Utendaji Mbovu wa Tume ya Utumishi wa Umma; Rais Samia tupia jicho lako hapo

Utendaji Mbovu wa Tume ya Utumishi wa Umma; Rais Samia tupia jicho lako hapo

Majibu yanayotolewa na Tume kwa rufaa ya Mtumishi ukiangalia ni kama wameandaliwa na Mwajiri husika wao ni kusaini na kupiga mhuri tu. Kugundua hujuma hii iko wazi sana sema tu wamejipanga kiasi kwamba bahasha zinatembea kwa wahusika wote.
Sio kweli ukishindwa TUME unakata RUFAA kwa RAIS ukiona umeonewa unakata rufaa MAHAKAMA KUU.

wote wakuonee kwa lipi hasa ulilonalo?

Kama hufahamu UTARATIBU uliza na so kulalama
 
Huko juu nimetoa ufafanuzi wa PROCESS ya rufaa kuchambuliwa.

Labda nirudie

Ofisa atachambua rufaa kwa kujibu HOJA zako vs majibu ya mamlaka ya nidhamu vs sheria, kanuni, nyaraka, taratibu, miongozo, nk

Akimaliza uchambuzi wake unapitiwa na kikao cha IDARA wanasoma kila HOJA ilivyochambuliwa, watarekebisha kama kuna MAKOSA.

Baadae huo uchambuzi utapitiwa na kikao cha MENEJIMENTI ya TUME ambayo ina wabobezi za sheria za kazi watarekebisha kama kuna makosa.

Mwishoni ndio inaenda TUME.

NADHANI UMEELEWA ILIVYO NGUMU OFISA KULA RUSHWA AU WEWE KUONEWA

CHECK AND BALANCE ni kubwa mno

So huwezi kuonewa wala kupendelewa
We KIlaza Subiri POsho tu huna unachowaambia watu waliodhulumiwa haki zao kwa taarifa yako Customer care yenu ingekua nzuri hata mngekua mnatoa majibu ya uongo wangeridhika, you dont have a single point kuwaaminisha waathirika huo utendaji wenu fake, nasema kwa ujumla nyie ni Crap, waambie waliokutuma kuna jamaa yuko ughaibuni huko hataki kabisa kuelewa TUME YA UTUMISHI WA UMMA NI JANGA KWA WATUMISHI TANZANIA. mara uwatukane badala ya kuwaelimisha , yaani nyie watu mliopata kazi kimagumashi mnashida sana , narudia tena wewe ni masikini tu kama watumishi wenzio period.
 
Huu ndio tunaita "upotoshaji"

Tume ina maafisa wasiozidi 35

Wanashughulikia rufaa za watumishi wooote wa umma ukiondoa walimu, polisi, magereza, na wanajeshi

Unajua workload ya rufaa au unalalama tu.
===

Ufafanuzi wa taarifa ya upotoshaji kuhusu utendaji kazi wa Tume ya Utumishi wa Umma

NA MWANDISHI MAALUM-PSC

Tume ya Utumishi wa Umma imeanzishwa chini ya Kifungu cha 9 (1) cha Sheria ya Utumishi wa Umma (Sura ya 298 marejeo ya mwaka 2019), pamoja na majukumu mengine Tume ina jukumu la kupokea na kushughulikia rufaa kutoka kwa Watumishi wa Umma na Mamlaka za Nidhamu ambao hawakuridhika na uamuzi uliotolewa dhidi yao, kwa mujibu wa Kifungu cha 25 (1) cha Sheria hii na Kanuni ya 60 ya Kanuni za Utumishi wa Umma za mwaka 2003.

Tume ya Utumishi wa Umma inapenda kutoa ufafanuzi wa taarifa ya upotoshaji kuhusu utendaji kazi wa Tume iliyotolewa kupitia mtandao wa kijamii wa “Jamii Forum” tarehe 12 Agosti 2021 kama ifuatavyo:-

1. Kwa mujibu wa Kifungu cha 9(1) cha Sheria ya Utumishi wa Umma Sura ya 298 (marejeo ya mwaka 2019), Tume inaundwa na Mwenyekiti na Wajumbe 6 ambao huteuliwa na Rais ambao pamoja na majukumu mengine wana jukumu la kisheria la kutolea uamuzi rufaa na malalamiko yanayowasilishwa mbele ya Tume. Aidha, kwa mujibu wa Kifungu cha 14(1) na (2) cha Sheria ya Utumishi wa Umma Sura ya 298 (marejeo ya mwaka 2019), Tume ina Katibu ambaye ndiye Mtendaji Mkuu. Katibu na Wasaidizi wake (Sekretarieti) ndio watendaji wa kazi za kila siku katika Tume ya Utumishi wa Umma ambao wameteuliwa baada ya kukidhi sifa na vigezo katika nafasi walizo nazo.

2. Pamoja na Sheria zilizopo, Tume inashughulikia rufaa kwa mujibu wa Mwongozo Kuhusu Mashauri ya Nidhamu na Rufaa kwa Watumishi wa Umma wa Mwaka 2009 ambapo rufaa hupokelewa, husajiliwa, huchambuliwa na kupitiwa na Kikao cha Menejimenti na hatimaye kuwasilishwa mbele ya Tume kwa uamuzi. Hatua ya mwisho ni Mrufani na Mrufaniwa kujulishwa kwa barua juu ya uamuzi unaotolewa na Tume. Utaratibu huu umewekwa ili kuimarisha utendaji kazi, kudhibiti upendeleo, rushwa na kuimarisha utoaji wa haki. Aidha, elimu kuhusiana na utaratibu huu imekuwa ikitolewa kwa wadau kupitia majukwaa mbalimbali.

3. Tume katika kushughulikia rufaa na malalamiko haitoi uamuzi kwa shinikizo au ushawishi wa Mwajiri au Mamlaka ya Nidhamu yoyote ili kuwakandamiza watumishi wasipate haki zao. Tafsiri kuwa Tume ni chombo cha kulinda maslahi ya Waajiri na Serikali. Tume inapenda kuufahamisha umma kuwa inatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria, Kanuni, Taratibu na Miongozo iliyopo.

4. Rufaa na malalamiko yanayopokelewa Tume yenye vielelezo vilivyokamilika ndio yanayoshughulikiwa na kutolewa uamuzi kwa kadri yalivyopokelewa (First in, First Out).

5. Tume ya Utumishi wa Umma, inaomba umma kuupuuza upotoshwaji huu uliotolewa kupitia mtandao wa kijamii wa “Jamii Forum” na inatoa wito kwa umma na wadau wote kuwasiliana na Tume kwa ufafanuzi, maoni au suala lolote kuhusu Tume kupitia simu namba 0738166703, 0733 005 974 na barua pepe, secretary@psc.go.tz.

Imetolewa na:

John C. Mbisso

KAIMU KATIBU

TUME YA UTUMISHI WA UMMA

DAR ES SALAAM

13 AGOSTI, 2021

Majibu ya kinadharia tu uhalisia wa utendaji wa TUME ni aibu. Serikali ikiamua kuichunguza mengi sana na ya kustaajabisha yatagundulika. Kwa utendaji huo ni bora ivunjwe maana inatumia fedha za umma bila ufanisi na kuendekeza rushwa kwa kushirikia na Waajiri ili kudhulumu haki za wafanyakazi/watumishi.
 
We KIlaza Subiri POsho tu huna unachowaambia watu waliodhulumiwa haki zao kwa taarifa yako Customer care yenu ingekua nzuri hata mngekua mnatoa majibu ya uongo wangeridhika, you dont have a single point kuwaaminisha waathirika huo utendaji wenu fake, nasema kwa ujumla nyie ni Crap, waambie waliokutuma kuna jamaa yuko ughaibuni huko hataki kabisa kuelewa TUME YA UTUMISHI WA UMMA NI JANGA KWA WATUMISHI TANZANIA. mara uwatukane badala ya kuwaelimisha , yaani nyie watu mliopata kazi kimagumashi mnashida sana , narudia tena wewe ni masikini tu kama watumishi wenzio period.
Punguza MIHEMKO utaelewa nlichoandika

Vinginevyo we ndio unaonekana MPUUZI ndio maana UKAFUKUZWA KAZI mbona wenzako bado wapo kazini we una USPESHELI gani?

Nshakudharau kabisa
 
Majibu ya kinadharia tu uhalisia wa utendaji wa TUME ni aibu. Serikali ikiamua kuichunguza mengi sana na ya kustaajabisha yatagundulika. Kwa utendaji huo ni bora ivunjwe maana inatumia fedha za umma bila ufanisi na kuendekeza rushwa kwa kushirikia na Waajiri ili kudhulumu haki za wafanyakazi/watumishi.
Fuatilia post za chini utaelewa

UTARATIBU
 
Huko juu nimetoa ufafanuzi wa PROCESS ya rufaa kuchambuliwa.

Labda nirudie

Ofisa atachambua rufaa kwa kujibu HOJA zako vs majibu ya mamlaka ya nidhamu vs sheria, kanuni, nyaraka, taratibu, miongozo, nk

Akimaliza uchambuzi wake unapitiwa na kikao cha IDARA wanasoma kila HOJA ilivyochambuliwa, watarekebisha kama kuna MAKOSA.

Baadae huo uchambuzi utapitiwa na kikao cha MENEJIMENTI ya TUME ambayo ina wabobezi za sheria za kazi watarekebisha kama kuna makosa.

Mwishoni ndio inaenda TUME.

NADHANI UMEELEWA ILIVYO NGUMU OFISA KULA RUSHWA AU WEWE KUONEWA

CHECK AND BALANCE ni kubwa mno

So huwezi kuonewa wala kupendelewa
Hopeless kabisa Tume!!

Cha msingi ni kuwa ujumbe umefika kwa Mh. Rais, najua wewe unatetea ugali wako hapo Tume bila kujua kuwa na wewe ni mhanga mtarajiwa, na ndio maana tumesema kuwa hapo Tume wamejaa vilaza na corrupted staff to the maximum!
 
Sio kweli ukishindwa TUME unakata RUFAA kwa RAIS ukiona umeonewa unakata rufaa MAHAKAMA KUU.

wote wakuonee kwa lipi hasa ulilonalo?

Kama hufahamu UTARATIBU uliza na so kulalama
Hapa tunaongelea uozo wa TUME ambao uko wazi kabisa ukifuatiliwa. Kukata rufaa ni suala lingine. Kwa hiyo TUME wanakula rushwa kumhujumu mtumishi kwa kushirikiana na mwajiri ili Mtumishi akate rufaa kwa Rais? Kwa hiyo TUME ni uchochoro wa kupitia kukata rufaa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pumbavu fata SHERIA ZA KAZI
ACHA UJINGA

KWANINI WAMEKUFUKUZA KAMA HUKUHARIBU SEHEMU[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hapa tunaongelea uozo wa TUME ambao uko wazi kabisa ukifuatiliwa. Kukata rufaa ni suala lingine. Kwa hiyo TUME wanakula rushwa kumhujumu mtumishi kwa kushirikiana na mwajiri ili Mtumishi akate rufaa kwa Rais? Kwa hiyo TUME ni uchochoro wa kupitia kukata rufaa?
Huko juu nimeeleza.vizuri sana juu ya CHECK AND BALANCE.

UKIAMUA KUBISHANA NAKUACHA
 
We ni boonge la kilaza ukishinda tufaa yako unakula mishahara yako toka umefukuzwa kazi.kwanza ukute hata ajira huna
Ulivyo mweupe kichwani unadhani mahitaji na matumizi yatasubiri ushinde rufaa yako? Chakula nyumbani, ada za shule, kodi ya pango nk yote haya yatasubiri ushinde rufaa yako?

Jipime mwenyewe ukilaza wako!
 
Fuatilia post za chini utaelewa

UTARATIBU
Suala si utaratibu bali ni uozo wa TUME imekidhiri kwa rushwa. Sijui hawalipwi mishahara hadi wana njaa kiasi hicho. Naamini serikali imepata ujumbe na itaimulika TUME hii inayoiabisha kwa rushwa.
 
