RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 1,472
- 2,766
Majamaa yalivyo machawa hayawezi badiliHapo suluhisho ni kuchenji katiba ya chama ili rais wa nchi hasiwe m/kiti wa chama.
Vipi kibaraka wa Samia, mpaka dakika hii Bado una aminj huyo Samia wako ndio Hana hulka ya uuwaji?? Chawa asiye na maono wewe?Wewe una tatizo kubwa unaweza kulinganisha muuwaji na mtu anae wapa uhuru kuongea wanacho taka.
Samia gani huyo amewepa watu huru???Kwa hiyo Samia ni mzuri kuliko JPM kwa sababu anawapa watu uhuru wa kuongea wanachotaka?
Siyo kuchagua Makampuni funzo liwe kuandika katiba mpya kama kweli tunahitaji mabadiliko ya kweliKujifunza kutokana na Makosa ndo huku sasa. Hatukutegemea Rais kufa akiwa madarakani. Makamu wa Rais huwa anateuliwa ilimradi ni mtu tu.
Sasa kama Katiba haitabadilishwa japo iseme kwamba
1. Rais akifariki madarakani uchaguzi mkuu ufanyike baada ya siku kama 90 hivi
2. Rais na Makamu wake wote wapigiwe kura siyo mmoja kupita kwa mgongo wa mwenzie
Basi tofauti na hapo tuna safari ndefu sana. Kwa Katiba ya sasa ya kurithi madaraka Makamu wa Rais anapochaguliwa lazima wazingatie haya..
1. Makamu wa Rais hatakiwi kutoka Zanzibar
2. Makamu wa Rais awe na uwezo mkubwa wa kiuongozi sawa na Rais au zaidi.
3. Rais na Makamu wake lazima wawe na Maono sawa isifike mahali mmoja amburuze mwenzake waelewane.
Watanganyika hawalioni hili likitokea, wao wapo bize na uchawa tu kumsifia Kila anachofanya kwa sababu kawapa mwanya wa kufanya ufisadi na kulibia taifa kadri wawezavyo, Samia kashasoma akili za watanganyika kwamba ni watu wanaopenda sana wizi na shortcuts hivyo karuhusu wao waiibe hili wasimbugudhi pale anapokuwa anauza rasilimali zao kwa maslahi yake mwenyewe na Zanzibar....Atauza Kila kitu huku Bara then wakati wa kusitaafu anaenda zake Zanzibar anatulia tuliii....... Kisha Zanzibar inajitenga inakuwa Nchi huru.
Ninyi huku Bara mtabaki mnapambana na hari zenu
Huyu Maza mjanja sana
Kwenye uzi kuna sehemu jamaa kaonesha kwamba mama sio mzuri? Hebu soma tenaNi chuki tupu Raisi samia ni mzuri hata kuliko JPM, ila mwenye chuki na husda atamuona kama mbaya.