Utendaji kazi uliotukuka wa Rais Samia umedhoofisha upinzani Tanzania

Utendaji??[emoji848][emoji848]
 
Waruhusiwe kwanza kufanya mikutano ya siasa ndio tuanze kujadili kama wapinzani wamekwisha habari yao au bado wapo vizuri !!
 
Nilichogundua ni kwamba! Kanda ya kusini hasa iringa na njombe sa hv ndo inaweza kuongoza kwa mapoyoyo wengi ndo maana unyanyasaji kwa wanaume kumekithiri huko ikafuatiwa na kanda ya kati. ( kanda za pwani, ziwa, kaskazini na magharibi akili zenu ziko vzr mnajua lipi la maana na lipi si la maana). Ukiona mtu na akili zake anatamani rais asitembelee sehem flan ndani ya nchi yake kwa chuki zake binafsi ujue ni hamnazo.
 
Sera za upinzani zinazogusa maisha ya watanzania Ni zipi kwa Sasa,
Tuna tozo mpaka mihamala ya benki na ATM.
Wapinzani walitutetea katika mengi.
1.Kikokotoo cha mafao baada ya kustaafu.
2.Kuibua ubadhirifu katika serikali
3.Nyongeza ya mishahara
 
Tuna tozo mpaka mihamala ya benki na ATM.
Wapinzani walitutetea katika mengi.
1.Kikokotoo cha mafao baada ya kustaafu.
2.Kuibua ubadhirifu katika serikali
3.Nyongeza ya mishahara
Rais wetu mpendwa ameyafanyia kazi malalamiko mengi ya wananchi na anaendelea na kazi hiyo ya kutatua kero nyingi,

Anawawajibisha wanaochezea Hala za umma, na katika Hilo Hana huruma na mtu na Wala hamtazami mtu usoni ikishaabainika mtu amechota pesa za umma kwa maslahi yake binafsi

Mh Rais pia anaendelea kuboresha maslahi ya watumishi wa umma kwa kuwapandisha madaraja na kuwaongezea mishahara ,Kama alivyofanya majuzi kwa kuwaongezea 23% ili kuwainua hasa wale wa kiwango Cha chini cha mshahara,

Rais pia ameendelea kulipa malimbikizo mbalimbali ya watumishi wa umma waliyokuwa wanadai

Rais pia unaona namna alivyoligusa kundi kubwa la watanzania ambao Ni wakulima kwa kutoa Ruzuku kwenye kilimo ambapo Sasa mbolea itauzwa kwa 70 kutoka huko kwa laki na 30 Hadi laki na 40, Jambo lililo ibua shangwe na ndelemo huku mitaani hasa huku kwetu nyanda za juu kusini

Rais pia ametoa Ruzuku kallibu billion Mia moja kwenye mafuta, ameendelea pia kujenga vituo vya Afya, zahanati ,shule, kusambaza maji kila eneo, kusambaza umeme Hadi vijijini Jambo linalo ongeza furusa nyingi

Rais ameendelea kuimarisha umoja na mshikamano wetu hapa nchini kwa kuwaweka watanzania pamoja na ndio maana unaona saiz kila mtu bila kujari chama chake anahubiri Aman haki upendo na mshikamano
 
Utendaji??[emoji848][emoji848]
Yes utendaji kazi uliotukuka na wakugusa maisha ya watanzania umekonga nyoyo za watanzania

Wakulima wapo na shangwe na ndelemo kwa Sasa baada ya mh Rais kutoa mbolea za Ruzuku na kuifanyaa Bei ya mbolea kushuka Hadi kuwa elfu 70 kutoka huko ilikokuwa laki na 40

Wananchi tunaendelea kuona namna mh Rais anavyoendelea kusambaza huduma za maji ,umeme, kujenga vituo vya afya na shule kila kona
 
Nakubali hayo

Ila vyama vya siasa bado vimegandamizwa kama vile bado tupo udikteta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…