UTETEZI WA LULU: Kanumba alitaka kunibaka...

UTETEZI WA LULU: Kanumba alitaka kunibaka...

ilikuaje aingie chumbani kwa SK?mbona hakupiga kelele ya kuomba msaada alipotaka kubakwa?

pia tusisahau kuna mawasiliano ya simu. Halafu uende kwa mtu saa 6 usiku na una 17 yearz. Na ile party ya mwaka jana kufikisha miaka 18 ataielezeaje mkuu?
 
umenena vema sana Kandidus, Ruta bila shaka yoyote amejipambanua kuwa yupo bias katika hili msakata, kusema kwamba kufanya mapenzi na binti mwenye miaka 17 ni kubaka afanye research tena kabla hajaleta mada yake JF. aelewe pia kuwa ni miaka 14 and below ndio inamfanya any person with the age of majority kuwa mbakaji na sio 17 kama Ruta anavyotaka kutuaminisha. kuhusu ubakaji aelewe pia kuwa kwa mujibu wa Seth ambaye nimdgo wa marehemu alisema kuwa lulu aliingia chumbani kwa kanimba moja kwa moja sasa kama sio wapenzi kwanini hakuishia sebuleni? kama kanumba hakua mpenzi wake kwanini akimbilie nje kupokea simu ya mwanaume mwingine? ni mazingira gani ya ushahidi unayoyahitaji kung'amua kuwa wawili hawa walikua wapenzi? ni mbaya kwa mwanataaluma hii kutoa ufafanuzi unaoelemea upande mmoja, hii inakuwa sawa na asignment which instead of helping the student intended it end up confusing them without bringing any knowledge to them. this is all i have to share atleast for now
 
makosa ya jinai ya kubakwa yabidi uangalie sheria ya makosa ya jinai ya kijinsia ndiyo inayohusika na wala siyo hiyo...........akiisha taja kubakwa sheria hyio mpya ndiyo msumari wa moto......................kuweni waangalifu na mabinti........usije ukadhani kwa vile kafikisha miaka 16 basi hujambaka.........na hata mtu mzima dhidi ya 18 bado anaweza kudai alitakwa kubakwa........
kama penal code inazungumza n miaka 16, basi ana kesi ya kujbu, na ikijtetea in a self defnc n sawa tu, bt we cnt appeal or judge a person n emotion..we hv to practc the "law".
 
tabia yake haihalalishi abakwe...............kwa hiyo hoja zako Alien 1-9 zinapoteza mwelekeo. Hoja no. 10 ya kuwa mahakama itazingatia mob-justice....................sioni hata umuhimu wa kujibu kwa sababu that is the last thing the court wants to entertain....................pitia polepole hoja zangu utagundua Lulu has no case to answwer ila DPP anafanyakazi kwa mashinikizo ya mob-justice na wala siyo kwa kuongozwa na sheria au ushahidi alionao mikononi mwake..........
Rutashubanyuma, Hamia Dar ukamsaidie Binti bana naona umekomalia kweli...Kilichomtoa kwao usiku na kwenda hadi chumbani ni kwamba alidanganywaje??? Tuambie labda aliambiwa huku chumbani kwa mwenzdazake kuna Birthday au...????Labda ubarikio kipaimara ama...??? Swali langu ni kwamba aiambie Tanzania nzina uongo aliodanganywa hadi akafika chumbani kwa SK.fulustopu.
 
Rutashubanyuma, Hamia Dar ukamsaidie Binti bana naona umekomalia kweli...Kilichomtoa kwao usiku na kwenda hadi chumbani ni kwamba alidanganywaje??? Tuambie labda aliambiwa huku chumbani kwa mwenzdazake kuna Birthday au...????Labda ubarikio kipaimara ama...??? Swali langu ni kwamba aiambie Tanzania nzina uongo aliodanganywa hadi akafika chumbani kwa SK.fulustopu.
naomba uchukue nafasi ya kanumba steven kujibu hili swali na ni marudi tu

