Utegemezi na Umasikini kwa nchi za Africa, Je tatizo lilianzia kwenye mapokeo ya dini na Imani?

Utegemezi na Umasikini kwa nchi za Africa, Je tatizo lilianzia kwenye mapokeo ya dini na Imani?

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Ukiangalia waarabu majority identity yao ni Uislam na inawaunganisha.

Ukiangalia wazungu, majority ni Christianity, ni kiunganishi cha umoja wao.

Wa China wana imani zao ambazo ndio kitambulisho chao. Wahindi majority wanaunganishwa na imani zao.

Je ni ipi identity ya Muafrica? Ni ipi imani ya mtu mweusi?

Kwa mfano, Ukirudi nyuma miaka 170 kutoka sasa, Tanganyika na Zanzibar hakukuwa na Uislam wala Ukiristu, tulikuwa na identity yetu, Je ni ipi hiyo?

Jesus was never for Africans, and Muhammad Ibn Abdillah was never for Africans. We had our own prophets

Tatizo la Utegemezi na Umasikini kwa Tanzania na Africa lilianzia kwenye DENIAL of Identity, ridiculing our prophets, pamoja na mapokeo ya imani za kigeni zilizopelekea Divide and Rule. Leo hii muafrica wa kiislam na wa ki Christian , deep down hawawezi kujiona ni ndugu, hata salamu zao sio kiunganishi chao. Kila mmoja anamuona mwezie amepotea.

Denial of Identity and lost of our faith ikapelekea sisi kuandikiwa our own history…… imagine mtu akuandikie historia ya maisha yako then akuhadithie….hiki ndio chanzo cha umasikini na utegemezi Africa.

Ili kutatua TATIZO la UTEGEMEZI na UMASIKINI, mtu mweusi ni lazima arudi nyuma na aitafute Identity yake na imani yake ya kweli then aiandike upya histori yake…otherwise, it is a joke kuamini kwamba some days Africa itakuja kusimama na kuendelea…. It never has and Never will.
The world was created with resources distributed equally and designed for interdependence.Africa is the most blessed with abundant natural wealth., then what went wrong?

UTEGEMEZI na UMASIKINI kwa Africa ni laana ya asili iliyotokana na Denial of Identity and faith full stop

Dr Megalodon, PhD Candidate
WHO Regional Office,
Rue 52, Ottawa
Canada

labda usichokielewa ni kwamba hata wazungu walikuwa pagan pia kama vile sisi waafrika kabla ya Christianization hivyo siyo kweli kwamba Ukristo ni wa wa wazungu ingawaje ni kweli Mungu aliwatumia Wamishionari kuleta Christianity ambao walitokea tu kuwa wazungu, the oldest Christians ni Waethiopia ambao wanaishi bara la afrika tena ni karibia jirani zetu, hata kwenye Biblia Ethiopia imetajwa Abyssinia.

hivyo tanzagiza ni masikini kwa sababu, haijawahi kuwa chistianized by 100%, wazungu wameendelea kwa sababu waliiuchukuwa Ukristo kwa 100% na kuacha mila zao za jadi za kichawi, kuna miji USA na Ulaya ilikuwa inaishi kwa kufwata Amri 10 za Mungu wali practice kabisa na kuziishi na ndicho kilichowafikisha hapo.

look at the brightside, kama tanzagiza ingekuwa christianized 100% ina maana tungeziishi Amri 10 za Mungu, embu ziorodheshe halafu uone kama tungezifwata kama Christians leo hii tungekuwa wapi in terms of human development?

tatizo la tanzagiza ni kwamba hatujamkubali Kristo kwa 100% ni nusu nusu, na hapo ndipo shida kubwa ilipo btw sehemu ambazo Ukristo angalau umeshika vizuri kama Mkoa wa KLM wako mbele sana in terms of human development kulinganisha na wamila mila na jadi, angalia wamasai wanafwata mila 100% wako wapi kimaendeleo? sidhani kama ungependa kuishi kama wamasai porini kwenye manyata ukichunga ng’ombe.

