Utenguzi: Maharage Chande wa Posta, Ulanga wa TTCL na Justina Mashiba wa UCSAF watumbuliwa

Wote si wamempongeza nape na kumtakia Kila la kheri wacha wakapongezane huko huko.
Tunasubiri kwa hamu shirika la posta litoe tena tangazo la kumpongeza Maharage kwa kazi nzuri alilolifanyia shirika hilo alipokuwa mtendaji mkuu wake! Huu ni uhuni usiokubalika po pote.
 
Maharage na january walipiga pesa nyingi sana kwenye wizara ya nishati...
 
Ww unajua wanatengua tu bila sababu uwe na akili bwana, au bado hujaacha ulevi.
Hzo roho za ubaguzi najua zinatoka chadema acheni ujinga 🚮
Nyie wazanzibar ndiyo wabaguzi no moja, Mbarawa na Masauni wanafanya kitu gani cha maana? dada angu kuwa na akili hata kidogo
 
Kuna watu wa hovyo kama Mbarawa na Masauni?
 
Yaani kumshukuru mtu kwa Utumishi wake napo ni kumkosea Mh Rais?

Huu sasa ni uoga.

Unless otherwise kuwepo na something serious.
Wateteeni tu mafisadi, huku nyie hata jelo la Panado huna. Mnalia tu kuwa maisha ni magumu na mkiendelea kuwashangilia wanayosababisha maisha hayo kuwa magumu.

Mtamfahamu tu Dkt Samia Suluhu Hassan. Na mtaenda mbali zaidi kufahamu kwa nini Ma-profesa mbali mbali wamempa Phd Mama Samia. Endeleeni kutafakari!
 
Safi kupe.

Abdika namba ya simu kwa chini.
 
Nyie wazanzibar ndiyo wabaguzi no moja, Mbarawa na Masauni wanafanya kitu gani cha maana? dada angu kuwa na akili hata kidogo
Usifikiri kama Benjamin N! Amka na tafakari kwanini maisha ni magumu? Ni nani anayesababisha hayo.
Ogopa mafisadi na wahuni. Lazima waondoke, wapishe wengine wafanye kazi ili maisha yawe mepesi.
 
Acha uongo wewe!
 
Walioko chini ya Nape waote wameondoka.Inaknekana hawa jamaa wameiba sana hadi wakatimuliwa wote kuanzia waziri na wakurugenzi wataasis hizo
Ndio walioizamisha nchi yetu. Walioyafanya maisha yawe magumu.
Hapa ndio walipotufikisha.
 
Hawa mbwa walitakiwa wawe gerezani baada ya kupukutishwa hela zote walizoiba.
 
Wajinga sana hao jamaa. Mtu aliyefukuzwa Kazi ya uwaziri , huwezi kumpongeza kwa namna yoyote ile. Wamepata walichokitafuta.
Nape kafukuzwa kwa kauli yake, sasa kauli yake inabatilisha mazuri aliyofanya na hawa jamaa akiwa waziri wao? Samia anapita kiasi mara nyingine, anaamua mambo kwa emotions. Atajigombanisha na watu watu wa bara bila sababu
 
Kama ni kweli hawa wametenguliwa sababu ya apreciation thanks but we are in a deep cave. Petty issues hizi sio core issues zinaweza kupunguza ukali wa maisha.
Refelects incompetence on the people who vet, train and do induction to these appointed.
Hili linatupeleka kwenye katiba mpya mtu mmoja hawezi kuwajua vizuri watu wote yeye awe anawateua tuu wengine ni i stupidos, watu inabidi waombe hizi nafasi, wafanyiwe live televised interview wapimwe umahiri wai na wananchi mana wanalipwa na kuhifadhiwa kwa kodi za wananchi
 
Tangu ameanza teua, hamisha na tengua maisha kwako yamekuwa rahisi?
Siasa sio biashara, unauza toka asubuhi na jioni unahesabu faida. Siasa ni subira na cha msingi nikuamini kuwa kiongozi ana nia njema.

Nchi imeharibika hii, ukichagua 10 wasafi na wenye nia nzuri ni wa 2 tu. Mama ana kazi nzito sanaaa.
 
Siasa sio biashara, unauza toka asubuhi na jioni unahesabu faida. Siasa ni subira na cha msingi nikuamini kuwa kiongozi ana nia njema.

Nchi imeharibika hii, ukichagua 10 wasafi na wenye nia nzuri ni wa 2 tu. Mama ana kazi nzito sanaaa.
Imeharibiwa na mifumo ya wizi na kujuana, kwanini huwezi sikia Vodacom, Airtel, Tigo n.K wamefilisika lakini ni mashirika ya umma pekee ambayo yanafilisika pamoja na kupewa ruzuku? kama nafasi zingetangazwa tungepata watu wazuri sn, huu mfumo wa kuteua ndugu na chawa ndiyo ujinga wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…