1.KANUMBA AJUI KULALA NA MTOT CHINI YA MIAKA 18 NI KESI YA JINAI
2..WAKATI MNAENDELE KUMTETEA MAREHEMU MJIULIZE ALIMRUHUSIJE LULU KUINGIA USIKU WA MANANE ..NA KAMA ALIMGONGEA NA KUMWAMBIA NIMEFUKUZWA NYUMBANI NAOMBA NILALE KWAKO NYUMBA YA KANUMBA NI GUEST HOUSE???
3..KWA TAARIFA YAKO SETHI ANAKWENDA KUMTOA LULU WALA SI KANUMBA...SETI AMESEMA USIKUW A SAA TANO ALIITWA AKAAMBIWA NA KAKA KUNA MGENI ANAKUJA THEN ATAMUITA WATOKE WOTE..HIYO NI USIKU WA MANANE
ANATOKA NA MTOTO CHINI YA MIAKA 18 USIKU WA MANANE ANA MPELEKA WAPI....???JE UNA UHAKIKA ALIKUWA ANAMRUDISHA KWA WAZAZI WAKE KWA KUWA AMETOROKA USIKU NAAMINI MAMAYAKE NA SHIDA ZAKE HAWEZI KABISA KURUHUSU MWANAE KUTOKA
4..NINAVYOONGEA NA WEWE LULU ANA ALAMA ZA PANGA AMEPIGWA NA BAPA NA POLISI WAMEKIRI ALIPIGWA NA PANGA...SITAKI TUJIHUSISHE KWA NINI ALIMPIGA NA PANGA LAKINI NIKWAMBIE LAITI LTE KANUMBA AKA THE GREAT ANGEPONA NA LULU AKAENDA MAHAKAMANI NAKWAMBIA WEWE UNGEKUWA WA KWANZA KUJA KULIA YALIOMTOKEA LULU..LAKINI KWA KUWA SHERIA BADO ZIKO HAI WACHA ZIFANYE KAZI
 
Ukweli ni kwa aliyehai kwani hakuna ajuaye ya chumbani na ukitaka kuchambua maelezo hutapata ukweli maana wewe hukuwa wa mwisho kuzungumza na aliyefariki na huwezi jua yaliyomsibu na nini kilifanyika ndo mauti yakamkuta
Maelezo hupangwa na laiti angefufuka na kusema ilikuwaje lakini tukumbuke kila kifo huja kwa namna yake na kama tutatafuta muuaji wauaji wapo wengi (mfano Dr. akichelewa mgonjwa akifa Dr. kasababisha,waliyemchelewesha kuja Hospitalini hawana makosa, Gari likidondoka/Kuanguka na kuua ni dereva kaua mwendo mkali lakini wakifika salama dereva haui, Ndege ikianguka na kuua hali ya hewa mbaya imesababisha ndege kuanguka) "BINADAMU SIKU ZOTE YEYE YUKO SAWA KWA VIFAA/VITU VYAKE LAKINI KWA UNDANI NI MNYONGE LAKINI KILA KITU KWAKE ANAJUA NDO MAANA YAMEMSHINDA MENGI KWA KUTOKUTAKA KUJIFUNZA JUU YA ASEMAYO MOLA WAKE"

Kwa sababu ya ubinadamu abaki ndani kwa usalama wake na bahati nzuri binadamu tumeumbwa na asili ya kusahau baada ya muda tutasahau na ndipo aachiwe huru "HAKI ANATOA MUNGU SI BINADAMU, BINADAMU HUTOA HAKI KWA KUSIKILIZA LAKINI MUNGU HUTOA BILA KUMSILIZA MTU BALI KWA YEYE KUONA YALIYOFICHIKANA-LEO HII LULU ASIPOZUNGUMZA MAHAKAMA SIJUI ITAAMUAJE MAANA HAIJAMSIKILIZA MUUAJI ANAYEDHANIWA!"
 
Ruta,wengi hawajakuelewa wanakimbilia kusema wewe ni mbishi,huko ni kukosa points katika kujadili mada,maji usiyoyajua kina chake usiyaingie utazama,maelezo yako yako wazi hata kwa asiye mwanasheria kama mimi ni bahati mbaya hujaeleweka kwa wengine hadi wanafikiria kuwa labda unampendelea LULU,wanasahau sheria haijali yanayosemwa vijiweni wala haiangalii upenzi na ushabiki wako,watu wanasahau yaliyotokea kwenye kesi ya ZOMBE NA WENZAKE juu ya kesi ile ya uuwaji wa wafanyabiashara wa madini,baada ya hukumu watz wengi waliachwa midomo wazi na hata kikwete mwenyewe aliishia kushangaa tu,BIG UP MKUU RUTA,wewe ni mmoja kati ya wachache vichwa JF.
 
haki ya kikatiba ya kutoa maoni ipo mbaya ni kujadili yale yanaoendelea ndani ya mahakama ambayo hata mahakama kuu haijafika.......achilia mbali kuanza kusikilizwa.............usikubali kwenye maisha yako ukawa bora liende ......jega utamaduni wa kutafakari kila kitu ili uweze kukiboresha kwa manufaa ya vizazi vijavyo.