hivyo tanzagiza inahitaji kuwa Christianized by 100% na kuuishi
Ukristo vinginevyo mateso, dhuluma, ukandamizaji na unfair treatment kwa waliodhaifu havitakwisha …
 
labda usichokielewa ni kwamba hata wazungu walikuwa pagan pia kama vile sisi waafrika kabla ya Christianization hivyo siyo kweli kwamba Ukristo ni wa wa wazungu ingawaje ni kweli Mungu aliwatumia Wamishionari kuleta Christianity ambao walitokea tu kuwa wazungu, the oldest Christians ni Waethiopia ambao wanaishi bara la afrika tena ni karibia jirani zetu, hata kwenye Biblia Ethiopia imetajwa Abyssinia.

hivyo tanzagiza ni masikini kwa sababu, haijawahi kuwa chistianized by 100%, wazungu wameendelea kwa sababu waliiuchukuwa Ukristo kwa 100% na kuacha mila zao za jadi za kichawi, kuna miji USA na Ulaya ilikuwa inaishi kwa kufwata Amri 10 za Mungu wali practice kabisa na kuziishi na ndicho kilichowafikisha hapo.

look at the brightside, kama tanzagiza ingekuwa christianized 100% ina maana tungeziishi Amri 10 za Mungu, embu ziorodheshe halafu uone kama tungezifwata kama Christians leo hii tungekuwa wapi in terms of human development?

tatizo la tanzagiza ni kwamba hatujamkubali Kristo kwa 100% ni nusu nusu, na hapo ndipo shida kubwa ilipo btw sehemu ambazo Ukristo angalau umeshika vizuri kama Mkoa wa KLM wako mbele sana in terms of human development kulinganisha na wamila mila na jadi, angalia wamasai wanafwata mila 100% wako wapi kimaendeleo? sidhani kama ungependa kuishi kama wamasai porini kwenye mayata ukichunga ng’ombe.

hivyo tanzagiza inahitaji kuwa Christianized by 100% na kuuishi
Ukristo vinginevyo mateso, dhuluma, ukandamizaji na unfair treatment kwa waliodhaifu havitakwisha …
Mungu ndio aliwatuma wamisionary kuleta Christianity in Africa ; ?
 
Jiulize kwa mfano kabla ya uhuru wakoloni wangeondoka na kila kitu chao walichokijenga Africa yaani kubomoa kila miundombinu ya miji majengo madaraja barabara viwanda mashamba mashule nk ili waafrika tuanze upya je tungeweza kujijenga?
 
Waasisi wa mfumo wa maendeleo duniani ni Wayahudi rangi zote zinaiga wao.
Tafsiri yetu waafrika kuhusu maendeleo kabla wageni ilikuwa ni kumiliki wingi wa mifugo,mashamba, familia na sio kwa tafsiri hii ya sasa ya maendeleo yaani viwanda, barabara, technology nk
 
Maendeleo ya nchi uletwa na mapinduzi ya fikra za wananchi kuhusu maendeleo angalau 70% ya wananchi wawe na fikra za maendeleo.
Na fikra ujengwa kwa kuona na kusikia je vijana wetu wanatunza nini kwenye fikra zao toka asubuhi hadi usiku jibu ni ushabiki wa mipira,tamthilia,miziki ya kipumbavu inayoua fikra nk.
Hawawezi kushindana kubadili fursa kuchochea maendeleo.
 
We jamaa ndiyo zero kabisa , hiyo elimu yako umetoa wapi ? Kama unataka kuwa mwafika halisi basi tujitoe kweny mfumo wa pesa basi hatutakuwa tegemezi ...Akili zako ni zao la hao hao .

