Utawala mpya wa Jawlani nchini Syria waiandikia barua UN Security Council wakilalama kuhusu Israel kuendelea kujitwalia maeneo ya ardhi yake zaidi

Wapambane kulinda ardhi yao waache kutafuta huruma.
 
🇮🇷🇮🇷🚨 | IRGC Navy Commander, Alireza Tangsiri:

📍 We have begun building guided missile submarines
🔸 We are building 67-meter soft-alloy aluminum vessels; this is in a situation where limited countries have the ability to produce this product.

🔸 Today, we are proud to have begun building guided missile submarines.

🔸 Enemies' threats are fully monitored, and with the deterrent power of Islamic Iran, we neutralize these threats.

🇮🇷 @NEWWORLDORDYR
 
Yaani utoke kuwa muislam-itkadi kali - then ghafla anafikiri anaweza kuongoza nchi tena kwenye eneo korofi kama hilo??
 
Hahaha hiyo chai tu, Israel hawawezi kufanya uhuni huo, tuletee ushahidi wa ulichokiona nasi tuone.
 
Gaidi ni jina la kupora mali, muda sio mrefu hao waita watu magaidi wataanza kuja Syria na kuita serikali ile sio ya magaidi tena, ni usanii na uongo uongo tu
 
Mambo yanayoendelea Syria ni muendelezo tu wa uhayawani wa Israel nchini Palestina.

Na

Jumuiyaya umoja wa Taifa imefeli kuidhibiti Israel. Umejidhihirisha kuwa na "double standards ".Damn fkng world!
 
What's going on in Syria seems to be beyond your comprehension.
Buffer zone siyo uvamizi, ni hatua muhimu za kujikinga unapopata jirani asiye julikana.
Mipaka ya Syria inajulikana, buffer zone in Syria
 
Israel inatakiwa iichukue nchi yote ya Syria ili akili iwakae sawa hawa washenzi.

Walijua ile misaada ya kijeshi waliyopewa na Israel pamoja na marekani ni ya bure!?? Wajinga kabisa
 
Wanatumia karatasi na kalamu kulalamika kwa UN, wenzao wanatumia mabomu, na midege heavy kubomoa na kupora ardhi duuuuh ama kweli.
kila kitu kina md wake,kumbuka wahuni ndo kwanza wamekalia nchi halafu fisi mmpenda dezo na mteremko anajimegea ardhi hao waisareli watakaoenda kukaa hayo maeneo hajitakii mema na roho zao
 
BREAKING: AL JULANI ASKED FOR THE IMMEDIATE INTERVENTION BY US TO STOP ISRAELI EXPANSION😂
 
He has been used only by USA and Israel
Israel inatakiwa iichukue nchi yote ya Syria ili akili iwakae sawa hawa washenzi.

Walijua ile misaada ya kijeshi waliyopewa na Israel pamoja na marekani ni ya bure!?? Wajinga kabisa
And now he is a dead man walking
 
Lucas wa Shamba anasemaje hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…