Ukiangalia waarabu majority identity yao ni Uislam na inawaunganisha.
Ukiangalia wazungu, majority ni Christianity, ni
kiunganishi cha umoja wao.
Wa China wana imani zao ambazo ndio kitambulisho chao. Wahindi majority wanaunganishwa na imani zao.
Je ni ipi identity ya Muafrica? Ni ipi imani ya mtu mweusi?
Kwa mfano, Ukirudi nyuma miaka 170 kutoka sasa, Tanganyika na Zanzibar hakukuwa na Uislam wala Ukiristu,
tulikuwa na identity yetu, Je ni ipi hiyo?
Jesus was never for Africans, and Muhammad Ibn Abdillah was never for Africans. We had our own prophets
Tatizo la Utegemezi na Umasikini kwa Tanzania na Africa lilianzia kwenye DENIAL of Identity, ridiculing our prophets, pamoja na mapokeo ya imani za kigeni zilizopelekea Divide and Rule. Leo hii muafrica wa kiislam na wa ki Christian , deep down hawawezi kujiona ni ndugu, hata salamu zao sio kiunganishi chao. Kila mmoja anamuona mwezie amepotea.
Denial of Identity and lost of our faith ikapelekea sisi kuandikiwa our own history…… imagine mtu akuandikie historia ya maisha yako then akuhadithie….hiki ndio chanzo cha umasikini na utegemezi Africa.
Ili kutatua TATIZO la UTEGEMEZI na UMASIKINI, mtu mweusi ni lazima arudi nyuma na aitafute Identity yake na imani yake ya kweli then aiandike upya histori yake…otherwise, it is a joke kuamini kwamba some days Africa itakuja kusimama na kuendelea…. It never has and Never will.
The world was created with resources distributed equally and designed for interdependence.Africa is the most blessed with abundant natural wealth., then what went wrong?
UTEGEMEZI na UMASIKINI kwa Africa ni laana ya asili iliyotokana na Denial of Identity and faith full stop
Dr Megalodon, PhD Candidate
WHO Regional Office,
Rue 52, Ottawa
Canada