Sawa mkuu, napotea. Chai umekunywa lakini..? Kama hujanywa, weka namba pm nikuwekee kakitu upunguze hasira 😊Sasa kama wewe siyo Mtanzania kinakuuma nini? Potea pimbi wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu, napotea. Chai umekunywa lakini..? Kama hujanywa, weka namba pm nikuwekee kakitu upunguze hasira 😊Sasa kama wewe siyo Mtanzania kinakuuma nini? Potea pimbi wewe
✅Kujifunza kutokana na Makosa ndo huku sasa. Hatukutegemea Rais kufa akiwa madarakani. Makamu wa Rais huwa anateuliwa ilimradi ni mtu tu.
Sasa kama Katiba haitabadilishwa japo iseme kwamba
1. Rais akifariki madarakani uchaguzi mkuu ufanyike baada ya siku kama 90 hivi
2. Rais na Makamu wake wote wapigiwe kura siyo mmoja kupita kwa mgongo wa mwenzie
Basi tofauti na hapo tuna safari ndefu sana. Kwa Katiba ya sasa ya kurithi madaraka Makamu wa Rais anapochaguliwa lazima wazingatie haya..
1. Makamu wa Rais hatakiwi kutoka Zanzibar
2. Makamu wa Rais awe na uwezo mkubwa wa kiuongozi sawa na Rais au zaidi.
3. Rais na Makamu wake lazima wawe na Maono sawa isifike mahali mmoja amburuze mwenzake waelewane.
🤣🤣🤣🤣Sawa mkuu, napotea. Chai umekunywa lakini..? Kama hujanywa, weka namba pm nikuwekee kakitu upunguze hasira 😊
Samia mzuri kuliko JPM?Ni chuki tupu Raisi samia ni mzuri hata kuliko JPM, ila mwenye chuki na husda atamuona kama mbaya.
Wewe una tatizo kubwa unaweza kulinganisha muuwaji na mtu anae wapa uhuru kuongea wanacho taka.Samia mzuri kuliko JPM?
Nimekutukana sana we jamaa, yani matusi yote
Kwa hiyo Samia ni mzuri kuliko JPM kwa sababu anawapa watu uhuru wa kuongea wanachotaka?Wewe una tatizo kubwa unaweza kulinganisha muuwaji na mtu anae wapa uhuru kuongea wanacho taka.
Freedom ni muhimu kuliko vyote asikudanganye, pasingekua na uhuru na uwazi/ transparency hata huo mkataba usinge ujua au kuujadiliKwa hiyo Samia ni mzuri kuliko JPM kwa sababu anawapa watu uhuru wa kuongea wanachotaka?
Konyagi uliyokunywa haijaingia vizuri, kaongeze tena kama 5 hivi utakaa sawa mkuu!Ni chuki tupu Raisi samia ni mzuri hata kuliko JPM, ila mwenye chuki na husda atamuona kama mbaya.
No 2 haiwezekani hakunaga Raisi atachagua makamu smart kumzidi.
Lazima awe wa ndio
Mkataba umevujishwa mzee usifikiri yeye ndo kaamua tuuone. We huoni watu waliambiwa watoe maoni wakati yeye tayari ameshatia saini? Tanzania haijawahi kuwa na rais wa ovyo kama wa awamu hii,..Freedom ni muhimu kuliko vyote asikudanganye, pasingekua na uhuru na uwazi/ transparency hata huo mkataba usinge ujua au kuujadili
Katiba mpya cheo hicho kinafutwa. Tunakuwana Rais wa Muungano, Rais wa Tanganyika na Rais wa Zanzibar.Kujifunza kutokana na Makosa ndo huku sasa. Hatukutegemea Rais kufa akiwa madarakani. Makamu wa Rais huwa anateuliwa ilimradi ni mtu tu.
Sasa kama Katiba haitabadilishwa japo iseme kwamba
1. Rais akifariki madarakani uchaguzi mkuu ufanyike baada ya siku kama 90 hivi
2. Rais na Makamu wake wote wapigiwe kura siyo mmoja kupita kwa mgongo wa mwenzie
Basi tofauti na hapo tuna safari ndefu sana. Kwa Katiba ya sasa ya kurithi madaraka Makamu wa Rais anapochaguliwa lazima wazingatie haya..
1. Makamu wa Rais hatakiwi kutoka Zanzibar
2. Makamu wa Rais awe na uwezo mkubwa wa kiuongozi sawa na Rais au zaidi.
3. Rais na Makamu wake lazima wawe na Maono sawa isifike mahali mmoja amburuze mwenzake waelewane.
Ok!mkuu. Shida herufi ndogo zapandana naandika ugolo.Umeandika mambo ya maana sana ila next time usiandike kwa capital letters tupu zinaumiza macho kusoma.
Wenye maslai na bandari ndio wameshupalia kampeni.Mkataba umevujishwa mzee usifikiri yeye ndo kaamua tuuone. We huoni watu waliambiwa watoe maoni wakati yeye tayari ameshatia saini? Tanzania haijawahi kuwa na rais wa ovyo kama wa awamu hii,..
Hicho kitabu siwezi kusoma. Hata article yako nilijitahidi kuimaliza kwa sababu uliandika mambo ya maana otherwise ningepita kando😁😁Ok!mkuu. Shida herufi ndogo zapandana naandika ugolo.
Vile vile nimeandika kwa msisitizo.Kuna kitabu kimoja nina kisoma kimeandikwa kwa herufi kubwa mwanzo mwisho, japo ni cha zamani, kwa hio si makosa.
Namba 1 tu ndio haina mashiko, nakubaliana na nyingine.Kujifunza kutokana na Makosa ndo huku sasa. Hatukutegemea Rais kufa akiwa madarakani. Makamu wa Rais huwa anateuliwa ilimradi ni mtu tu.
Sasa kama Katiba haitabadilishwa japo iseme kwamba
1. Rais akifariki madarakani uchaguzi mkuu ufanyike baada ya siku kama 90 hivi
2. Rais na Makamu wake wote wapigiwe kura siyo mmoja kupita kwa mgongo wa mwenzie
Basi tofauti na hapo tuna safari ndefu sana. Kwa Katiba ya sasa ya kurithi madaraka Makamu wa Rais anapochaguliwa lazima wazingatie haya..
1. Makamu wa Rais hatakiwi kutoka Zanzibar
2. Makamu wa Rais awe na uwezo mkubwa wa kiuongozi sawa na Rais au zaidi.
3. Rais na Makamu wake lazima wawe na Maono sawa isifike mahali mmoja amburuze mwenzake waelewane.
Tuseme wote ni wabaya.Ni chuki tupu Raisi samia ni mzuri hata kuliko JPM, ila mwenye chuki na husda atamuona kama mbaya.
Unashida ya macho?Hicho kitabu siwezi kusoma. Hata article yako nilijitahidi kuimaliza kwa sababu uliandika mambo ya maana otherwise ningepita kando😁😁