Utawala wa Samia ni Fundisho tosha kwa Nchi Namna ya kuchagua Makamu wa Rais

Kujifunza kutokana na Makosa ndo huku sasa. Hatukutegemea Rais kufa akiwa madarakani. Makamu wa Rais huwa anateuliwa ilimradi ni mtu tu.

Sasa kama Katiba haitabadilishwa japo iseme kwamba

1. Rais akifariki madarakani uchaguzi mkuu ufanyike baada ya siku kama 90 hivi

2. Rais na Makamu wake wote wapigiwe kura siyo mmoja kupita kwa mgongo wa mwenzie

Basi tofauti na hapo tuna safari ndefu sana. Kwa Katiba ya sasa ya kurithi madaraka Makamu wa Rais anapochaguliwa lazima wazingatie haya..

1. Makamu wa Rais hatakiwi kutoka Zanzibar

2. Makamu wa Rais awe na uwezo mkubwa wa kiuongozi sawa na Rais au zaidi.

3. Rais na Makamu wake lazima wawe na Maono sawa isifike mahali mmoja amburuze mwenzake waelewane.

Ni bahati kubwa mno kumpata Rais Samia kuwa kiongozi wa nchi hii! Rais kama huyu alipatika 1985 walipompata mzee Ruksa! Unajua maana ya Mzee Ruksa? If not soma vitabu vya historia.
 
Yes aliuza loliondo huyu kaja kuuza Bandari Rubbish KABISA.
IMG-20230805-WA0005.jpg
 
Kujifunza kutokana na Makosa ndo huku sasa. Hatukutegemea Rais kufa akiwa madarakani. Makamu wa Rais huwa anateuliwa ilimradi ni mtu tu.

Sasa kama Katiba haitabadilishwa japo iseme kwamba

1. Rais akifariki madarakani uchaguzi mkuu ufanyike baada ya siku kama 90 hivi

2. Rais na Makamu wake wote wapigiwe kura siyo mmoja kupita kwa mgongo wa mwenzie

Basi tofauti na hapo tuna safari ndefu sana. Kwa Katiba ya sasa ya kurithi madaraka Makamu wa Rais anapochaguliwa lazima wazingatie haya..

1. Makamu wa Rais hatakiwi kutoka Zanzibar

2. Makamu wa Rais awe na uwezo mkubwa wa kiuongozi sawa na Rais au zaidi.

3. Rais na Makamu wake lazima wawe na Maono sawa isifike mahali mmoja amburuze mwenzake waelewane.
Hizi ndizo points za muhimu katika yote uliyoandika.

"2. Makamu wa Rais awe na uwezo mkubwa wa kiuongozi sawa na Rais au zaidi.

3. Rais na Makamu wake lazima wawe na Maono sawa isifike mahali mmoja amburuze mwenzake waelewane."

Mfumo wa sasa, kwa muktadha wa mgombea mwenza, hauna makosa.

Makosa waliyafanya Watanzania kufikiri Makamu wa Rais ni cheo cha mapambo tu na kazi za kufungua miradi, kukata tepe na kuwakilisha nchi misibani.

Makosa waliyafanya Watanzania kwa kufikiri kuwa, kwa vike hakuna rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania akiyefariki madarakani, basi jambo hilo hakiwezekani kutokea.

Tumeona limetokea.
 
[emoji1787]Mbona unaogopa..so nikipinga Nina chuki...ushapoison the well inaitwa

Mbona unakazania udini
u-dini uko wapi. ishu ya mkataba mbovu haina uhusiano na Imani ya mtu. akiri amekosea aanze upya. nafasi Bado anayo

Yesu anaokoa
 
Ni chuki tupu Raisi samia ni mzuri hata kuliko JPM, ila mwenye chuki na husda atamuona kama mbaya.
Uelewa wa Samia ni mdogo, angalia avoboronga mambo yake, isikitisha sana kuwa na watu waliodumaa akili kama wewe, unashindwa hata kujua kiongo bora awe na sifa zipi.
 
Unashida ya macho?
Matumizi ya sim na comp yanaua macho. Mie saa hizi sioni font size ya chini ya hapa, mfano maandishi yale ya kwenye vocha kwa sababu ya simu.
Sina tatizo lolote la macho lakini sipendi kusoma article iliyoandikwa kwa herufi kubwa tupu.
 
Kujifunza kutokana na Makosa ndo huku sasa. Hatukutegemea Rais kufa akiwa madarakani. Makamu wa Rais huwa anateuliwa ilimradi ni mtu tu.

Sasa kama Katiba haitabadilishwa japo iseme kwamba

1. Rais akifariki madarakani uchaguzi mkuu ufanyike baada ya siku kama 90 hivi

2. Rais na Makamu wake wote wapigiwe kura siyo mmoja kupita kwa mgongo wa mwenzie

Basi tofauti na hapo tuna safari ndefu sana. Kwa Katiba ya sasa ya kurithi madaraka Makamu wa Rais anapochaguliwa lazima wazingatie haya..

1. Makamu wa Rais hatakiwi kutoka Zanzibar

2. Makamu wa Rais awe na uwezo mkubwa wa kiuongozi sawa na Rais au zaidi.

3. Rais na Makamu wake lazima wawe na Maono sawa isifike mahali mmoja amburuze mwenzake waelewane.

Nchi haikuchagua makam wa rais, bali ccm
 
Mimi nasema tuwe tuna balance Rais Mwanaume., Makamu mwanamke. Full stop
 
Raisi au makamu wa Raisi hawawezi kuchaguliwa kiholela taasisi za usalama wa nchi lazima zihusike
Ndio zilituchagulia na JPM? Mbona hakuwa kwenye list zaidi ya kuangukia Kura kule CC ya ccm dodoma baada ya mgogoro kati ya Membe na Lowasa.

Au wanajaribu jaribu na wao.
 
Ni chuki tupu Raisi samia ni mzuri hata kuliko JPM, ila mwenye chuki na husda atamuona kama mbaya.
Kweli uelewa wako mdogo sana, pamoja na kuchemka kwake kuongoza Bado unaona mzuri, kwa kweli kwa aina hii ya watu kama wewe ni ngumu sana nchi hii kuendelea.
 
Wataka kila mtu awaze kama wewe au vip? Kachemsha wapi kama sio propaganda zenu.
 
Nawashauri mkipata pa kupiga pigeni haswa hii nchi ilipofikia ni Kila mtu achukue chake kadri alivyojaliwa hakunaga Cha haki tena utasubiri sana
 
Mimi kama mtumishi wa umma namshukuru sana huyu mama amenipandisha daraja na hapa hospital ninapofanyia kazi ameleta bilioni 1 ujenzi wa jengo la upasuaji , ujenzi wa laboratory ya kisasa na vifaa vyake namshukuru sana. Na hii amefanya nchi nzima. Sitaki kuelezea mengine watakwambia wenginserikali

Mimi kama mtumishi wa umma namshukuru sana huyu mama amenipandisha daraja na hapa hospital ninapofanyia kazi ameleta bilioni 1 ujenzi wa jengo la upasuaji , ujenzi wa laboratory ya kisasa na vifaa vyake namshukuru sana. Na hii amefanya nchi nzima. Sitaki kuelezea mengine watakwambia wengine
Serikali imetekeleza wajibu wake, hakuna upendeleo/favour
 
Back
Top Bottom