Utenguzi: Maharage Chande wa Posta, Ulanga wa TTCL na Justina Mashiba wa UCSAF watumbuliwa

Utenguzi: Maharage Chande wa Posta, Ulanga wa TTCL na Justina Mashiba wa UCSAF watumbuliwa

Makosa Yao hao Yapo kwenye Uchawa Mama anataka Kukomesha Uchawa hahahahah
😅😅😅
Ukimletea Uchawa Tu unakula Thank yu..

Wote waliokula Thank Yu walimpongeza Nape na kumshukuru..😅

HII VITA NI KUBWA SANA KUPONGEZA KUMEWAPONZA INAONEKANA MAMA ANA HASIRA NA NAPE SANA View attachment 3050201
View attachment 3050202


View attachment 3050201View attachment 3050202View attachment 3050208View attachment 3050209View attachment 3050210View attachment 3050211
Usikute kuna muhuni mmoja tu alitoa maelekezo haya yafanyike. Ameingiza ofisi zote kwenye shida
 
Siongelei hela na magari kwa mtu binafsi. Maharage kwao wako poa long time wala hategemei kazi za serikali kuishi poa.

Naongelea human capital na tapping potential.

Watanzania wengi mbona kila kitu mnaishia kuangalia pesa nyumba na magari?
Ni kweli asilimia kubwa watanzania Wana waza hela, nyumba na magari.

hawa elewi influence ya mtu ina pungua, aidha moja kwa moja au kwa njia yoyote Ile.

siasa si teuzi tu, ila ni long game plan hapo kasha anza kuchafua kitabu isije muharibia Baadae.
 
Kwa sasa unaweza kupata uteuzi serikalini kutoka private, ukafikiri umeula, kumbe ndiyo career yako inaenda kufa.

Look at Maharage Chande.
Inafikirisha sana, jamaa PS alikuwa mtendaji mzuri sana, maybe aliingia circle ya watoto wa town wakamfundisha umafia.
 
Inafikirisha sana, jamaa PS alikuwa mtendaji mzuri sana, maybe aliingia circle ya watoto wa town wakamfundisha umafia.
Ukiingia serikalini ushaingia kwenye nfumo wa ki Mafia, kukubali appointment tu ni setting yourself for failure.

Ni vigumu sana ku maintain utendaji wa Private Sector serikalini.

Tatizo sasa inawezekana uteuzi wenyewe unausikia redioni, halafu ukiukataa umemuaibisha rais na kujitengenezea matatizo, inabidi ukubali tu.
 
Back
Top Bottom