Utegemezi na Umasikini kwa nchi za Africa, Je tatizo lilianzia kwenye mapokeo ya dini na Imani?

Tukisoma maandiko matakatifu katika kitabu cha Yeremia 17:5 "BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA."

Mtoa mada unaweza kuona jinsi ambavyo Mungu amemkataza mwanadamu kutegemea msaada wa mwanadamu mwingine. Hivyo hakuna mkiristo wa kweli anayesoma maandiko ambaye ni tegemezi kwa mwanadamu. Wakiristo wakweli msaada wao unatoka kwa Mungu. Mungu ndio tegemeo lao.
 
pakistani, afghanistan, uyghurs wa china, india, irak, lebanon, siria, yemani, n.k.

pakistani, afghanistan, uyghurs wa china, india, irak, lebanon, siria, yemani, n.k.
Hizo sio masikini. Ni chuki za magharibi. Wamezichafua. Pamoja na vita na vurugu za huko. Bado wana standard life kulinganisha na lenu
 
Shida ya afrika ni kutokubari kukusolewa na kutokubari kuwa equal kwenye kueshimiana.
Hiki kitu ndio kina tuponza sana yani mafanaikio kidogo wengine mazuzu.wakati walio wenzetu mazuzu ndio wanaheshimiwa kwa ajili wamewapa mafanikio.
 
Hizo sio masikini. Ni chuki za magharibi. Wamezichafua. Pamoja na vita na vurugu za huko. Bado wana standard life kulinganisha na lenu

ni kweli kidogo siria, irak hata uturuki zilikuwa Christian kabla ya uislamu kuvamia na kuzibadili, mji wa uturuki wa instabul originally uliitwa Constantinople kutokana na Papa Constantin leo hii imekuea islamic kama yote, isitoshe , hata afrika unaweza kutoa kisingizio kama hicho hicho tu, lkn ukweli ni kwamba kuna hizo nchi za magharibi zinatawala dunia nzima lkn kwingine kunachanua kwingine kunaharibika na sababu ni culture ya nchi zinazoharibika ndiyo tatizo …
 
Mmeshindwa kuwatoa CCM wanapokea fedha za wazungu wanazifanyia anasa na mnawashabikia hamtaki kuwatoa madarakani halafu mnalaumu identities.
 
Dini zinadumaza akili
za waafrica weng
kama mpaka leo karne ya 21 anategemea miujiza ya utajiri kwa nabii fulani ndo atoboe
unategemea nin!
 
Hoja dhaifu l
Hoja dhaifu 🚮 sana na inaonyesha ni jinsi gan huko kichwani umejaza ujinga unaoitwa dini,hutaki kukubali kabisa kuwa ukristo na uislam sio imani za mwafrika
 
Wewe ni mtupu kichwani hamna kitu,nyie ndio watumwa wenyewe sasa,eti dini imekuja kutufanya tuwe wamoja?!,mkristo na muislam wanaelewana?,wewe muafrika muislam upo tayar kumbagua ndugu yako mkristo na kujinasibisha na muarabu kisa dini tuu
 
Hoja dhaifu l

Hoja dhaifu 🚮 sana na inaonyesha ni jinsi gan huko kichwani umejaza ujinga unaoitwa dini,hutaki kukubali kabisa kuwa ukristo na uislam sio imani za mwafrika

hakuna binadamu anayemiliki imani, kila culture ililetewa dini ni swala la muda tu, isitoshe watu sampuli yako ndiyo adui wakubwa wa waafrika kwani mnawadanganya waendelee kubakia na mila na jadi zisizoleta maendeleo yoyote yale ( hakuna proof kwamba tulikuwa mbele kimaendeleo kabla ya Ukristo ) huku ninyi kwenye maisha yenu binafsi na familia zenu mnaiga na kufwata western way of life, mnawadanganya wamasai wabakie kuvaa shuka na kuruka ruka wakati ninyi mnavaa full tuxedo na kila aina ya designer clothes kabatini …
 
Wewe ni mtupu kichwani hamna kitu,nyie ndio watumwa wenyewe sasa,eti dini imekuja kutufanya tuwe wamoja?!,mkristo na muislam wanaelewana?,wewe muafrika muislam upo tayar kumbagua ndugu yako mkristo na kujinasibisha na muarabu kisa dini tuu
ndiyo! imeandikwa hata kwenye Biblia, nendeni Duniani kote mkaitangaze injili kwa kila kiumbe … Mk 16:15
Huna akili hata kidogo🚮,hizo kwenye biblia si hadithi tuu hazina uhalisia wowote
 
unajua kwanza kwa nini hata tuliuzwa utumwa? sisi ndiyo binadamu pekee tuliokuwa enslaved in the last 500 years, why? au unafikiri tungekuwa na culture superior tungeshikwa utumwa na kuuzwa sokoni?
 
Mtumwa uliekataa asili yako na kujiona ni mwerevu kwa kufuata asili ya jamii nyingine🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…