Utawala wa Samia ni Fundisho tosha kwa Nchi Namna ya kuchagua Makamu wa Rais

Kujifunza kutokana na Makosa ndo huku sasa. Hatukutegemea Rais kufa akiwa madarakani. Makamu wa Rais huwa anateuliwa ilimradi ni mtu tu.

Sasa kama Katiba haitabadilishwa japo iseme kwamba

1. Rais akifariki madarakani uchaguzi mkuu ufanyike baada ya siku kama 90 hivi

2. Rais na Makamu wake wote wapigiwe kura siyo mmoja kupita kwa mgongo wa mwenzie

Basi tofauti na hapo tuna safari ndefu sana. Kwa Katiba ya sasa ya kurithi madaraka Makamu wa Rais anapochaguliwa lazima wazingatie haya..

1. Makamu wa Rais hatakiwi kutoka Zanzibar

2. Makamu wa Rais awe na uwezo mkubwa wa kiuongozi sawa na Rais au zaidi.

3. Rais na Makamu wake lazima wawe na Maono sawa isifike mahali mmoja amburuze mwenzake waelewane.
haya ndio tunataka yawekwe kwenye katiba. imetukosti sana.
 
Wenye maslai na bandari ndio wameshupalia kampeni.
Kiukweli ni wachovu na hawawajibiki.
Kila mwaka mabilioni ya hela yanapotoa halafu tupo kimya. Binafsi hio bandari hata ikibinafsishwa sipotezi chochote.
Wewe unapoteza nini?
Kwa sababu hupotezi chochote hata ikibinafsishwa we poa tu,
We jamaa hebu waza tena.
Kwa sababu tu mabilioni yanapotea kila mwaka ndo waibinafsishe?
 
Katiba ibadilishwe,

1. Uwepo wa waziri mkuu na makamu wa raisi kwa wakati mmoja kwa nchi masikini namna hii ni upotevu wa rasilimali.

2. Raisi akifariki makamu/waziri mkuu akamate nchi na kuitisha uchaguzi mkuu ndani ya siku 90.

3. Serikali ziwe tatu, kwa muungano huu haijulikani Tanganyika iko wapi. Vyetu vinaliwa tu na wenzetu, vyao hawaruhusu vitoke.
Unataka Makamu wa Rais awe ndio huyo huyo Waziri Mkuu ili kubana matumizi kisha tena unataka Serikali ziongezwe from mbili to tatu?

Huoni hapo ni kutembea hatua moja mbele kisha kumi nyuma?
 
Kwa sababu hupotezi chochote hata ikibinafsishwa we poa tu,
We jamaa hebu waza tena.
Kwa sababu tu mabilioni yanapotea kila mwaka ndo waibinafsishe?
Kabisa, huenda tukaokoa kitu kuliko hivi.
NMB kabla ya kubinafsishwa na baada ya kubinafsishwa ni vitu viwili tofauti.
Angalia taaasisi tetu ya pusta bank yao ipo wapi? Msijitie akili wakati ikweli ipo wazi.
Bandari ikibimafsusgwa itakuwa na yija koliko hivi sasa huo ni ujweli ba unajua.
Kama ni uzalendo jwa nini gao waliokabidhiwa wasiwe wazalendo jwa vitendo kuliko sisi wa mtaani.
Mmemezesgwa propaganda zimewaingua kichwani.
Mkataba hauba kikomo sawa.
Je hizi bank, migidi mijaraba ikiisga uendesgaji utarudi kwa wazawa na zitafanya vuzuri eti?
Guy! Acha kujidanganya hakuna sekta ya uma itakayofanya vizuri kwenye mikono ya watanzania na watu weusi wa hapa Afrika haipo.
Ningekuelewa kidogo kama ungesema isibinafsishwe kwa wageni wapewe waendeshe wazawa napo utawakuta wazawa wa ASIA wabongo sisi hamna kitu maneno tu.
Sekra nyingi tu zinajikongoga waka haiitaji digrii kujua hilo.
Hapo ulipo eneo lako la jazi utakuta pako duni ila huwezi sema ukweli.
 
Kujifunza kutokana na Makosa ndo huku sasa. Hatukutegemea Rais kufa akiwa madarakani. Makamu wa Rais huwa anateuliwa ilimradi ni mtu tu.

Sasa kama Katiba haitabadilishwa japo iseme kwamba

1. Rais akifariki madarakani uchaguzi mkuu ufanyike baada ya siku kama 90 hivi

2. Rais na Makamu wake wote wapigiwe kura siyo mmoja kupita kwa mgongo wa mwenzie

Basi tofauti na hapo tuna safari ndefu sana. Kwa Katiba ya sasa ya kurithi madaraka Makamu wa Rais anapochaguliwa lazima wazingatie haya..

