Na huyo baba na mama yake Lulu nao wana kesi ya kujibu, wamemwacha mtoto akakua atakavyo!
Kimsingi mimi sijui sheria ila kwangu ninamhurumia sana huyu binti Lulu, yaliyomkuta sio madogo ati.
Nakiri sijaweza kusoma page zote 15 za hii thread, mniwie radhi iwapo nitarudia; naomba ufafanuzi juu ya yafuatayo kama inajulikana:
1. Lulu aliondokaje home kwa Kanumba baada ya tukio, usafiri gani, wa nani?
2. kuna tetesi simu aliyopigiwa ilitoka kwa Capt. Komba, ni kweli? tena inasemekana na Komba naye ni mpenzi wake.
3. jeraha la kupigwa na panga linakuwaje (sina uelewa mzuri ktk hili, isitoshe naogopa sana panga), polisi wameestablish alipigwa muda gani
4. Kuna tetesi pia kuwa Lulu alihama kwa wazazi wake akaanza kujitegemea, ni kweli?
5. inaweza kuwa ni sababu zipi zilisababisha Lulu ajitangaze kuwa na miaka 18?
6. Polisi walimkamata wapi Lulu, ktk mazingira gani?