atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Wewe unafikiri hizo dini ulizon'gan'gania uliletewa kwa bahati mbaya?!,jitafute ujijue mjinga mmoja wewe unaeshobokea mila za watu na kujiona mjanja,ptuuuunajua kwanza kwa nini hata tuliuzwa utumwa? sisi ndiyo binadamu pekee tuliokuwa enslaved in the last 500 years, why? au unafikiri tungekuwa na culture superior tungeshikwa utumwa na kuuzwa sokoni?