Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
- Thread starter
- #61
Hapana... Hata kidogo. Hii lugha ni kama kiswahili tu kwangu.so haihusiani na elimu....mi nawachukia ambao wamesoma halafu hawajaelimika. Napenda walioelimika.šMi nakubali sijasoma, ila mi sio kama wewe... siwachukii waliofika chuo..... Kwahyo kwa hicho kimombo ndo unantishia nawewe umesoma?