1. Makamu wa Rais hatakiwi kutoka Zanzibar

2. Makamu wa Rais awe na uwezo mkubwa wa kiuongozi sawa na Rais au zaidi.

3. Rais na Makamu wake lazima wawe na Maono sawa isifike mahali mmoja amburuze mwenzake waelewane.
Jjiwe alikuwa shetani muuaji ,we ni mfuasi shetani lazima umchukie Rais wasasa
 
Umeandika nini hapa, rudia tena maana hapa hata wewe ukisoma tena hutaelewa
 
Makamu wa raisi anakuwa raisi kwa kuwa walichaguliwa pamoja na raisi aliyepo madarakani.Mpumbavu wewe sukuma gang.Richard Nickson raisi wa marekani alipopigwa chini kwa kashfa ya water gate makamu wake Gerald Ford alitawala bila kuchaguliwa hadi alipokuja kupigwa chini na Jimmy Carter nikiwa naona.Wacha ushamba huyu raisi ni mvumilivu na ameliponya taifa.Swala la bandari is another debate na vifungu mnavyopigia mayowe vitabadilishwa ila tunahitaji DP world kwa jiografia ya bandari yetu kuliko kampuni nyingine.
 
Jjiwe alikuwa shetani muuaji ,we ni mfuasi shetani lazima umchukie Rais wasasa
Utawala huu kama watu kufa wamekufa wengi sana! Ila sema ka vile mnachuki na Magufuli sawa!
1.Unawafahamu wafanyakazi 2 wa ofisi ya CAG waliofia nje ya Nchi?
2.Unamfahamu mfanyakazi wa TRA aliyefariki juzi Tanga akiwa anafanya kazi zake za kiuchunguzi?
3Unafaham watu kibao tu wamepotea kama wale vijana wa Kariakoo watano?
4.Mauaji ya mfanya biashara wa madini n.k?
5.Mataji ya mtangazaji wa ITV dada mlemavu wa mkono maiti wake uliokotwa!
6.Kuonekana kwa maiti zaidi ya tano huko njombe zikiwa zometupwa porini
7.Mauaji huko Mbezi mwaka jana jamaa mmoja mwili wake kuolotwa!
8.Kufariki wa Askofu msitaafu wa Kanisa la Angalikani Mwanza na mwili wake kuonekana ukielea ziwani!
Mambo ni mengi tu ya mauji ila hamsemi kama mlivyokuwa mnasema kipindi cha Magufuli!
Wanafiki sana nyinyi pumbavu zenu!
 
Kujifunza kutokana na Makosa ndo huku sasa. Hatukutegemea Rais kufa akiwa madarakani. Makamu wa Rais huwa anateuliwa ilimradi ni mtu tu.

Sasa kama Katiba haitabadilishwa japo iseme kwamba

1. Rais akifariki madarakani uchaguzi mkuu ufanyike baada ya siku kama 90 hivi

2. Rais na Makamu wake wote wapigiwe kura siyo mmoja kupita kwa mgongo wa mwenzie

Basi tofauti na hapo tuna safari ndefu sana. Kwa Katiba ya sasa ya kurithi madaraka Makamu wa Rais anapochaguliwa lazima wazingatie haya..

1. Makamu wa Rais hatakiwi kutoka Zanzibar

2. Makamu wa Rais awe na uwezo mkubwa wa kiuongozi sawa na Rais au zaidi.

3. Rais na Makamu wake lazima wawe na Maono sawa isifike mahali mmoja amburuze mwenzake waelewane.
Umeandika ujinga mtupu
 
Kusema Rais na makamu wake wawe na. uwezo sawa ni kujidanganya wazungu wanamsemo wao "Never out shine the master" mpango sio mjinga kafanya vizur kwenye mashirika ya kimataifa na kutumia elimu yake vizuri. Kama uelewi muulize molinge sokoine na kisa Cha nyerere mpenda kutukuzwa.
 
Nadhani hitaji kubwa ni katiba,kuna mambo mengi bado hayana mwelekeo,yaani kama nchi tumekosa dira,akija raisi huyu anakuja na yake nchi i akitoka anayekuja naye anaendelea na yake nchi inajiendea like headless chicken,kiukweli katiba mpya ndo suhuhisho mambo mengi yameshapitwa na wakati,hii ni nchi ya wasomi kwa nini twenende na katiba ya 77?
Ikiwezekana cheo cha makamu wa raisi kisiwepo waziri mkuu anatosha,kuna vyeo vingi ni mzigo kwa nchi

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom