Kujifunza kutokana na Makosa ndo huku sasa. Hatukutegemea Rais kufa akiwa madarakani. Makamu wa Rais huwa anateuliwa ilimradi ni mtu tu.
Sasa kama Katiba haitabadilishwa japo iseme kwamba
1. Rais akifariki madarakani uchaguzi mkuu ufanyike baada ya siku kama 90 hivi
2. Rais na Makamu wake wote wapigiwe kura siyo mmoja kupita kwa mgongo wa mwenzie
Basi tofauti na hapo tuna safari ndefu sana. Kwa Katiba ya sasa ya kurithi madaraka Makamu wa Rais anapochaguliwa lazima wazingatie haya..
1. Makamu wa Rais hatakiwi kutoka Zanzibar
2. Makamu wa Rais awe na uwezo mkubwa wa kiuongozi sawa na Rais au zaidi.
3. Rais na Makamu wake lazima wawe na Maono sawa isifike mahali mmoja amburuze mwenzake waelewane.
Huyo JPM ndio alikuwa anakubarika na wote?
AFRIKA TUNAJAZAGA NAFASI TU YA KILE KITI. HUKO MAGHARIBI WANAPINDUANA TU.
MNAMUONEA KWA SABABU NI MWANAMKE ?
HAO WALIOPITA WAMEFANYA NINI CHA MFANO WA KUTAJWA. HAKUNA SEKTA HATA MOJA ILIOJITOSHELEZA NA KUWA MFANO NDANI YA MIAKA 60.
HATA UKIWEKWA WEWE PALE HAKUNA CHA TOFAUTI UTAKACHOFANYA.
KITILA MKUMBO ALIKUWA MPINGAJI AKATEULIWA AWE WAZIRI WA VIWANDA, JE NCHI NI YA VIWANDA SASA HIVI?
KAA UJUE NCHI HAIJENGWI NA RAISI BALI WANANCHI.
KENYA WAMEBADILI KATIBA MARA NGAPI MBONA WANAPOPOANA MAWE TU?
SHIDA IPO KWENYE VICHWA VYA WATANZANIA WALA USIMUONEE RAISI. ATAKUJA RAISI MWINGINE MAMBO YATAKUWA HIVI HIVI MPAKA MINDSET ZIBADIRIKE.
KWA NINI MNAAMINI KTK MTU NYIE?
WEWE UMEFANYA NINI KTK ENEO LAKO, AU UNAONA MAPUNGUFU YA WENGINE TU.
SIKUPINGI KWA SABABU NI MIMI NI CCM SINA CHAMA.