Utawala wa Samia ni Fundisho tosha kwa Nchi Namna ya kuchagua Makamu wa Rais

Utawala wa Samia ni Fundisho tosha kwa Nchi Namna ya kuchagua Makamu wa Rais

Samiah tunamuonea TU!

Ujasusi wetu badala ya kuijenga jamhuri kitaasisi,Kwa miaka mingi wamekua wakijenga personalities za watu na Jao watu wakifa wanatuachia matatizo Yale yale!!

System mbovu haiwezi msaidia Raid kujenga taifa,katiba imara itatupa Rais imara kuliko Hali ilivyo sasa!!
 
Wewe una tatizo kubwa unaweza kulinganisha muuwaji na mtu anae wapa uhuru kuongea wanacho taka.
Vipi kibaraka wa Samia, mpaka dakika hii Bado una aminj huyo Samia wako ndio Hana hulka ya uuwaji?? Chawa asiye na maono wewe?

Vipi huo uhuru unaousema uko wapi ilihali juzi kazuia maandamano ya amani?
 
Kujifunza kutokana na Makosa ndo huku sasa. Hatukutegemea Rais kufa akiwa madarakani. Makamu wa Rais huwa anateuliwa ilimradi ni mtu tu.

Sasa kama Katiba haitabadilishwa japo iseme kwamba

1. Rais akifariki madarakani uchaguzi mkuu ufanyike baada ya siku kama 90 hivi

2. Rais na Makamu wake wote wapigiwe kura siyo mmoja kupita kwa mgongo wa mwenzie

Basi tofauti na hapo tuna safari ndefu sana. Kwa Katiba ya sasa ya kurithi madaraka Makamu wa Rais anapochaguliwa lazima wazingatie haya..

1. Makamu wa Rais hatakiwi kutoka Zanzibar

2. Makamu wa Rais awe na uwezo mkubwa wa kiuongozi sawa na Rais au zaidi.

3. Rais na Makamu wake lazima wawe na Maono sawa isifike mahali mmoja amburuze mwenzake waelewane.
Siyo kuchagua Makampuni funzo liwe kuandika katiba mpya kama kweli tunahitaji mabadiliko ya kweli
 
Atauza Kila kitu huku Bara then wakati wa kusitaafu anaenda zake Zanzibar anatulia tuliii....... Kisha Zanzibar inajitenga inakuwa Nchi huru.

Ninyi huku Bara mtabaki mnapambana na hari zenu

Huyu Maza mjanja sana
Watanganyika hawalioni hili likitokea, wao wapo bize na uchawa tu kumsifia Kila anachofanya kwa sababu kawapa mwanya wa kufanya ufisadi na kulibia taifa kadri wawezavyo, Samia kashasoma akili za watanganyika kwamba ni watu wanaopenda sana wizi na shortcuts hivyo karuhusu wao waiibe hili wasimbugudhi pale anapokuwa anauza rasilimali zao kwa maslahi yake mwenyewe na Zanzibar....

Kiukweli hata mimi ningefanya hivyo kwa aina ya wanainchi waliopo nchi hii
 
Back
Top Bottom