Punguza MIHEMKO utaelewa nlichoandika

Vinginevyo we ndio unaonekana MPUUZI ndio maana UKAFUKUZWA KAZI mbona wenzako bado wapo kazini we una USPESHELI gani?

Nshakudharau kabisa
Mimi sijawahi kuajiriwa na vilaza wewe , hivi unaongozwa na watu wenye low IQ unajiona unajua , hujui kitu tulia wewe hoja ya msingi hamtakiwi kuendelea kuwepo Serikalini mfutwe tu hamna mnachofanya full stop, nitakupinga usiku na mchana TUME YENU MBOVU, utaratibu gani mpaka wenzenu wafe bila madai yao kushughulikiwa, unashupaza misuli bure kutetea UPUUZI ni sawa na Jitu lianze kutaka kuisafisha Tume ya UCHAGUZI litakua zuzu tu kama wewe
 
Sio kweli ukishindwa TUME unakata RUFAA kwa RAIS ukiona umeonewa unakata rufaa MAHAKAMA KUU.

wote wakuonee kwa lipi hasa ulilonalo?

Kama hufahamu UTARATIBU uliza na so kulalama
Angalia sasa, mnampa kazi bure Mh. Rais kwa utopolo wenu na ucheleweshaji wa bure wa haki ya Mtumishi....Shame on you!!
 
Huko juu nimeeleza.vizuri sana juu ya CHECK AND BALANCE.

UKIAMUA KUBISHANA NAKUACHA
Wewe unatetea ugali ila ukweli unaujua. Mawasiliano ya wajumbe wa TUME na waajiri yanafanyika na hupanga matokeo pamoja. Hiyo ni dhambi kabisa, endelea kujitetea ila mwisho wenu wa dhuluma unakuja.
 
Wewe unatetea ugali ila ukweli unaujua. Mawasiliano ya wajumbe wa TUME na waajiri yanafanyika na hupanga matokeo pamoja. Hiyo ni dhambi kabisa, endelea kujitetea ila mwisho wenu wa dhuluma unakuja.
Sikiliza mkuu nshaondoka huko miaka4 iliyopita napajua vema
 
Ulivyo mweupe kichwani unadhani mahitaji na matumizi yatasubiri ushinde rufaa yako? Chakula nyumbani, ada za shule, kodi ya pango nk yote haya yatasubiri ushinde rufaa yako?

Chipime mwenyewe ukilaza wako!
Mchakato nimekueleza

Ningekuwa "mweupe kichani" ningeshafukuzwa kazi ila bado nadunda

We uliye "mweusi" kichwani wamekula kichwa
 
Suala si utaratibu bali ni uozo wa TUME imekidhiri kwa rushwa. Sijui hawalipwi mishahara hadi wana njaa kiasi hicho. Naamini serikali imepata ujumbe na itaimulika TUME hii inayoiabisha kwa rushwa.
We ni pimbi sana rushwa utatoa kwa watu wangapi??

1.Ofisa
2.Idara
3.Mngmt Tume

Nani atakayepindisha haki yako

Process ndefu inahusisha watu wengi sana.
 
Mimi sijawahi kuajiriwa na vilaza wewe , hivi unaongozwa na watu wenye low IQ unajiona unajua , hujui kitu tulia wewe hoja ya msingi hamtakiwi kuendelea kuwepo Serikalini mfutwe tu hamna mnachofanya full stop, nitakupinga usiku na mchana TUME YENU MBOVU, utaratibu gani mpaka wenzenu wafe bila madai yao kushughulikiwa, unashupaza misuli bure kutetea UPUUZI ni sawa na Jitu lianze kutaka kuisafisha Tume ya UCHAGUZI litakua zuzu tu kama wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama hujawahi kuajiriwa UNALALAMA nini

Hata kama ikivunjwa waliopo hawapotezi kazi watahamishiwa sehemu nyingine.

Nimeamini wewe ni MPUUZI SANA
 
Back
Top Bottom