Utetetezi wa Sabaya, haupo kisheria, na pia unavunja kanuni za Kijasusi

[QUOTE="dudus, post: 39928764, member:
... Sabaya kuwemo kwenye Mfumo wa ujasusi wa nchi hii haina mashaka! Toka enzi akiwa mtoto UVCCM aliwahi kukutwa na kitambulisho cha TISS kesi ikafunguliwa. Alivyoachiwa ni mamlaka yake ya uteuzi pekee ndio inajua.

In short, ameandaliwa kwa kazi maalum long time so yanayotokea kwenye sakata hili ni long time plan. Alichokisema mahakamani ni sahihi kabisa.
[/QUOTE] yeah ni (kikosi maalumu) SF eagle 3
 
yeah ni (kikosi maalumu) SF eagle 3
[/QUOTE]


😃😃
 
Ole sabaya hakuna aliyemtuma kufanya upuuzi wake. Ajitetee bila kuhusisha wengine japo tunajuwa marehemu alikuwa mpuuzi kwa mambo mengine.

Wakati anafanya hayo kulikuwa hamna viongozi wa juu yake? Kwa nini hakuchukuliwa hatua kipindi kile kile. Endeleeni kujianika hadharani.
 
Kosa lingine hili la kuchukua vijana uvccm na kuwaingiza kwenye usalama. Hawa wanakuwa hawafundishiki, utendaji wao unaongozwa na mafanikio ya pesa, miiko na maadili na viapo vyao hawavifuatilii kabisa.

Zamani Tabora boys, Kibaha enzi hizo za kina Dr fulani na balozi fulani na mkurugenzi fulani pale viwanda na biashara watu walipikwa vyema wakapikika lakini toka uvccm kudandia hii fani ya kitengo na mambo haya yameanza wakati wa mkwere wameharibu kabisa taswira ya uwajibikaji usio na madoa wala mashaka. Kina bashite, huyu sabaya wote ni matokeo ya uvccm kitengo. #Systemoverhaulneeded
 
Sabaya hakukamatwa kwenye operation. Kwanini watu wengi mnataka abehave kama mtu aliyekamtwa kwenye operation?
 
Sawa, lakini kisheria imekaaje?

Kwa sababu mahakama imeshaona kuwa kuna uhalifu ulitendwa na Sabaya [kimahakama inasemwa kuwa, "ana kesi ya kujibu"]...

Katika hatua hii, kitacho determine adhabu yake aidha ahukumiwe kifungo jela au aachiwe huru ni namna atakavyojitetea...

Sasa swali ni hili:

Mpaka hatua hii ktk utetezi wake, Sabaya anakiri mwenyewe kutenda uhalifu anaotuhumiwa nao ila cha ajabu anajitetea kwa kusema alitumwa na Rais kufanya uovu huo...!!

Sasa, je tunadhani sheria itamwacha salama kwa kuwa alitumwa na Rais...?

Je, hapa Tanzania kuna sheria ya namna hiyo inayolinda uhalifu uliofanywa na mtu aliyetumwa na Rais kuufanya ili mahakama iitumie kumwona hana hatia...?

Je, kuna mtu aliye juu ya sheria zetu hapa Tanzania???
 
Hii iliyofanyika ndiyo inayoitwa " a state organized crimes "

Inapokuwa unbearable, lazima baadhi watolewe kama sacrifice kwa ajili ya kuponya wengi...

Lakini mimi nasema hivi, hakuna atakayepona. Mungu kamwe hadhihakiwi. Kila kosa na kila dhambi lazima ipate adhabu yake bila kujali nani ni muhusika...
 
Ahahahahaaaaaa
 
Kwa hiyo asiwataje wakuu waliyomtuma kazi hizo wakati rais kaingia msaliti? Samia amemtosa na hili jambo mwanzo wa utawala wake limewashitua magufulists. Lilikua indicator kwamba nani amekalia kiti. Sabaya alitumwa cases za mafisadi na wakwepa kodi na dhidi ya dhulumati kwa wanyonge kwenye umma.
 
Bibi anafanya anachokijua ktk hii ishu spinning nje nje na character assasination ndo target ya bibi. Lakini, jpm atabaki ni jpm na hawatafanikiwa kamwe kumpaka vinyesi vyao vya magogoni/msoga.
 
Kila laheri Sabaya...utachomoka tu maana ulitumwa hukufanya kwa utashi wako.
 
Sabaya kaamua kutoboa mtumbwi wazame wote
 
Bibi anafanya anachokijua ktk hii ishu spinning nje nje na character assasination ndo target ya bibi. Lakini, jpm atabaki ni jpm na hawatafanikiwa kamwe kumpaka vinyesi vyao vya magogoni/msoga.
 
Watakachofanya wenye taasisi yao ni kusema tu kwamba Sabaya hajawahi kutumwa na Rais John Pombe au Mr. John Pombe unless Sabaya aonyeshe proof ya maagizo hayo.
 
Acha kupotosha. Hapo kwenye hilo duka mbona hamsemi kulikua kunanunuliwa hela za kigeni. Sabaya alitumwa kwenye kampeni kupambana na wanunuzi kimagendo wa fedha za kigeni. Au huko arusha na moshi magendo fedha za kigeni mlizoea hadi kuamini ni halali hadi mkaona wenye kusimamia sheria na haki ndio majambazi. Vyovyote juu ya sabaya mahakama ipo/zipo haki itapatikana kwa kijana wa kimapinduzi sabaya.
 
Bibi anafanya anachokijua ktk hii ishu spinning nje nje na character assasination ndo target ya bibi. Lakini, jpm atabaki ni jpm na hawatafanikiwa kamwe kumpaka vinyesi vyao vya magogoni/msoga.
Umenena kitu.
 
Kutekeleza maelekezo ya boss wako bila kufuata sheria kwakuwa boss amekuelekeza kufanya hivyo huo ni ujinga hakuna wa kumsaidia kwenye hilo.
 
Bibi anafanya anachokijua ktk hii ishu spinning nje nje na character assasination ndo target ya bibi. Lakini, jpm atabaki ni jpm na hawatafanikiwa kamwe kumpaka vinyesi vyao vya magogoni/msoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…