Nyangomboli
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 3,501
- 1,956
ilikuaje aingie chumbani kwa SK?mbona hakupiga kelele ya kuomba msaada alipotaka kubakwa?
kama penal code inazungumza n miaka 16, basi ana kesi ya kujbu, na ikijtetea in a self defnc n sawa tu, bt we cnt appeal or judge a person n emotion..we hv to practc the "law".makosa ya jinai ya kubakwa yabidi uangalie sheria ya makosa ya jinai ya kijinsia ndiyo inayohusika na wala siyo hiyo...........akiisha taja kubakwa sheria hyio mpya ndiyo msumari wa moto......................kuweni waangalifu na mabinti........usije ukadhani kwa vile kafikisha miaka 16 basi hujambaka.........na hata mtu mzima dhidi ya 18 bado anaweza kudai alitakwa kubakwa........
Rutashubanyuma, Hamia Dar ukamsaidie Binti bana naona umekomalia kweli...Kilichomtoa kwao usiku na kwenda hadi chumbani ni kwamba alidanganywaje??? Tuambie labda aliambiwa huku chumbani kwa mwenzdazake kuna Birthday au...????Labda ubarikio kipaimara ama...??? Swali langu ni kwamba aiambie Tanzania nzina uongo aliodanganywa hadi akafika chumbani kwa SK.fulustopu.tabia yake haihalalishi abakwe...............kwa hiyo hoja zako Alien 1-9 zinapoteza mwelekeo. Hoja no. 10 ya kuwa mahakama itazingatia mob-justice....................sioni hata umuhimu wa kujibu kwa sababu that is the last thing the court wants to entertain....................pitia polepole hoja zangu utagundua Lulu has no case to answwer ila DPP anafanyakazi kwa mashinikizo ya mob-justice na wala siyo kwa kuongozwa na sheria au ushahidi alionao mikononi mwake..........
mbona form 3 mbali hivyo wapo humu jf wengi tu wameishia form 1 ...na wanakula maishahajamaliza form four ameacha shule form three
naomba uchukue nafasi ya kanumba steven kujibu hili swali na ni marudi tuRutashubanyuma, Hamia Dar ukamsaidie Binti bana naona umekomalia kweli...Kilichomtoa kwao usiku na kwenda hadi chumbani ni kwamba alidanganywaje??? Tuambie labda aliambiwa huku chumbani kwa mwenzdazake kuna Birthday au...????Labda ubarikio kipaimara ama...??? Swali langu ni kwamba aiambie Tanzania nzina uongo aliodanganywa hadi akafika chumbani kwa SK.fulustopu.
haki ya kikatiba ya kutoa maoni ipo mbaya ni kujadili yale yanaoendelea ndani ya mahakama ambayo hata mahakama kuu haijafika.......achilia mbali kuanza kusikilizwa.............usikubali kwenye maisha yako ukawa bora liende ......jega utamaduni wa kutafakari kila kitu ili uweze kukiboresha kwa manufaa ya vizazi vijavyo.
LULU NDO ALITAKA KUMBAKA KANUMBA NA BAADA YA KANUMBA KUGOMA LULU AKAMTANDIKA RUNGU LA KICHWA MAREHEMU AKAZIMIKA kwanini nasema hvyo 1. LULU alienda kwa Kanumba usiku wa manane 2. moja kwa moja alizama chumbani 3. Baada ya kanumba kuingia bafuni lulu Alivua nguo zote ili kanumba amkute uchi ashawishike.
Ripoti ya madaktari inasema marehemu hakupigwa na kitu chochote huu utakuwa ni ushahidi wako mpya sijui kama ukiitwa mahakamani ukaithibitishie mahakama utakuwa tayari mkuu.