Utenguzi: Maharage Chande wa Posta, Ulanga wa TTCL na Justina Mashiba wa UCSAF watumbuliwa

Utenguzi: Maharage Chande wa Posta, Ulanga wa TTCL na Justina Mashiba wa UCSAF watumbuliwa

Wajitokeze tena mashujaa wa shukurani😂😂😂😂
 

Attachments

  • IMG-20240723-WA0030.jpg
    IMG-20240723-WA0030.jpg
    171.5 KB · Views: 2
  • IMG-20240723-WA0029.jpg
    IMG-20240723-WA0029.jpg
    69.3 KB · Views: 1
  • IMG-20240723-WA0028.jpg
    IMG-20240723-WA0028.jpg
    45.7 KB · Views: 1
Siongelei hela na magari kwa mtu binafsi. Maharage kwao wako poa long time wala hategemei kazi za serikali kuishi poa.

Naongelea human capital na tapping potential.

Watanzania wengi mbona kila kitu mnaishia kuangalia pesa nyumba na magari?
Ndo ujinga CCM waliotupandikiza kwa wengi wetu.
Hautaeleweka na wengi wetu humu.
 
Ukijiona unatumia neno kutumbua ....mara flani katumbuliwa sijui Rais anatumbua ujue wewe una vimelea vya.....wewe ni maskini mlalahoi, wewe ni mmoja kati ya majinga jinga majuha ambayo ni mtaji mkubwa wa ccm, wewe una roho mbaya........wewe ni jobless, wewe una kazi ambayo mishahara haikutani, wewe ni mwajiriwa wa halmashauri.......
 
Nimeupenda huu utaratibu wa kutengua tengua, hii inasaidia sana kutokujisahau madarakani!
Ubaya wake, jitu likiingia madarakani likijua litatenguliwa muda wowote, litaiba kwa pupa sana. Ni ngumu kutenda kwa uzalendo akijua muda wowote nyasi zinaota. hasa jamii ya mtu mweusi.


JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Ukijiona unatumia neno kutumbua ....mara flani katumbuliwa sijui Rais anatumbua ujue wewe una vimelea vya.....wewe ni maskini mlalahoi, wewe ni mmoja kati ya majinga jinga majuha ambayo ni mtaji mkubwa wa ccm, wewe una roho mbaya........wewe ni jobless, wewe una kazi ambayo mishahara haikutani, wewe ni mwajiriwa wa halmashauri.......

haha kwa vigezo hivyo unaongelea >98% ya watanzania waishio tanzania …
 
Ni kweli asilimia kubwa watanzania Wana waza hela, nyumba na magari.

hawa elewi influence ya mtu ina pungua, aidha moja kwa moja au kwa njia yoyote Ile.

siasa si teuzi tu, ila ni long game plan hapo kasha anza kuchafua kitabu isije muharibia Baadae.
Kama wengi tunawaza pesa na magari basi jua ndiyo jamii yetu ilivyo. Usilazimishe jamii flani ifate maisha ya jamii nyingine. Kama wengi tunapenda pesa na magari basi hao wachache watakuwa collateral damage.
 
Ni kama Sekta ya Mawasiliano imemfuata Waziri wao...Kuna kitu kinasukwa sio bure.

Mzee Mabeans na Marope issue yao ya Eurolink haijapoa naona wameliwa vichwa.
 
Nadhani hii kuteua na kutengua hapo mama Samia anaona ndo kufanya kazi.... Huyu mama Kila nikikumbuka kwamba ndio rais wangu nakata tamaa kabisa.....
Mitanzania aina yako hamna jema. Kwahiyo hata mtu akiharibu amuache kisa tu ataonekana aanateua na kutengua?

Kumbuka hata Magufuli na umwamba wake wa vitisho lakini alikuwa anateua na kutengua mara kwa mara.
 
Wote si wamempongeza nape na kumtakia Kila la kheri wacha wakapongezane huko huko.
Ndiyo sababu, haiwezekani kuwa ni coincidence
 

Attachments

  • IMG-20240723-WA0003.jpg
    IMG-20240723-WA0003.jpg
    76.8 KB · Views: 2
  • IMG-20240723-WA0005.jpg
    IMG-20240723-WA0005.jpg
    126.3 KB · Views: 1
  • IMG-20240723-WA0004.jpg
    IMG-20240723-WA0004.jpg
    57.4 KB · Views: 1
Back
Top Bottom