Utawala mpya wa Jawlani nchini Syria waiandikia barua UN Security Council wakilalama kuhusu Israel kuendelea kujitwalia maeneo ya ardhi yake zaidi

State Propaganda

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2024
Posts
542
Reaction score
1,286
Utawala mpya wa Syria ulio chini ya kikundi cha kigaidi cha kiislamu chenye itikadi kali kijulikanacho kama Hayat Tahrir al-Sham (HTS), unaoongozwa na gaidi kiongozi Abu Mohammed al-Jawlani, umeiandikia barua yenye malalamiko na manung'uniko mengi Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN Security Council) kuhususiana na mwenendo wa Israel kuendelea kujitwalia maeneo zaidi katika Taifa hilo huru kinyume kabisa na sheria za Umoja wa mataifa.

📌Kama mdau na mchambuzi wa siasa namedani za kimataifa, Nini maoni yako?
 

Attachments

  • IMG_20241214_140437_767.jpg
    93.4 KB · Views: 2
Wakati wanasaidiwa kumuondoa Bashar Ally Asaad walifikiri ni bure bure gharama lazima zilipiwe
 
Wanatumia karatasi na kalamu kulalamika kwa UN, wenzao wanatumia mabomu, na midege heavy kubomoa na kupora ardhi duuuuh ama kweli.
 
BREAKING NEWS: HTS leader Abu Mohammed al-Jawlani (real name Ahmad Al-Sharaa) said:

➤ “We are not seeking to engage in a conflict with Israel.”

➤ “We are in contact with Western embassies and holding discussions with Britain to restore its diplomatic representation in Damascus.”

➤ “Our goals are clear, and our plans are ready for reconstruction and development in Syria.”
 
Syria, ipindueni serikali ya Benjamin Netanyahu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…