Utawala wa Samia ni Fundisho tosha kwa Nchi Namna ya kuchagua Makamu wa Rais

Utawala wa Samia ni Fundisho tosha kwa Nchi Namna ya kuchagua Makamu wa Rais

Katoa ajira nyingi kuliko alizotoa Magu 6yrs
Miundombinu madarasa vituo vya afya vimeota kama uyoga muda mfupi

Saizi chadema wanafanya mikutano enzi za magu sauti ni yeye tuu

Tarura bajet imeongezeka saizi kila kijiji kimechongewa barabara

Kifupi kama una chuki hata uambiwe vipi utapinga tuu
🤣Mbona unaogopa..so nikipinga Nina chuki...ushapoison the well inaitwa.
 
Mimi kama mtumishi wa umma namshukuru sana huyu mama amenipandisha daraja na hapa hospital ninapofanyia kazi ameleta bilioni 1 ujenzi wa jengo la upasuaji , ujenzi wa laboratory ya kisasa na vifaa vyake namshukuru sana. Na hii amefanya nchi nzima. Sitaki kuelezea mengine watakwambia wengine
mkataba wa Bandari umeaharibu kila kitu!

asipouondoa, utam cost sana,! for sure!!!!!

YESU NI BWANA NA MWOKOZI
 
Upo serious umefikia hatua ya kumfananisha. Mwamba JPM na mama samia ...... ngoja nikwambie JPM ni levo zingine kabisa
Wewe ni mjinga unaweza kulinganisha utawala wa dictator muuwaji mvamizi wa mali za watu na mama ambaye ametoa uhuru kwa kila mtu kusema anacha taka, nyie ni wapumbavu kabisa mnamatatizo ya kufikiri.
 
Mama apunguze u softness, na uvivu...awe na hulka ya kujiridhisha taarifa anazoletewa mezani wahuni sio watu wazuri wanampiga fix kwa maslahi ya matumbo yao kisha lawama zinarudi kwake
 
Wewe ni mjinga unaweza kulinganisha utawala wa dictator muuwaji mvamizi wa mali za watu na mama ambaye ametoa uhuru kwa kila mtu kusema anacha taka, nyie ni wapumbavu kabisa mnamatatizo ya kufikiri.
Acha kutukana watu. Jenga hoja
 
Hee maajabu
Mmh nyie wengi mna kasoro katika kufikiri magufuri was a worse president ever got in Tanzania, ila nyie wspumbavu ambao hamna uwezo wa kufanya analysis za kina ndo mna muona kwamba alikua mzalendo, ile ilikua shetani kubwa, fisadi jizi mtu mwenye husda na visasa tunashukuru Mungu kumchukua mapema.
 
Mimi kama mtumishi wa umma namshukuru sana huyu mama amenipandisha daraja na hapa hospital ninapofanyia kazi ameleta bilioni 1 ujenzi wa jengo la upasuaji , ujenzi wa laboratory ya kisasa na vifaa vyake namshukuru sana. Na hii amefanya nchi nzima. Sitaki kuelezea mengine watakwambia wengine
Hizo kodi zetu. Utaratibu wa fedha zetu kuziita za mama mnazingua
 
Kwa hili shimo tulilo tumbukia inabidi katiba ibadilishwe kabisa, Raisi akifariki uitishwe uchaguzi na makamu wa Raisi asitokee kwa wanywa urojo kamwe
 
Katoa ajira nyingi kuliko alizotoa Magu 6yrs
Miundombinu madarasa vituo vya afya vimeota kama uyoga muda mfupi

Saizi chadema wanafanya mikutano enzi za magu sauti ni yeye tuu

Tarura bajet imeongezeka saizi kila kijiji kimechongewa barabara

Kifupi kama una chuki hata uambiwe vipi utapinga tuu
🤣Mbona unaogopa..so nikipinga Nina chuki...ushapoison the well inaitwa
mkataba wa Bandari umeaharibu kila kitu!

asipouondoa, utam cost sana,! for sure!!!!!

YESU NI BWANA NA MWOKOZI
Mbona unakazania udini
 
Kujifunza kutokana na Makosa ndo huku sasa. Hatukutegemea Rais kufa akiwa madarakani. Makamu wa Rais huwa anateuliwa ilimradi ni mtu tu.

Sasa kama Katiba haitabadilishwa japo iseme kwamba

1. Rais akifariki madarakani uchaguzi mkuu ufanyike baada ya siku kama 90 hivi

2. Rais na Makamu wake wote wapigiwe kura siyo mmoja kupita kwa mgongo wa mwenzie

Basi tofauti na hapo tuna safari ndefu sana. Kwa Katiba ya sasa ya kurithi madaraka Makamu wa Rais anapochaguliwa lazima wazingatie haya..

1. Makamu wa Rais hatakiwi kutoka Zanzibar

2. Makamu wa Rais awe na uwezo mkubwa wa kiuongozi sawa na Rais au zaidi.

3. Rais na Makamu wake lazima wawe na Maono sawa isifike mahali mmoja amburuze mwenzake waelewane.
Mbona amewazidi wale wapayukaji wote waliopita
 
Back
Top Bottom