburini Robo ya mchana wa Ijumaa na mchana mzima wa Jumamosi. Alikaa kaburini Asubuhi moja tuu ha jumamosi.
Alikaa tumboni siku tatu usiku na mchana na siyo kufaKwani Yona alikufa tumboni mwa nyangumi?
Ikawa jion ikawa asubuhi maana yake ni usiku mmoja na mchana mmoja, hivyo pamoja na utaratibu kubadilishwa bado siku inabaki kuwa na masaa 12 usiku na massaa kumi na mbili mchana ambayo ni 24Utaratibu wa kibiblia ni kuwa ikawa jioni ikawa asubuhi ni siku inepita moja,so alilazwa kaburini ijumaa kabla ya sabato kuingia,ina maana mpaja sabato kuja kuingia ni siku moja,na muda aliokaa kaburini mpaka kujs kufika j2 alfajiri ni siku 3,zhuu utaratibu ws kuhesabu masaa 24 ni utaratibu mpya kabisa uliotabiriwa kuwa majira na nyakati yatabadilishwa,Bless you
Soma maandiko yanasema Yesu aliahidi atakaa kaburini siku tatu usiku na mchana ( three days and three ninghtsUmesema alizikwa kabla ya sabato (ijumaa) hiyo ni siku ya kwanza.
Jumamosi( ya pili)
Jumapili( ya tatu) siku zao zilikuwa zinaanza saa kumi na mbili au mi sijakuelewa).