Utenguzi: Rais Samia atengua nafasi za Viongozi wafuatao

Mama nakuomba EFDMS machine zisiweze kutoa risiti kama TIN ya mnunuzi haijawekwa
 
Hizi kazi za uteuzi nazo ni utumwa kabisa, imagine mmoja wapo kati ya hao,leo alikuwa na kikao na amefoka sana kwa wale anaowasimamia 😂😂........mchana alikuwa anafoka saizi anachekwa
Wengine wanakopea vyeo😂😂😂😂😂 taaabu Sana.
 
Ya kilofa sanaaaa. Mimi nilifanikiwa fanya kazi Halmashauri zaidi ya miaka 9 ktk position Menejimenti. Yaani DED ni kazi isiyokuwa na ratiba always, isiyokuwa na bajeti, isiyo kuwa future. yaani stress Kila saa
Ukrugenzi wa halmashauri ni kazi ya kilofa mizigo yote unaangushiwa ww
 
Yule aliyemtumbua jicho mwanafunzi yupo ama kapona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…