Utegemezi na Umasikini kwa nchi za Africa, Je tatizo lilianzia kwenye mapokeo ya dini na Imani?

Correction Ibn Batuta alifika Kilwa c 1340 alikuta Waislamu
 
Kwakuwa umeongea kiubaguzi,uislamu ndo unaweza kutupeleka katika maendeleo ya kweli,ukifuatwa kiukamilifu,ukifuatilia kwa kiasi fulani kama si kikubwa,uislamu unaendana na mila za kiafrika,fuatilia utaona.
 
Hata hao wazungu ukristo sio identity Yao nao wameupokea lakini maendeleo wanayo unachokiongea ni sawa na mbaazi kukauka na kusingizia jua
Yaani huyo ana Phd utaambiwa , hakuna uhusiano kabisa na anachokiandika ...Angalau anajua kusoma basi ila hana cha kuandika kabisa
 
Huyu Shigongo ni mjinga wa mwisho. Hawa ndiyo wanamaliza fedha za misaada kwa ufahari halafu anajifanya kusema eti watu wasali ili Trump abadilishe mawazo. F'ck mtu mweusi, ombaomba, mpenda anasa bila kufanya kazi. Mtu mzima unasema watu wasali ili usaidiwe wakati nchi yako ina kila kitu? Hapo utakuta alisafiri na business class kwa kutumia fedha za ufisadi.
 
Slavery imetuharibu

Mpaka leo bado tuna slave mentality

Ova
Hakika. Msimamo wa Trump ni mzuri. Ni wakati sasa Waafrica wanapoiba hela serikalini…. Wawekeze nchini kwao. Wanaiba hela then wanaenda kuzificha Ulaya

Waafrica wataelewq tu ni suala la muda. Officially Trump emekata misaada Africa
 
Kwakuwa umeongea kiubaguzi,uislamu ndo unaweza kutupeleka katika maendeleo ya kweli,ukifuatwa kiukamilifu,ukifuatilia kwa kiasi fulani kama si kikubwa,uislamu unaendana na mila za kiafrika,fuatilia utaona.
🤣 mbona waaarabu wanamaendeleo kuliko nyie
 
Na hao waarabu kabla ya Muhammad walikuwa na imani zao zengine tofauti na uislamu, Muhammad akaja kuwahubiria uislamu hadi na vita vinapiganwa.

Na sasa inaonekana uislamu ni utambulisho wa waarabu.
 
But Uislam umewaunganisha waarabu by 95%
 
Hizi ni kamba ambazo kila siku wanadanganyana.

Waoman wanakuja ukanda huu tayari watu ni waisilamu, inshort kabla uisilamu haujasambaa Uarabuni tayari ulikuwepo Africa, kwa Ushahidi wa Historia na Archaeology.

Same kwa Ukristo, upo hata kabla haujasambaa Ulaya, Sehemu kama Egpty na Ethiopia zilikua na wakristo wa Mwanzo kabisa.

Mataifa makubwa makubwa Ya Afrika kama Aksum Empire ya Congo ama Mali ya zamani ya Mansa Musa Yalikua na Nguvu sababu ya hio hio dini.
 
Hakika. Msimamo wa Trump ni mzuri. Ni wakati sasa Waafrica wanapoiba hela serikalini…. Wawekeze nchini kwao. Wanaiba hela then wanaenda kuzificha Ulaya

Waafrica wataelewq tu ni suala la muda. Officially Trump emekata misaada Africa
Safi sana ...hawa wamezidi kuwa omba omba na pesa wakizipata wanazifuja...

Ova
 
Mwisho wa siku,dini zote hizo mliletewa

Ova
 
Hakika. Msimamo wa Trump ni mzuri. Ni wakati sasa Waafrica wanapoiba hela serikalini…. Wawekeze nchini kwao. Wanaiba hela then wanaenda kuzificha Ulaya

Waafrica wataelewq tu ni suala la muda. Officially Trump emekata misaada Africa
Acha hali ngumu Ije labda raia akili zitawakaa sawa na wataacha kukata mauno

Ova
 
Kwakuwa umeongea kiubaguzi,uislamu ndo unaweza kutupeleka katika maendeleo ya kweli,ukifuatwa kiukamilifu,ukifuatilia kwa kiasi fulani kama si kikubwa,uislamu unaendana na mila za kiafrika,fuatilia utaona.

kama ni hivyo nchi za kiislamu zingeendelea, lkn zote shida tupu kwa nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…