Utetetezi wa Sabaya, haupo kisheria, na pia unavunja kanuni za Kijasusi



Hata Kama akirekodi bado haitamsaidia Sana ingawaje atajiletea unafuu
 
Hapo mahakamani anafanya nini kama ni kesi za hisia na mihemko?
 
Sabaya ni roboti yenye damu
 
Kwanza ni ajabu hujui sheria halafu unajadili sheria, hii ipo Tanzania tu na wewe siyo wa kwanza. Huko mitandaoni Kuna kijana ana digrii sijui ya matango lakini unakuta anamkosoa Prof. Wa sheria kwenye Mambo ya sheria na wapumbavu wanamshangilia, yes Tanzania inawezekana.
Nikusaidie kitu, Sabaya hakuna sehemu amekiri kutenda kosa, hata aliposomewa charge aliplead not guilty.
Kwenye kesi yake moja ya hoja ambayo imemkalia vibaya ni ilikuwaje yeye Kama mkuu wa Wilaya ya Hai aende kufanya oparation Wilaya ya Arusha kwenye Mamlaka isiyo yake.
So katika kuweka matundu kwenye hoja hiyo, narudia kuweka matundu,( he does not need to prove he is not guilty) ndiyo maana anasema alifanya hiyo oparation kwa maelekezo ya wakubwa na siyo Arusha tu hata DSM na hakuna sehemu amekubali kwamba hiyo oparation ilikuwa kinyume na sheria!
 

 
Ha ha ha ha , unaona sasa ulivyo tutusa kwenye sheria. Huo ni ushahidi wa mtu ambao siyo conclussive kuwa ni wa kweli, huyo si amesema tu, ameleta hivyo vielelezo kuthibitisha kuwa alilipoti kwenye hiyo Mamlaka. Shahidi hasa wa prosecution anakuwa scrutinized mno ikiwemo his credibility . Kasome kesi ya juzi ya mbowe na wenzake uone High Court ilivyowachana chana askari waliodai kumtambua mbowe wakati wa mkutano. It is not easy eti kwa sababu huyo askari kasema taratibu zimekiukwa Basi zilikiukwa! He is just a witness whose testimonies are subject to scrutinization by the Court!
 
Huyo Rais aliyempeleka mahakamani hakujua kuwa Alitumwa na Rais mwenzake? Kama kweli anajua kuwa alitumwa na labda alifanya ya hovyo kwenye utekelezaji wake, kwanini asimpe tu adhabu kwenye mamlaka yale ya kiutumishi?

Mimi mtazamo wangu, Rais alipaswa kuchunguza hii issue yeye mwenyewe na kupata ukweli. Kabla ya kuamua kumpelekea mahakamani. Ndio maana sheria ziliweka adhabu kwenye mamlaka ya uteuzi, sababu walijua kuna mazingira heshima ya Taasisi lazima ilindwe. Kesi hii inaivua nguo taasisi ya Urais na Serikali kwa ujumla.
 
Kwa muda wote aliokaa rumande wanampiga miti bila kimbo unatarajia atakuwa kwenye utimamu wa akili?
 
Thus wakitumwa kuuwa watu waliouwa huwa wauaji huwa wanauwawa check Siri zimeshaanza kuwa hadharani.
Ofisi ya raisi imechafuliwa vibaya na Sabaya,hii ni hatari aisee,haya madhara ya kuokota uvccm na kuwapa nafasi nyeti.
Soon tutajua aliyemteka Mo,risasi lisu,nk.
 
Sabaya kasema ukweli kumbe kuna serikali zinazotesa raia bila aibu na kukomoa watu, karma is a bitch
 
Na unaweza kuta hata hii kesi ya Sabaya,ni special mission ya system inacheza na akili zetu!!
 

mfumo uliomtuma ndio uliomshitaki wamemwaga mboga yye kaamua kumwaga ugari
 
Hilo lisiwe na mashaka sawa,je kwa kulisema mahakaman litamsaidia???
Kaambiwa ana case ya kujibu,hilo linajibu kwa kumuokoa?
 
Hata kama alitumwa sidhani kama mamlaka ilimtuma kuuwa ama kujeruhi pengine alitumwa kweli ku deal na wahujumu uchumi.......
kupitia mfumo usio rasmi sema yeye alijuongeza negatively.....
 
Mnachukua UVCCM mnawajaza kwenye nafasi nyeti kwa kutumia nguvu za kikatiba kwa Raisi ambaye ni mwenyekiti wa chama automatically inadhoofisha nguvu kwa taasisi nyeti kwa sababu kuna watu wanaoteuliwa sio kwa weledi na uzoefu walionao pata picha huyo ndio jasusi katumwa China halafu kakamatwa nini kitatokea au katumwa Marekani kwenda kubargain Mikataba nyeti nini kitatokea
KATIBA MPYA ni muhimu kuondoa huu upuuzi kwanza sioni logic ya kuwa na mwenyekiti wa ulinzi na usalama anayetokana na mfumo wa kisiasa hao maDC na maRC wangebaki kuwa makada wa chama tu hivyo vyeo havina tija kwa wakati huu wa vyama vingi na Demokrasia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…