😆😆😆😆😆wanahamishiwa sehemu nyingine ili nako wakaharibu!!!! Hopeless kabisa!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama hujawahi kuajiriwa UNALALAMA nini
Hata kama ikivunjwa waliopo hawapotezi kazi watahamishiwa sehemu nyingine.
Nimeamini wewe ni MPUUZI SANA
Sawa mkuuMi hainihusu hio ila hii tume ni mitopolo
Wakiharibu WANAFUKUZWA KAMA WEWE[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]wanahamishiwa sehemu nyingine ili nako wakaharibu!!!! Hopeless kabisa!!
😆😆😆 very shallow minded!! Unafikili kila mleta au mchangia mada basi ameajiriwa Serikalini kama wewe!!Wakiharibu WANAFUKUZWA KAMA WEWE[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya mfanyabiashara[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] very shallow minded!! Unafikili kila mleta au mchangia mada basi ameajiriwa Serikalini kama wewe!!
Hizo takwimu umezitoa wapi? Chanzo cha takwimu hiyo ni wapi? Au unamaanisha maamuzi ya TUME? Maana kesi nyingi ziko kwenye hatua mbalimbali za maamuzi baada ya uamuzi mbovu wa TUME na kesi zingine nyingi zimekaliwa na TUME kwa kisingizio cha workload.Ndio.maana nikakuambia only 2% ya mashauri ya Tume yamewahi kubatilishwa.
Hata mahakamani kuna mahakama kuu ya rufaa
Sio kosa lako, hufwatilii mambo yanayo tokea hapa nchini.We ndio BURE KABISA Tume na mitihani wapi na wapi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio kweli ukishindwa TUME unakata RUFAA kwa RAIS ukiona umeonewa unakata rufaa MAHAKAMA KUU.
wote wakuonee kwa lipi hasa ulilonalo?
Kama hufahamu UTARATIBU uliza na so kulalama
Acha awaone nimetoa ufafanuzi kama alumni wa Tume.Nyie Tume nakusalimuni nyote kwa jina la jamhuri hapo ofisini kwenu na mnijibu "kazi iendelee"
Naomba mkaze ili vaccum pressure ipande juu na ikinogeshwa na madudu mengine huenda ya rais lungu tukayaona mapema
Nimezitoa ofisini unataka nizipublish??Hizo takwimu umezitoa wapi? Chanzo cha takwimu hiyo ni wapi? Au unamaanisha maamuzi ya TUME? Maana kesi nyingi ziko kwenye hatua mbalimbali za maamuzi baada ya uamuzi mbovu wa TUME na kesi zingine nyingi zimekaliwa na TUME kwa kisingizio cha workload.
We mtu TUME YA UTUMISHI WA UMMA na mitihani wapi na wapi mbona unataka kujidhalilisha??Sio kosa lako, hufwatilii mambo yanayo tokea hapa nchini.
Kwahiyo TUME kila malalamiko 100 yanayoletwa ni mawili (2) tu yanayobadilishwa? Hongera zenu. Hizo ndio moja ya kasoro zinazolalamikiwa kuwa TUME ni uchochoro haki za watumishi zinachezewa.Nimezitoa ofisini unataka nizipublish??
Hakuna taasisi iko perfect 100% hapa mlalamikaji ameongea UPUUZI mwingi nahisi sasa ameelewa haki yake atapata tu.Kwahiyo TUME kila malalamiko 100 yanayoletwa ni mawili (2) tu yanayobadilishwa? Hongera zenu. Hizo ndio moja ya kasoro zinazolalamikiwa kuwa TUME ni uchochoro haki za watumishi zinachezewa.
Akikujibu NITAG[emoji41]Ni tume gani hapa Tanzania inayotimiza majukumu yake vyema,kwa haraka, bila upendeleo na kwa weledi!!??
Washaelewa[emoji41]Ngoja niendelee kutazama hii ligi
Ni tume gani hapa Tanzania inayotimiza majukumu yake vyema,kwa haraka, bila upendeleo na kwa weledi!!??
Ni miungu watu hao, hata experience ya kazi hawanaHii Tume ni hovyo kabisa! Wanachezea haki za wafanyakazi kirahisirahisi tu. Sheri zinawekwa halafu wanakuwa wa kwanza kuzikiuka....pumbavu kabisa.
Afisa Mwandamizi mzima eti anajibu very simple kwamba wana workload kubwa, kwani hiyo workload inamsaidia nini mtumishi?, kwani umuhimu umuhimu wa kuweka Sheria na Kanuni ni upi?