Utenguzi: Maharage Chande wa Posta, Ulanga wa TTCL na Justina Mashiba wa UCSAF watumbuliwa

Utenguzi: Maharage Chande wa Posta, Ulanga wa TTCL na Justina Mashiba wa UCSAF watumbuliwa

Makosa Yao hao Yapo kwenye Uchawa Mama anataka Kukomesha Uchawa hahahahah
😅😅😅
Ukimletea Uchawa Tu unakula Thank yu..

Wote waliokula Thank Yu walimpongeza Nape na kumshukuru..😅

HII VITA NI KUBWA SANA KUPONGEZA KUMEWAPONZA INAONEKANA MAMA ANA HASIRA NA NAPE SANA
1721748003221.jpeg

20240723_182530.jpg


1721748003221.jpeg
20240723_182530.jpg
IMG_4020.jpeg
IMG_4019.jpeg
62b7d2b6-3ffe-4092-8553-b44cf8dcaa06.jpeg
IMG_4016.jpeg
 
Nilijua tu, baada ya taarifa zao za kumpongeza nape na kumtakia kila la heri baada ya kutumbuliwa nakahisi lazima vichwa vitaliwa hapa, na kweli vimeliwa. Afu na zile post zao za kumpongeza nape wameshafuta.
Jamani, huyu mama amekuwa paranoid
 
Huyu pesa aliopiga inamtosha hata asipo pata uteuzi tena anaishi vizuri na v8 model 2024 full tank 24/7
Siongelei hela na magari kwa mtu binafsi. Maharage kwao wako poa long time wala hategemei kazi za serikali kuishi poa.

Naongelea human capital na tapping potential.

Watanzania wengi mbona kila kitu mnaishia kuangalia pesa nyumba na magari?
 

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu MkuuKiongozi Balozi Dk.t Moses Kusiluka, viongozi waliotenguliwa ni kama ifuatavyo:-

1. Bi Zuhura Sinare Muro, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) na Mhandisi Peter Rudolph Ulanga, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL).

2. Brigedia Jenerali Mstaafu Yohana Ocholla Mabongo, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Posta Tanzania na Bw. Maharage Aly Chande, Postamasta Mkuu, Shirika la Posta Tanzania.

3. Prof. John Nkoma, Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) na Bi. Justina Tumaini Mashiba, Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF).

Sharifa B. Nyanga
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu

View attachment 3050160
Pia soma; UTEUZI: Maharage Chande aondolewa TTCL, ateuliwa kuwa Postamasta, Ulanga arudishwa TTCL
Wazanzibari wanatafutiwa ajira huku Tanganyika
 
Hawakusoma alama za nyakati,yaani bosi wako anatengua wewe unapongeza..!
Upungufu wa nidhamu,
Nilijua tu, baada ya taarifa zao za kumpongeza nape na kumtakia kila la heri baada ya kutumbuliwa nakahisi lazima vichwa vitaliwa hapa, na kweli vimeliwa. Afu na zile post zao za kumpongeza nape wameshafuta.
Wangeziacha tuone viwango vya nidhamu.
 
Siongelei hela na magari kwa mtu binafsi. Maharage kwao wako poa long time wala hategemei kazi za serikali kuishi poa.

Naongelea human capital na tapping potential.

Watanzania wengi mbona kila kitu mnaishia kuangalia pesa nyumba na magari?
Mkuu hapa kwetu pesa ni first prioroty personal character and personality badaye, wewe huoni watu wazima wanafanya uchawa wa kujidhalilisha kisa pesa, ma professor ma dakitari kisa uteuzi......
 
Hiki ndio anacho weza kizimkazi Zaidi kuliko kitu kingine hapo magogoni.






KAZI ni kipimo cha UTU
 
Ukiona bi mkubwa kishausoma mchezo
Hakuna cha mchezo. Atulie afanye kazi na aachane na personalities.

Kumtumbua mtu kwa kumshukuru aliyetoka sio sahihi! Hizo ni roho za kishetani na zinakuonesha kuwa you are not competent.

Kuna shida mahali. It's either anazungukwa na watu ambao sio sahihi au she is incompetent.

Hili la kubadili wakuu wa TISS 4 in 3 years tu ni a very serious red flag.

Samia atulie. Anajipa pressure unnecessary!
 
Back
Top Bottom