Katika ule mgomo mkubwa ya UDSM wa mwaka 1989, serikali pia ilitumia mbinu hiyo hiyo ya kuwateka viongozi wa DARUSO marehemu Ludovick Bazigiza na marehemu Matiko Matare.
Ni rahisi kukosoa ukiwa nje ya mfumo lakini ukiwa ndani unakuwa huna namna.
Hata leo Mzee Jaji Joseph Warioba akipewa Urais wa Serikali ya Mpito, watu watatekwa na watauliwa tu.
@brazj, Pascal Mayalla , MTAZAMO , Kimbunga, Mzee Kigogo , Ileje
Serikali inakujibu kwa namna unavyokuja. Ukija kwa mjadala, mtaongea na ukija kwa vurugu utavurugwa. Hiyo ndiyo kazi ya state organsHivi kuna sababu gani ya msingi ya kutumia nguvu nyingi kujaribu kuwashawishi watu kwamba barbaric acts a by government ni vitu vya kawaida?
Hao 10,000 umewahesabu kivipi? Kwa kutumia taarifa za CNN?kwahiyo utekaj uendelee tu , asikemee mtu ?
Umetaja watu hawazif kumi ila ss hv wameuliwa watu krb 10 elf na ww akil zako zinakutuma umuone mbaya mkosoaj na sio muuaji
Haya mamb soon yataingiza hadi Zanzibar
Ile ya 29/10 haukuwa udhalimu bali counter offensive dhidi ya waharibifu wa miundombinu ya umma..Warioba hata ukitaka kumlaumu kwa kuteka huwezi kulinganisha na alivyoteka na kupoteza Mama Abduli.
..kwa msingi huo Warioba anao uhalali na haki ya kukemea udhalimu wa kutisha uliofanywa na serikali Oct 29.
..Zaidi kabla ya uchaguzi Mzee Warioba alifanya jitihada za kuwakutanisha Ccm, Serikali, Chadema, Tume, lakini upande wa serikali na Ccm ulimpuuzia.
..Kwa msingi huo, Mzee aliyefanya jitihada za kuepusha maafa yaliyotokea Oct 29 hastahili kuchafuliwa kama hivi mnavyofanya.
Tangu lini protesting imekuwa na maana ya vurugu?Serikali inakujibu kwa namna unavyokuja. Ukija kwa mjadala, mtaongea na ukija kwa vurugu utavurugwa. Hiyo ndiyo kazi ya state organs
Ni muda sahihi wa kumfuatilia hatua baada ya katua katika safari ya Jaji Warioba nyakati zile akiwa madarakani.Katika ule mgomo mkubwa ya UDSM wa mwaka 1989, serikali pia ilitumia mbinu hiyo hiyo ya kuwateka viongozi wa DARUSO marehemu Ludovick Bazigiza na marehemu Matiko Matare.
Ni rahisi kukosoa ukiwa nje ya mfumo lakini ukiwa ndani unakuwa huna namna.
Hata leo Mzee Jaji Joseph Warioba akipewa Urais wa Serikali ya Mpito, watu watatekwa na watauliwa tu.
@brazj, Pascal Mayalla , MTAZAMO , Kimbunga, Mzee Kigogo , Ileje
Yale hayakuwa maandamano bali ni magenge ya uwizi, uharibifu na fujoTangu lini protesting imekuwa na maana ya vurugu?
Hakuna nchi ambayo huunda Serikali na mifumo yake ili kushamirisha barbaric acts. Governments are there to rein in barbaric acts, not to amplify them. Ndiyo maana tuna sheria. Kazi ya Serikali ni kusimamia sheria na kuhakikisha transgressions zote zinashughulikiwa kwa mujibu wa sheria!
Katika ule mgomo mkubwa ya UDSM wa mwaka 1989, serikali pia ilitumia mbinu hiyo hiyo ya kuwateka viongozi wa DARUSO marehemu Ludovick Bazigiza na marehemu Matiko Matare.
Ni rahisi kukosoa ukiwa nje ya mfumo lakini ukiwa ndani unakuwa huna namna.
Hata leo Mzee Jaji Joseph Warioba akipewa Urais wa Serikali ya Mpito, watu watatekwa na watauliwa tu.
@brazj, Pascal Mayalla , MTAZAMO , Kimbunga, Mzee Kigogo , Ileje
Yale hayakuwa maandamano bali ni magenge ya uwizi, uharibifu na fujo
Kuhusu mauaji soma Newton's Third Law of Motion: states that for every action, there is an equal and opposite reaction..kwanini kulikuwa na wizi?
..kwanini kulikuwa na uharibifu?
..kwanini kulikuwa na fujo?
..kwanini kulikuwa na MAUAJI?
ChaiHizo topic mbili tofauti wewe bwege. Mimi mwaka 1990 nilikuwa nime graduate na ninafanya kazi Serikalini. Hakuna nisichokijua kuhusu Mwinyi na Warioba
Yote kwenye bango uliloweka ni sawa kasoro moja la :Samia Must Go". Hilo sahauni msijepata sonofabitch na vidonda vya tumbo kwa mawazo. Yupo mpaka 2030
Neither do we want it to be the same