Dini inahusika vip hapa ? kama sio mawazo ya kukariri ...Dini ndiyo imekuunganisha wewe na hao wazungu na waarabu ....Kama kila mtu akirudi kweny identity yake basi hata wazungu walikuwa na idenity yao ...kwa muda unavyoenda basi hakuna mtu mwenye identity kila siku maisha yanabadilika .

Miaka yote msiokuwa na dini ni watu wapumbavu kabisa , mnatafuta sababu ya kushindwa kwenu na kuhusisha dini ...Kwa maelezo yako umejaa ubinafsi tena unaishi kweny nchi ya watu kama mtumwa ...Hakuna kitu cha kutufundisha mtumwa mkubwa wewe !

Miaka 200 nyuma watanzania walikuwa bado wanakula nyama mbichi? Ulichoandika na utambulisho wako unaonesha uwezo halisi wa kukariri....Leo ungeishi huko kwa wtu kama mtumwa , ngoja mrudishwe kwenu kwanza mpate akili ...Trump rudisha wakimbizi hao .​
 
Dini imekuja kutugawa….. that is why Africa does not speak same development

Tafuta udentity yako
 
Lini Africa imewahi kuwa na maendeleo kabla ya ujio wa wageni Africa
Huo ndio upumbavu wenyewe huo.

Umelishwa matango pori hata pa kuanzia kutafuta taarifa hujui. Unaleta dharau na utani.

Hiyo Europe na America bila ya Waafrika wasingekuwa hapo walipo, nadhani wote wangeshakuwa wamekufa na magonjwa na vita.

Unajisikiaje? Hivi hata unajua maendeleo ni nn?
 
Dini imekuja kutugawa….. that is why Africa does not speak same development

Tafuta udentity yako
Ndiyo maana nimekuambia wewe ni zero ,kamuulize mkubwa wako ...Tanzania kuna makabila mangapi ? kila kabila lina mfumo wao ..chini ya dini leo kuna ndoa ya mnyakyusa na mchaga , huko nyuma hakujakuwa na kitu kama hicho ...Huu ustaarabu kabla ya wakoloni kila mtu ilikuwa anaishi kwao .

Huwezi kuleta maana kweny hoja yako kwa sababu unaweza kushikwa hata na mtoto mdogo , kabla ya ustaarabu huu ilikuwa makabila tofauti hakuna ndoa hapo wala kuishi pamoja , rejea jamii za wafugaji na wakulima mpaka leo ...Hao wachaga na wapare ilikuwa hawawezi kukaa sehemu moja ...Wachaga wa sehemu tofauti ilikuwa ngoma haziivi ; Mrombo na mkiboshi ni watu tofauti miaka hiyo ila sasa washirikiana bila hiyana .

Vijana wa sasa hwarithi ugomvi wa kikabila ...Yaani kama hivyo hata wewe ungekuwa kwenu porini huko hata mswaki hampigi ...

Point yako ni useless , phd ya mchongo ...
 
Dini imekuja kutugawa….. that is why Africa does not speak same development

Tafuta udentity yako
Unapuuza mambo mengi sana. Na Uzi wako umelenga kufanya whitewashing

What is Development?
 
Jiulize kwa mfano kabla ya uhuru wakoloni wangeondoka na kila kitu chao walichokijenga Africa yaani kubomoa kila miundombinu ya miji majengo madaraja barabara viwanda mashamba mashule nk ili waafrika tuanze upya je tungeweza kujijenga?
Wacha upotoshaji. Africa ilikuwa na miundombinu kabla ya hawa mabeberu hawajafika. Kati ya mambo ya kwanza waliyofanya ni kubomoa kila kitu cha mwafrika. Walishindwa misri tu kubomoa piramidi, hatahivyo walichoma mpaka maktaba kubwa ambayo haijawahi kutokea Duniani, in comparison, labda kwa mbali, US kongress library zaidi ya hapo hakuna.

ni bora wangeondoka na kila kitu.
 
Back
Top Bottom