Utawala wa Samia ni Fundisho tosha kwa Nchi Namna ya kuchagua Makamu wa Rais

Kujifunza kutokana na Makosa ndo huku sasa. Hatukutegemea Rais kufa akiwa madarakani. Makamu wa Rais huwa anateuliwa ilimradi ni mtu tu.

Sasa kama Katiba haitabadilishwa japo iseme kwamba

1. Rais akifariki madarakani uchaguzi mkuu ufanyike baada ya siku kama 90 hivi

2. Rais na Makamu wake wote wapigiwe kura siyo mmoja kupita kwa mgongo wa mwenzie

Basi tofauti na hapo tuna safari ndefu sana. Kwa Katiba ya sasa ya kurithi madaraka Makamu wa Rais anapochaguliwa lazima wazingatie haya..

1. Makamu wa Rais hatakiwi kutoka Zanzibar

2. Makamu wa Rais awe na uwezo mkubwa wa kiuongozi sawa na Rais au zaidi.

3. Rais na Makamu wake lazima wawe na Maono sawa isifike mahali mmoja amburuze mwenzake waelewane.
 
Wewe una tatizo kubwa unaweza kulinganisha muuwaji na mtu anae wapa uhuru kuongea wanacho taka.
Kwa hiyo Samia ni mzuri kuliko JPM kwa sababu anawapa watu uhuru wa kuongea wanachotaka?
 
Atauza Kila kitu huku Bara then wakati wa kusitaafu anaenda zake Zanzibar anatulia tuliii....... Kisha Zanzibar inajitenga inakuwa Nchi huru.

Ninyi huku Bara mtabaki mnapambana na hari zenu

Huyu Maza mjanja sana
 
Tena hata ingelikua yeye, Binadam wengi hawapendi criticism na mtu smart itafika mahala vitu vingine atasema No,hapoo ndo balaa kubwaa linaibuka....
No 2 haiwezekani hakunaga Raisi atachagua makamu smart kumzidi.
Lazima awe wa ndio
 
Freedom ni muhimu kuliko vyote asikudanganye, pasingekua na uhuru na uwazi/ transparency hata huo mkataba usinge ujua au kuujadili
Mkataba umevujishwa mzee usifikiri yeye ndo kaamua tuuone. We huoni watu waliambiwa watoe maoni wakati yeye tayari ameshatia saini? Tanzania haijawahi kuwa na rais wa ovyo kama wa awamu hii,..
 
Kujifunza kutokana na Makosa ndo huku sasa. Hatukutegemea Rais kufa akiwa madarakani. Makamu wa Rais huwa anateuliwa ilimradi ni mtu tu.

Sasa kama Katiba haitabadilishwa japo iseme kwamba

1. Rais akifariki madarakani uchaguzi mkuu ufanyike baada ya siku kama 90 hivi

2. Rais na Makamu wake wote wapigiwe kura siyo mmoja kupita kwa mgongo wa mwenzie

Basi tofauti na hapo tuna safari ndefu sana. Kwa Katiba ya sasa ya kurithi madaraka Makamu wa Rais anapochaguliwa lazima wazingatie haya..

1. Makamu wa Rais hatakiwi kutoka Zanzibar

2. Makamu wa Rais awe na uwezo mkubwa wa kiuongozi sawa na Rais au zaidi.

3. Rais na Makamu wake lazima wawe na Maono sawa isifike mahali mmoja amburuze mwenzake waelewane.
Katiba mpya cheo hicho kinafutwa. Tunakuwana Rais wa Muungano, Rais wa Tanganyika na Rais wa Zanzibar.
 
Umeandika mambo ya maana sana ila next time usiandike kwa capital letters tupu zinaumiza macho kusoma.
Ok!mkuu. Shida herufi ndogo zapandana naandika ugolo.
Vile vile nimeandika kwa msisitizo.Kuna kitabu kimoja nina kisoma kimeandikwa kwa herufi kubwa mwanzo mwisho, japo ni cha zamani, kwa hio si makosa.
 
Mkataba umevujishwa mzee usifikiri yeye ndo kaamua tuuone. We huoni watu waliambiwa watoe maoni wakati yeye tayari ameshatia saini? Tanzania haijawahi kuwa na rais wa ovyo kama wa awamu hii,..
Wenye maslai na bandari ndio wameshupalia kampeni.
Kiukweli ni wachovu na hawawajibiki.
Kila mwaka mabilioni ya hela yanapotoa halafu tupo kimya. Binafsi hio bandari hata ikibinafsishwa sipotezi chochote.
Wewe unapoteza nini?
 
Ok!mkuu. Shida herufi ndogo zapandana naandika ugolo.
Vile vile nimeandika kwa msisitizo.Kuna kitabu kimoja nina kisoma kimeandikwa kwa herufi kubwa mwanzo mwisho, japo ni cha zamani, kwa hio si makosa.
Hicho kitabu siwezi kusoma. Hata article yako nilijitahidi kuimaliza kwa sababu uliandika mambo ya maana otherwise ningepita kando😁😁
 
Kujifunza kutokana na Makosa ndo huku sasa. Hatukutegemea Rais kufa akiwa madarakani. Makamu wa Rais huwa anateuliwa ilimradi ni mtu tu.

Sasa kama Katiba haitabadilishwa japo iseme kwamba

1. Rais akifariki madarakani uchaguzi mkuu ufanyike baada ya siku kama 90 hivi

2. Rais na Makamu wake wote wapigiwe kura siyo mmoja kupita kwa mgongo wa mwenzie

Basi tofauti na hapo tuna safari ndefu sana. Kwa Katiba ya sasa ya kurithi madaraka Makamu wa Rais anapochaguliwa lazima wazingatie haya..

1. Makamu wa Rais hatakiwi kutoka Zanzibar

2. Makamu wa Rais awe na uwezo mkubwa wa kiuongozi sawa na Rais au zaidi.

3. Rais na Makamu wake lazima wawe na Maono sawa isifike mahali mmoja amburuze mwenzake waelewane.
Namba 1 tu ndio haina mashiko, nakubaliana na nyingine.
 
Hicho kitabu siwezi kusoma. Hata article yako nilijitahidi kuimaliza kwa sababu uliandika mambo ya maana otherwise ningepita kando😁😁
Unashida ya macho?
Matumizi ya sim na comp yanaua macho. Mie saa hizi sioni font size ya chini ya hapa, mfano maandishi yale ya kwenye vocha kwa sababu ya simu.
 
Back
Top Bottom