Utegemezi na Umasikini kwa nchi za Africa, Je tatizo lilianzia kwenye mapokeo ya dini na Imani?

Utegemezi na Umasikini kwa nchi za Africa, Je tatizo lilianzia kwenye mapokeo ya dini na Imani?

unajua kwanza kwa nini hata tuliuzwa utumwa? sisi ndiyo binadamu pekee tuliokuwa enslaved in the last 500 years, why? au unafikiri tungekuwa na culture superior tungeshikwa utumwa na kuuzwa sokoni?
Wewe unafikiri hizo dini ulizon'gan'gania uliletewa kwa bahati mbaya?!,jitafute ujijue mjinga mmoja wewe unaeshobokea mila za watu na kujiona mjanja,ptuuu
 
Wewe unafikiri hizo dini ulizon'gan'gania uliletewa kwa bahati mbaya?!,jitafute ujijue mjinga mmoja wewe unaeshobokea mila za watu na kujiona mjanja,ptuuu

huku mkiwadangamya waafrika wabakie na mamila mila jadi huku ninyi mnapeleka watoto wenu nje ulaya kujifunza kwa wazungu, mkitoka huko mnawaambia watoto wa kimasai waendelee kuvaa shuka kudumisha mila, lkn ninyi mnaishi Christian countries …
1738871191077.jpeg
 
Kwakuwa umeongea kiubaguzi,uislamu ndo unaweza kutupeleka katika maendeleo ya kweli,ukifuatwa kiukamilifu,ukifuatilia kwa kiasi fulani kama si kikubwa,uislamu unaendana na mila za kiafrika,fuatilia utaona.
Ingekuwa ni kweli uislam unawapeleka watu katika maendeleo basi top ten ya nchi tajiri duniani zingekuwa nchi za kiislam, zanzibar ingekuwa tajiri sana, hali kadhalika somalia, mombasa ya kenya ingekuwa tajiri kuliko sehemu yoyote ya kenya.
 
Wewe ni mtupu kichwani hamna kitu,nyie ndio watumwa wenyewe sasa,eti dini imekuja kutufanya tuwe wamoja?!,mkristo na muislam wanaelewana?,wewe muafrika muislam upo tayar kumbagua ndugu yako mkristo na kujinasibisha na muarabu kisa dini tuu
We ndiyo mpumbavu namba moja , kulikuwa na makabila zaidi ya 100 haya yote watu walikuwa hawaingiliani hata kukaa pamoja ....Utasema nn hapo ? Acha ujinga angalau makatoliki wa kaskazini anaweza kufunga ndoa na mnyakyusa , angalia hapo halafu fananisha na huko nyuma .

Unaongelea ubaguzi kwa kigezo cha dini tu , kuna ubaguzi wa kikanda , kimakabila , ubaguzi wa kielimu , ubaguzi wa kipato (maskini vs matajri ) , timu za mpira ( simba vs yanga ) ...Hayo yote huoni unaona dini tu kenge wewe?
 
Wewe ni mtupu kichwani hamna kitu,nyie ndio watumwa wenyewe sasa,eti dini imekuja kutufanya tuwe wamoja?!,mkristo na muislam wanaelewana?,wewe muafrika muislam upo tayar kumbagua ndugu yako mkristo na kujinasibisha na muarabu kisa dini tuu
We mjinga ni mbaguzi hata wwe unataka kuonekana mwema inawezekana haa ndugu zako unawabagua na mentality ya kitumwa kukimbia kwenu ...Unaongelea ubaguzi upi ? nan amekuambia dini imelazimisha kumbagua mwingine ?
 
But Uislam umewaunganisha waarabu by 95%
Ila waliacha imani zao za asili za mababu zao, sasa wewe unataka waafrika turudi kwenye imani zetu za asili ambazo haujaeleza ni imani zipi hizo ambazo zilituunganisha waafrika kabla ya hizi dini?

Kuna mtu kakwambia kuwa kupitia hizi dini watu wa makabila tofauti huoana na kuishi pamoja, na kuna mengine mengi tu ambayo watu huungana pamoja kwa sababu ya hizi dini.
 
Dini zinadumaza akili
za waafrica weng
kama mpaka leo karne ya 21 anategemea miujiza ya utajiri kwa nabii fulani ndo atoboe
unategemea nin!
Unataka kusema waafrika wengi hawafanyi kazi wanategemea miujiza?
 
Hoja dhaifu l

Hoja dhaifu 🚮 sana na inaonyesha ni jinsi gan huko kichwani umejaza ujinga unaoitwa dini,hutaki kukubali kabisa kuwa ukristo na uislam sio imani za mwafrika
Hakuna imani yenye asili na jamii ya watu, hao waarabu tu kabla ya uislamu mababu zao walikuwa na imani zao zengine ila leo tunaona uislamu ndio imani ya waarabu.
 
Dini za kimapokeo zimekuwa na athari kubwa katika ustawi wa mwafrika.Kwa kuwa wao walikuwa mbele kimaendeleo ilikuwa rahisi kutuvuta kwa kupewa mavazi na kubatizwa na kubadili ustaarabu na kuwa mzungu mweusi.Hii ilipelekea kuitwa washenzi wale walioshikiria ustarabu wa mwafrika.Mzungu mweusi naye alimtukuza mzungu kama mungu wake na hivyo kudumaa kifikira.Vivo hivyo waarabu.Mparanganyiko huu mpaka leo unaendeleza kuwategemea wakoloni kama chimbuko la ustawi wa mwafrika.Je wajua ya kuwa kabla ya miaka 2500KK mwafrika alikuwa mkoloni wa hizo jamii nyingine?Wadhani mwafrika hakuwa na imani?Historia haithibitishi ustaarabu wa mungu mmoja bali kila jamii ina misingi yake ya imani,kutawaliwa kulitengeneza hitaji la mungu wa serikali ambaye sasa katudumaza kabisa kifikira na hivyo kuendelea kuwa watumwa wa wakoloni wetu.Leo hatuoni haya kuwafunda wana katika utumwa wa fikira,tutajikomboa kweli?Ukizinduka kutoka usingizi huu moja kwa moja wewe waonekana mwovu katika jamii,ITOSHE TU KWA LEO.
 
laana ya asili iliyotokana na Denial of Identity and faith full stop

Turudi kwenye asili yetu kama Dr. J.J Mwaka anayoelezea kwa undani ili mafanikio yaje :


View: https://m.youtube.com/watch?v=_vtot0KhQj4
From buying influence through witchcraft, to the sacrifices of the underworld and more, Dr. Mwaka, on his second appearance on this show dives into all the pending questions on spirituality.
Source : Dr. Kingori
 
imagine mtu akuandikie historia ya maisha yako then akuhadithie….hiki ndio chanzo cha umasikini na utegemezi Africa.
Dr. Mwaka sasa anakwenda kimataifa kwa lugha ya kigeni kuelezea maisha ya ukweli ya sisi weusi waafrika katika uhalisia wa kiroho na kisayansi

Spirituality Vs Witchcraft & Science || Dr. Mwaka​


View: https://m.youtube.com/watch?v=y8vB-riPN4M
Dr.J.J Mwaka is a trained psychologist from Tanzania, a traditional healer with inside knowledge of witchcraft. He drops by to share rarely talked about information on the underworld....
Source : Dr. Kingori
 
Unakataa imani yako ya asili 🤣. Hii inaonesha Magnetude ya tatizo
 
Back
Top Bottom