Utetetezi wa Sabaya, haupo kisheria, na pia unavunja kanuni za Kijasusi

Mbeleni tutasikia makubwa "Mnanikamata mie tu mbona makonda mmemuacha,UONEVU huu"
 

Kwa nini Taasisi ya Urais isimlinde mpaka tumefikia hapo. Ndio majasusisi wengine watie akili sasa utii na maararifa sababu hujui lini utatelekezwa na ulio watii na kuwatumikia.
 
Veronica france aliwahi kusema Hakuna hakimu wa kumfunga labda Magufuli afe,Mungu kasikia ombi lake leo bilioni 7.5 ataitapikia wapi
 
Kwa umri wa Sabaya Rais agizo lake ni kutekeleza tu hakuna kushauriana ni ndio mkuu sawa mkuu basi. Sabaya kafanyiwa umakusudi na Samia na Watuwake hivyo tu.
Sabaya alijitengenezea maadui nje na ndani ya Chama chake na hicho ndicho kinachomcost, alikua ana UBABE wa kishamba, mfano kupaki Gari katikati ya barabara na kufanya kitu, kununua bila kulipa, kulala kwenye mahoteli bila kulipa na hataki umuhoji, too much spending kwenye maclub, kuonesha dharau hadharani wakubwa zake, mfano Marehem Ana mgwira, hata kama alitumwa na wakubwa zake alipaswa kuonesha respect, tatizo bichwa lilijaa sifa kwamba yeye ndo yeye na hakuna atakayemfanya chochote
 
Maybe sabaya na mawakili wake wanatuma ujumbe kwa wakubwa waliohusika au waliokuaa wanajua kua kijana alipewa mission.

Wanaambiwa kuwa,kijana anaweza sema lolote,hivyo either wajue jinsi ya kumsaidia au wajiandae kuanikwa.

Nadhani anawatekenya tu kujua watareact vipi.

Hakuna kitu watu hulinda kwa gharama zote kama reputation...so their reputation imehatarishwa,wanahitaji kufanya jambo

either wamkatae mazima ionekane mwana anasema uongo ili kujinasua,au wao wanyoshe mkono kumnasua kinamna flani.

Ni mawazo yangu tu.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Mimi nazani mpka kusema hivyo ameona mabosi kama wamemtelekeza
 
Hapo anamaanisha hata Mama anajua yote ila anamdemkia tu.
 


Labda wakubwa wamsaidie lakini Kama alikuwa anajifanya ni mkubwa na kudharau wakubwa wenzake kisa Magufuli, sioni msaada akiupata.

Unajua watu wengine huweza kuleta dharau Kwa wengine kisa wanaukaribu na Kiongozi Mkuu Jambo ambalo sio sahihi kabisa
 
Kwa nini Taasisi ya Urais isimlinde mpaka tumefikia hapo. Ndio majasusisi wengine watie akili sasa utii na maararifa sababu hujui lini utatelekezwa na ulio watii na kuwatumikia.

Taasisi ya Urais ni ngumu kumlinda ikiwa tayari mpaka sasa anaenda kinyume na taratibu zake.

Kitu kimoja cha cha uhakika ni kuwa Taasisi ya Urais ya sasa inamafungamano makubwa na taasisi ya Urais wakati WA JPM hivyo Kama ni kupewa msaada angekuwa keshapewa muda mrefu
 
Haitamsaidia lakini
Lakini inadhihilisha wazi kwamba hajakomaa kiujasusi
Ameharibu kabisa ..!!!! Bure kabisa.!!
 

Endelea kutia maji wakati mwenzako ananyolewa ila ujue uko uwezekano wa zamu yako.
 
nlishen tu maneno! anazidi kupotea beyond 30 years! maana kaongeza na uongo wa kuisingizia mamlaka!
kile duka halikuwa la forex
 
Endelea kutia maji wakati mwenzako ananyolewa ila ujue uko uwezekano wa zamu yako.

Kama mtu kafanya Uhalifu iwe mi Mimi, wewe au Yule anapaswa kupewa haki yake, ambayo ni adhabu Kwa mujibu WA sheria.

Huo ndio utaratibu sheikhe
 
The issue is whether there is armed robbery?
 
Kama mtu kafanya Uhalifu iwe mi Mimi, wewe au Yule anapaswa kupewa haki yake, ambayo ni adhabu Kwa mujibu WA sheria.

Huo ndio utaratibu sheikhe

Hebu niambie yule kamanda aliye muweka Huria Mhiti mstari wa mbele katika mapambano ya vita kali ili auwawe kutii amri ya mfalme Daudi alichukuliwa hatua gani baada ya ya Daudi kufa? Acheni ujinga vinginevyo mtawakosa watu wa kuwatuma ama mtahujumiwa.
 

Wanasheria wake ni wapumbavu sana, Ila kesi kama hiyo anaweza kujiteteaje jaman? Ni jambo lisilowezekana kabisa! Ashafungwa huyo!

Sema anamrahishia Hakimu kumhukumu, wakati mwingine hakuna haja ya kujitetea, unakuwa kimya tu kabisa bila kusema lolote!
 
Inawezekana ikawa hivyo Kama unavyosema lakini kwa hakika na kwa mtazamo wangu kesi ni mbaya kwa baadhi ya watu...pale atakapoanza kuulizwa maswali na mawakili ndipo mtakavyoona ubaya na uzuri wa Hii kesi...
 
Sabaya hajachomwa hata msumari kwenye mguu analialia hivyo na kutaja taja watu kama mlevi.
 
Inawezekana ikawa hivyo Kama unavyosema lakini kwa hakika na kwa mtazamo wangu kesi ni mbaya kwa baadhi ya watu...pale atakapoanza kuulizwa maswali na mawakili ndipo mtakavyoona ubaya na uzuri wa Hii kesi...


πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Na pale unaulizwa wewe Kama wewe, sio cheo chako sio?

Yaani hapo mawakili wanaweza kukuoshea vilivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…