mbona 1989 karibuKatika ule mgomo mkubwa ya UDSM wa mwaka 1989, serikali pia ilitumia mbinu hiyo hiyo ya kuwateka viongozi wa DARUSO marehemu Ludovick Bazigiza na maeehemu Matiko Matare.
Ni rahisi kukosoa ukiwa nje ya mfumo lakini ukiwa ndani unakuwa huna namna.
Hata leo Mzee Jaji Joseph Warioba akipewa Urais wa Serikali ya Mpito, watu watatekwa na watauliwa tu.
@brazj, Pascal Mayalla , MTAZAMO , Kimbunga, Mzee Kigogo , Ileje
Unahamisha magoli swala ni kwamba hatutaki utekaji. Mtoa mada alimpimga magufuli kwenye utekaji lakini Leo anamsapoti Samia kama sio utekaji na mauaji kwa jina la Allah tusemeje basi?Magufuli alikuwa ostadh ?
Ndio shetani lenu Samia lilipojifunzia kuiba kura, kuteka na kuua, to support hii regime lazima uwe unafaidika tena sana au mwehu straight upMagufuli alikuwa ostadh ?
Madogo wakawafungia kwenye majumba huko bandarini,na warioba akaenda kuwasimanga na kuwatishaKatika ule mgomo mkubwa ya UDSM wa mwaka 1989, serikali pia ilitumia mbinu hiyo hiyo ya kuwateka viongozi wa DARUSO marehemu Ludovick Bazigiza na maeehemu Matiko Matare.
Ni rahisi kukosoa ukiwa nje ya mfumo lakini ukiwa ndani unakuwa huna namna.
Hata leo Mzee Jaji Joseph Warioba akipewa Urais wa Serikali ya Mpito, watu watatekwa na watauliwa tu.
@brazj, Pascal Mayalla , MTAZAMO , Kimbunga, Mzee Kigogo , Ileje
Na mtendaji mkuu wa serikali(waziri mkuu) alikua active kwenye hiloDuh umenikumbusha mbali!, sikujua Bazigiza na Matiko Matare waliuliwa, kuna yule binti Sikitiko Kapile, sijui kama alisalimika, sijawahi kumsikia tena!.
Niliwahigi kuwaulizia humu Post in thread 'Yupo wapi mwanaharakati huyu wa UDSM?' Yupo wapi mwanaharakati huyu wa UDSM?
Merry Christmas
P
Matiko Matare alipata kichaa kisha akafariki huko mikoa ya kwao. Basigiza alifia hapa hapa Dar. Hatun Kimaro aliishia kuwa mganga wa kienyeji huko Zimbabwe.Duh umenikumbusha mbali!, sikujua Bazigiza na Matiko Matare waliuliwa, kuna yule binti Sikitiko Kapile, sijui kama alisalimika, sijawahi kumsikia tena!.
Niliwahigi kuwaulizia humu Post in thread 'Yupo wapi mwanaharakati huyu wa UDSM?' Yupo wapi mwanaharakati huyu wa UDSM?
Merry Christmas
P
1989 Warioba alikuwa rais? Sasahivi anaolaumiwa ni Samia au Mwigilu?Katika ule mgomo mkubwa ya UDSM wa mwaka 1989, serikali pia ilitumia mbinu hiyo hiyo ya kuwateka viongozi wa DARUSO marehemu Ludovick Bazigiza na maeehemu Matiko Matare.
Ni rahisi kukosoa ukiwa nje ya mfumo lakini ukiwa ndani unakuwa huna namna.
Hata leo Mzee Jaji Joseph Warioba akipewa Urais wa Serikali ya Mpito, watu watatekwa na watauliwa tu.
@brazj, Pascal Mayalla , MTAZAMO , Kimbunga, Mzee Kigogo , Ileje
Kwa hiyo unataka anyamaze asizungumzie utekaji sio???Nimeandika baada yabkumuona Mzee Warioba anaongea utadhani yeye ni mtakatifu. Kumbe naye ni walewale
Kapitie kwenye uzi wako mbona ulijibiwa ukitaka maelezo zaidi tembelea makao makuu lumumbaDuh umenikumbusha mbali!, sikujua Bazigiza na Matiko Matare waliuliwa, kuna yule binti Sikitiko Kapile, sijui kama alisalimika, sijawahi kumsikia tena!.
Niliwahigi kuwaulizia humu Post in thread 'Yupo wapi mwanaharakati huyu wa UDSM?' Yupo wapi mwanaharakati huyu wa UDSM?
Merry Christmas
P
Mauaji yalianza na Kaini kwa ndugu yakeHabili piambona 1989 karibu
utekaji ulianza tangu enzi za Yesu Kristo, Mayahudi ambao hawakupendezwa na mahubiri na miujiza yake, walifanya njama na kumteka Yesu na Kumsulubu Msalabani!