Utenguzi: Maharage Chande wa Posta, Ulanga wa TTCL na Justina Mashiba wa UCSAF watumbuliwa

Utenguzi: Maharage Chande wa Posta, Ulanga wa TTCL na Justina Mashiba wa UCSAF watumbuliwa

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu MkuuKiongozi Balozi Dk.t Moses Kusiluka, viongozi waliotenguliwa ni kama ifuatavyo:-

1. Bi Zuhura Sinare Muro, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) na Mhandisi Peter Rudolph Ulanga, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL).

2. Brigedia Jenerali Mstaafu Yohana Ocholla Mabongo, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Posta Tanzania na Bw. Maharage Aly Chande, Postamasta Mkuu, Shirika la Posta Tanzania.

3. Prof. John Nkoma, Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) na Bi. Justina Tumaini Mashiba, Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF).

Sharifa B. Nyanga
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu

View attachment 3050160
Pia soma; UTEUZI: Maharage Chande aondolewa TTCL, ateuliwa kuwa Postamasta, Ulanga arudishwa TTCL
Tengua teua Wala haisaidii sana nchi kukua kwa kuwa haitoi mwanya watu kuonyesha vipawa walivyopewa na Mungu
 
Nape kawaponza wenzake, nahisi yeye ndio aliyewashinikiza wampongeze, wao kwa hofu, ukizingatia wanasiasa huwa wanasameheana, wakawaza Siku akirudishwa itakuwaje? Wakalazimika kumpongeza, ikala kwao.

Mbona January hajapongezwa, nape kafanya hovyo
 
Tengua teua Wala haisaidii sana nchi kukua kwa kuwa haitoi mwanya watu kuonyesha vipawa walivyopewa na Mungu
Hapana mzee,
Kwenye nchi inabidi kuwe na zero tolerance policy ili muendelee, ukizingua toka aje mwingine, tupp wengi, sio lazima nafasi zishikwe na wachache
 
Safi sana fagio linaendelea kupita👇👇
---

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi waliotenguliwa ni kama ifuatavyo:-

i. B.i Zuhura Sinare Muro, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) na Mhandisi Peter Rudolph Ulanga, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL).

ii. Brigedia Jenerali Mstaafu Yohana Ocholla Mabongo, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Posta Tanzania na Bw. Maharage Aly Chande, Postamasta Mkuu, Shirika la Posta Tanzania.

iii. Prof. John Nkoma, Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) na Bi. Justina Tumaini Mashiba, Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF).

Kuna wakati mtu mmoja alisema serikali isitishike kuhusu madai ya wafanyabiashara. Watafungua tu maduka. Kumbe serikali inapewa dhamana na watu.
Ikiacha kuwasikiliza walio wengi inataka majanga. Lazima serikali ikae macho siku zote. Kuwa kiongozi sio kwamba ndio mtu special. Ufanye unavyojisikia.
Pole sana kwa waliorudi benchini. Ubabe unafanya nyumbani kwako tu, sio kwenye ofisi za umma.
 
Maharage I used to know was different from the new Maharage under the tutelage of January when he was at Tanesco and Nape when he was working for Posta.
It was obvious, the changes were meant something, good or fishy. I hope no any ill doing in his few years at tanesco and Posta.
After all, Softnet sijui imesambaza mkonga wa mkonga wilaya ngapi
Mkuu,

Maharage umejuana naye tangu wapi? Umeongea naye hivi karibuni?
 
Najiuliza ni kama tupo shule ya msingi

Mwalimu mkuu anateua viranja wapya kila week

That could be a chaotic school

Hawa watu wanashindwa kutumia simple analogue

Wanaweka nchi kwenye chaotic state

Why ?

Kwamba wao ni mabingwa wa siasa

Hii work ya Tiss if it is their work wanazidi ku prove nachosema kuhusu Tiss

Such an imbecile organisation
 
Bimkubwa kawachelewesha sana hawa jamaa, labda itakuwa alikuwa anausoma mchezo.

Bado nashangaa kamuachaje kijana mmoja list ya wanafiki ikamilike. Maza asimuonee aibu kijana aliebaki ni kampuni moja na aliowatimua. Huyu ataendeleza michakato yao haramu ya kusaka urais.

Mama ameweza, mama anaupiga mwingi , mama mitano tena ili afikishe SGR Mwanza na Kigoma .
Anaenda Kwa step
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu MkuuKiongozi Balozi Dk.t Moses Kusiluka, viongozi waliotenguliwa ni kama ifuatavyo:-

1. Bi Zuhura Sinare Muro, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) na Mhandisi Peter Rudolph Ulanga, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL).

2. Brigedia Jenerali Mstaafu Yohana Ocholla Mabongo, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Posta Tanzania na Bw. Maharage Aly Chande, Postamasta Mkuu, Shirika la Posta Tanzania.

3. Prof. John Nkoma, Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) na Bi. Justina Tumaini Mashiba, Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF).
Sharifa B. Nyanga
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu

View attachment 3050161
Yaani Mwenyekiti wa Bodi anaondoka na Mtendaji wake Mkuu. Hii ni hatari, pana jambo hapo!!!
 
Najiuliza ni kama tupo shule ya msingi

Mwalimu mkuu anateua viranja wapya kila week

That could be a chaotic school

Hawa watu wanashindwa kutumia simple analogue

Wanaweka nchi kwenye chaotic state

Why ?

Kwamba wao ni mabingwa wa siasa

Hii work ya Tiss if it is their work wanazidi ku prove nachosema kuhusu Tiss

Such an imbecile organisation
Binadamu ni kiumbe anaebadilika, kwa hio wakibadilika tuwaache ?
 
Makosa Yao hao Yapo kwenye Uchawa Mama anataka Kukomesha Uchawa hahahahah
😅😅😅
Ukimletea Uchawa Tu unakula Thank yu..

Wote waliokula Thank Yu walimpongeza Nape na kumshukuru..😅

HII VITA NI KUBWA SANA KUPONGEZA KUMEWAPONZA INAONEKANA MAMA ANA HASIRA NA NAPE SANA View attachment 3050201
View attachment 3050202

View attachment 3050201View attachment 3050202View attachment 3050208View attachment 3050209View attachment 3050210View attachment 3050211
Nape kaandika hili bango kisha akawatumia
 
Asiyemkubali mama akapimwe akili, tulimuona mpole au haelewi kinachoendelea kumbe yupo zaidi ya makini mama ana kura yangu na ukoo wangu
Mimi, nikiwa kama mwenyekiti wa ukoo natamka yafuatayo-kwanza kabisa huruhusiwi kutoa tamko,maagizo,wala kutoa amri yoyote kwa niaba ya ukoo, pili, bado utabakiwa na haki ya kutoa maoni nje ya vikao rasmi vya ukoo,,hata hivyo maoni yako hayatazingatiwa isipokuwa kwa ridhaa yangu tu,tatu, maagizo,maamuzi,amri, na chochote ulichoamua kwa niaba ya ukoo, kuanzia tarehe hii ya leo kitachukuliwa kama null and void,hayatatambulika wala kuzingatiwa na wana ukoo, vilevile, kamati tendaji ya ukoo itakutana haraka iwezekanavyo kwa hatua zaidi dhidi yako.

Mwenyekiti wa ukoo.
 
Back
Top Bottom