Utawala mpya wa Syria ulio chini ya kikundi cha kigaidi cha kiislamu chenye itikadi kali kijulikanacho kama Hayat Tahrir al-Sham (HTS), unaoongozwa na gaidi kiongozi Abu Mohammed al-Jawlani, umeiandikia barua yenye malalamiko na manung'uniko mengi Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN Security Council) kuhususiana na mwenendo wa Israel kuendelea kujitwalia maeneo zaidi katika Taifa hilo huru kinyume kabisa na sheria za Umoja wa mataifa.
📌Kama mdau na mchambuzi wa siasa namedani za kimataifa, Nini maoni yako?