Ruta,
Bila kutumia utetezi wa kubakwa hakuna njia nyingine unayoona inaweza kumuokoa Lulu kwenye hiyo kesi?
 
Do you buy in the idea that Kanumba was raping her? Atasaidiwa na wateja wake wengine wenye uwezo kutoka alipokaa. Lakini hadithi za kitoto kama hizo haziwezi kumnasua
 
LULU NDO ALITAKA KUMBAKA KANUMBA NA BAADA YA KANUMBA KUGOMA LULU AKAMTANDIKA RUNGU LA KICHWA MAREHEMU AKAZIMIKA kwanini nasema hvyo 1. LULU alienda kwa Kanumba usiku wa manane 2. moja kwa moja alizama chumbani 3. Baada ya kanumba kuingia bafuni lulu Alivua nguo zote ili kanumba amkute uchi ashawishike.

Ripoti ya madaktari inasema marehemu hakupigwa na kitu chochote huu utakuwa ni ushahidi wako mpya sijui kama ukiitwa mahakamani ukaithibitishie mahakama utakuwa tayari mkuu.
 
Ruta,
Hakuna utetezi mwingine ambao unaweza kumuokoa Lulu kwenye kesi hii zaidi ya huu wa kubakwa?
 
Thread hii kama ilikuwepo asubuhi ya leo! What's real going on here?
 
Juzi kafa Prof hapo UDSM na alileta mchango mkubwa sana Tz lakini watu waliohudhuria ni wa kuwahesabu. Lakini kwa mzinzi watu kibao!!
 
Ripoti ya madaktari inasema marehemu hakupigwa na kitu chochote huu utakuwa ni ushahidi wako mpya sijui kama ukiitwa mahakamani ukaithibitishie mahakama utakuwa tayari mkuu.

haaaaaaaaaaaaahaaa JF inanipa raha sana! thanx ritz kwa majibu mazuri
 
Jamani naomba tutende haki mleta thread ameleta changamoto, sheria jamani zinachanganya sana na zina double standard kwa mujibu wa CPA mtoto ni yule ambaye hajafikisha miaka kumi na sita, lakini wakati wa kupinga kura sheria inasema mtu mzima ni above 18yrs, this is contraversal laws, lakini miaka haiondoi kosa la kubaka hata siku moja hata mkeo unaweza kumbaka, lakini wasanii wasimhukumu Lulu kwani hiyo si kazi yao kama wanataka kutenda haki basi inabidi washiriki kumnasua Lulu hata kwa kumuwekea wakili mahiri lulu, kwani naye mchango wake ni mkubwa katika jamii na bado tunauhitaji kama alivyo mwendazake, kitu alichofanya Lulu ni self defence, kumbuka mdogo wa kanumba aliitwa na Lulu kutoa msaada kwa kaka yake hii ni dhahiri hakuwa na nia ya kuua hata polisi Lulu alienda mwenyewe wala hakukamatwa. Hivi hebu tujiulize kama Lulu angezidiwa nguvu ingebidi afe yeye sijui wasanii wa filamu ndio wangefurahi.
 
Na huyo baba na mama yake Lulu nao wana kesi ya kujibu, wamemwacha mtoto akakua atakavyo!

Kimsingi mimi sijui sheria ila kwangu ninamhurumia sana huyu binti Lulu, yaliyomkuta sio madogo ati.

Nakiri sijaweza kusoma page zote 15 za hii thread, mniwie radhi iwapo nitarudia; naomba ufafanuzi juu ya yafuatayo kama inajulikana:
1. Lulu aliondokaje home kwa Kanumba baada ya tukio, usafiri gani, wa nani?
2. kuna tetesi simu aliyopigiwa ilitoka kwa Capt. Komba, ni kweli? tena inasemekana na Komba naye ni mpenzi wake.
3. jeraha la kupigwa na panga linakuwaje (sina uelewa mzuri ktk hili, isitoshe naogopa sana panga), polisi wameestablish alipigwa muda gani
4. Kuna tetesi pia kuwa Lulu alihama kwa wazazi wake akaanza kujitegemea, ni kweli?
5. inaweza kuwa ni sababu zipi zilisababisha Lulu ajitangaze kuwa na miaka 18?
6. Polisi walimkamata wapi Lulu, ktk mazingira gani?
 
Back
Top Bottom