Utenguzi: Maharage Chande wa Posta, Ulanga wa TTCL na Justina Mashiba wa UCSAF watumbuliwa

Utenguzi: Maharage Chande wa Posta, Ulanga wa TTCL na Justina Mashiba wa UCSAF watumbuliwa

Du baaada ya mshikaji wake kupigwa chin naona maharage chande nae anakwenda kula maharage home
Yeye na boss wake walitakiwa kua jela. Hasara walizoingizia taasisi za umma walizokua wakiongoza hazielezeki.

Ni mabingwa wa kuanzisha miradi isiyo na kichwa wala miguu ili wapige 10% waondoke.

Chande na Makamba wakiwa Tanesco walianzisha miradi hewa inayoitwa Grid Imara, wakatangaza tenda 30 ndani ya mwaka mmoja za zaidi ya trilioni 4. Wakasaini mikataba wameacha wakandarasi hawajalipwa hata 10 kwa sababu serikali imeshindwa kuendana na mahitaji makubwa ya kuwalipa wakandarasi 30 kwa wakati mmoja wa umeme ambao wanadai zaidi ya Trilioni 4.

Makamba hakuishia hapo, akahamia mambo ya nje, akaanzisha mradi wa ujenzi wa vitega uchumi kwenye balozi zetu Duniani kote eti ili tuwe tunapangisha huko tunapata fedha, nia yake ni apate 10% ya watu watakapoewa tenda ya ujenzi wa hayo majengo ale aondoke.

Mama asiishie kuwatumbua tu, wafikishwe mahakamani pia.
 
Kosa lao kumpongeza Nape Mauya
1721748003221.jpeg

1721748617103.png

1721748637750.png

1721748673376.png

Mie namtengua wewe unamwambia asante na shukurani, unajifanya kiziwi kama chura eeh!
 
Wamemfanyia nini huyu mama mbona ghafla hataki kuwasikia kabisa.

Bora utafute ugomvi na mtu mkorofi unajua reaction, kuliko mtu mpole wakikasiruka uwa wanarudi vibaya sana utashangaa.
Wamekuwa wanamdhalilisha sana,,lakini hata baada yakuwatebgua walianza juwasiliana kwa sumu nakupeana pole na kuahidi watane delea kusimamia miradi Yao ya upigaji.Wakati wanaongea yote hao kumbe yakawa yanafuatiliwa kwenye mitandao ndo maana wote wameondoka.Waswahili wakikudharau I akuwa shida sana
 
Back
Top Bottom