Utenguzi: Maharage Chande wa Posta, Ulanga wa TTCL na Justina Mashiba wa UCSAF watumbuliwa

Utenguzi: Maharage Chande wa Posta, Ulanga wa TTCL na Justina Mashiba wa UCSAF watumbuliwa

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu MkuuKiongozi Balozi Dk.t Moses Kusiluka, viongozi waliotenguliwa ni kama ifuatavyo:-

1. Bi Zuhura Sinare Muro, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) na Mhandisi Peter Rudolph Ulanga, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL).

2. Brigedia Jenerali Mstaafu Yohana Ocholla Mabongo, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Posta Tanzania na Bw. Maharage Aly Chande, Postamasta Mkuu, Shirika la Posta Tanzania.

3. Prof. John Nkoma, Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) na Bi. Justina Tumaini Mashiba, Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF).

Sharifa B. Nyanga
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu

View attachment 3050160
Asiyemkubali mama akapimwe akili, tulimuona mpole au haelewi kinachoendelea kumbe yupo zaidi ya makini mama ana kura yangu na ukoo wangu
 
Vigogo wakubwa Sekta ya TEHAMA Teknolojia ya Habari na Mawasiliano inayohusu Posta, intaneti, mitandao, mawasiliano kushambuliwa hivi, je nini baadaye kitafuata?

KURUNZI YAMULIKA HAZINA YA UZOEFU KATIKA UONGOZI KWA WALIOTUMBULIWA

1721748428224.png

Zuhura Sinare Muro - 30 years of HR management, Training and leading various businesses at board level. Expert in Strategic HR advice and capacity building training.


1721749376501.png

CEO Maharage Chande aliwahi pia kuwa mkurugenzi mkuu wa TANESCO.


image_xah6SLH.png

Brigedia Jenerali Mstaafu, Yohana Ocholla Mabongo- Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugezi wa Shirika la Posta Tanzania (2022- 2024)
Brigedia Jenerali mstaafu Yohana Ocholla Mabongo aliwahi kuwa Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA katika Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.

Pia brigedia jenerali mstaafu Yohana Ocholla Mabongo aliwahi kuwa naibu mkuu wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa.



1721749611285.png

Prof. John S. Nkoma
, John S Nkoma. Former chairman Universal Communications Services Access Fund · Board. BSc (UDSM) MSc (Essex) PhD ...
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi waliotenguliwa ni kama ifuatavyo:-


i. B.i Zuhura Sinare Muro, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) na Mhandisi Peter Rudolph Ulanga, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL).


ii. Brigedia Jenerali Mstaafu Yohana Ocholla Mabongo, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Posta Tanzania na Bw. Maharage Aly Chande, Postamasta Mkuu, Shirika la Posta Tanzania.


iii. Prof. John Nkoma, Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) na Bi. Justina Tumaini Mashiba, Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF).
 
Hapa kuna mchezo tunachezewa wa kisaikolojia. Hawa matapeli wana ajenda yao ya Siri.

Nape na makamba jr hawajatolewa kwasababu za kiutendaji wametolewa ili waanze kuingia mtaani kufanyia utekelezaji zoezi la kutengeneza kura kwaajiri ya uchaguzi ujao.

siyo kweli, why would she need to do that? kama angetaka hivyo angefanya tu hivyo bila ya kuwatumbua, akuchezee mchezo kivipi? unaongelea raisi wa nchi kama tanzania acheze games kama hizo ili iweje wakati anaweza kwenda straight bila ya chochote kutokea?
 
Back
Top Bottom